James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Mbona kawaida kuwa na mabosi hata wanneSawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kawaida kuwa na mabosi hata wanneSawa
Hiyo unayofanya wewe ni kibarua sio kazi haiwezekani kuwe Kuna kundi kubwa la watu duni hivyoHabari za muda huu
Haya yalinikuta kwenye kazi yangu ya kwanza nilipokuwa bado sijafunzwa na Ulimwengu
1. Chuki ya kwanza nilijisababishia mwenyewe baada ya kutongoza wafanyakazi watatu kwa nyakati tofauti wote walichomoa na kumbe walihadithiana ndipo nikaanza kupitia sarakasi na vitimbi hadi nikaona Ofisi Ni chungu.
2. Chuki ya pili nilikuwa na mshkaji alikuwa anapenda kunitembelea, siku moja alikuta kifaa kinachofanana sana na cha Mradi wa Taasisi, akauliza tu friendly umekitoa wapi, nikamjibu nilinunua dukani. Kumbe alienda kumuambia boss kuwa nimeiba kifaa Cha Mradi! Boss na yeye mwanamke, badala ya kuniita na kunihoji, akachukua uamuzi wa kunipunguzia 75% ya majukumu ikwemo ya site kwa hoja ya kwamba nimekosa uaminifu(japo hakuniamba directly, ila aliongea kwa mafumbo).
3. Nilifiwa, wakateuliwa wawakilishi wa taasisi wanisindikize msibani, baada ya msiba wakarudi kuhadithiana Hali ngumu ya kijijini kwetu. Niliposikia kuwa wamehadithia, nikachukua uamuzi wa kumpiga makofi yule dada. Kumbe ilikuwa ni Mali ya Boss, boss akazidisha vitimbi Hadi nikaona nikubali yaishe nikaacha kazi.
Namshukuru Mungu nilipata kazi Nyingine ambayo Ndiyo naifanya Hadi Sasa. Jambo la Msingi nililojifunza ni PRIVACY& CONFIDENTIALITY Ni muhimu Sana wakati wa kujumuika na workmates. Lingine ni KUTOKUMUAMINI YEYOTE KWA WAKATI WOWOTE kwani sehemu kubwa ya Chuki na vita makazini husababishwa na mtu kuwa na DETAILS zako.
Karibuni tushirikishane matukio ya Chuki na Vita tulivyowahi kupitia kazini.
Ukwel ni kwamba ukishapata kazi usimwamini yoyte yule usiwe mchochezi, na usiluhusu mtu kuwa lafiki Yako wakati WA kazi pia usip nde kukaa kimakundi uwapo kaziniHabari za muda huu
Haya yalinikuta kwenye kazi yangu ya kwanza nilipokuwa bado sijafunzwa na Ulimwengu
1. Chuki ya kwanza nilijisababishia mwenyewe baada ya kutongoza wafanyakazi watatu kwa nyakati tofauti wote walichomoa na kumbe walihadithiana ndipo nikaanza kupitia sarakasi na vitimbi hadi nikaona Ofisi Ni chungu.
2. Chuki ya pili nilikuwa na mshkaji alikuwa anapenda kunitembelea, siku moja alikuta kifaa kinachofanana sana na cha Mradi wa Taasisi, akauliza tu friendly umekitoa wapi, nikamjibu nilinunua dukani. Kumbe alienda kumuambia boss kuwa nimeiba kifaa Cha Mradi! Boss na yeye mwanamke, badala ya kuniita na kunihoji, akachukua uamuzi wa kunipunguzia 75% ya majukumu ikwemo ya site kwa hoja ya kwamba nimekosa uaminifu(japo hakuniamba directly, ila aliongea kwa mafumbo).
3. Nilifiwa, wakateuliwa wawakilishi wa taasisi wanisindikize msibani, baada ya msiba wakarudi kuhadithiana Hali ngumu ya kijijini kwetu. Niliposikia kuwa wamehadithia, nikachukua uamuzi wa kumpiga makofi yule dada. Kumbe ilikuwa ni Mali ya Boss, boss akazidisha vitimbi Hadi nikaona nikubali yaishe nikaacha kazi.
Namshukuru Mungu nilipata kazi Nyingine ambayo Ndiyo naifanya Hadi Sasa. Jambo la Msingi nililojifunza ni PRIVACY& CONFIDENTIALITY Ni muhimu Sana wakati wa kujumuika na workmates. Lingine ni KUTOKUMUAMINI YEYOTE KWA WAKATI WOWOTE kwani sehemu kubwa ya Chuki na vita makazini husababishwa na mtu kuwa na DETAILS zako.
Karibuni tushirikishane matukio ya Chuki na Vita tulivyowahi kupitia kazini.
Naomba full picture ya umuhimu wa marafiki wa chini kabisaaUnaweza kuwa na rafiki. Mimi marafiki zangu ni wale wa chini kabisaaa. Hakikisha una mfagiaji au mtu wagetini ambaye ni rafiki yako. Itakusaidia siku moja.
Unakuta mtu Ni jobless anapinga kuwa haiwezekani kuwa na boss zaidi ya mmojaMbona kawaida kuwa na mabosi hata wanne
Sawa Ni kibarua lakini basic salary yangu hata daktari (MD) hanifikiiHiyo unayofanya wewe ni kibarua sio kazi haiwezekani kuwe Kuna kundi kubwa la watu duni hivyo
Nilichelewa kufahamu hiliUkwel ni kwamba ukishapata kazi usimwamini yoyte yule usiwe mchochezi, na usiluhusu mtu kuwa lafiki Yako wakati WA kazi pia usip nde kukaa kimakundi uwapo kazini
Sasa kwanini rafiki yako akutuhumu mwizi wakati kipato chako ni kikubwa?Hiyo unayofanya wewe ni kibarua sio kazi haiwezekani kuwe Kuna kundi kubwa la watu duni hivyo
Hii ni kila sehemu ukiweza, wanakuwa wanakupa A.b.c. za staffs wote.Unaweza kuwa na rafiki. Mimi marafiki zangu ni wale wa chini kabisaaa. Hakikisha una mfagiaji au mtu wagetini ambaye ni rafiki yako. Itakusaidia siku moja.
Mkuu umesoma nilichokiandika?!Sasa kwanini rafiki yako akutuhumu mwizi wakati kipato chako ni kikubwa?
Halafu hii tabia ya mtu kuuliza hii shngapi; hii shngapi inakera Sana aiseeHizi habari za kuzoeana ni hatari achana nazo jiamini ni ushamba kufuatana nyumbani ,kilichokupeleka pale ni uwezo wako fanya wako then kwenu sijui kuna shughuli uwaleta mara hivi.
Jamaa alikuja hapa kwangu tena kwake hataki mtu akafika mara anaanza hoja za kijinga mbona kuzuri hapa ingiza mademu ,mara hivi umenunua sh ngapi ? ushamba mzigo nikamchana .
Kazini chuki ni lazima na swala la kutongoza basi ushajishusha maana hao washaambiana ofisi nzima inajua ni balaa.
Mlinzi yupo masaa mengi kazini inshu zote anaziona. Ila hamwambii mtu isipokuwa mshkaji wake au mtu anayejua hawezi kusema kwingine. Kumbuka mtu anaouna vitu vingi anatamani aseme ila anaogopa consequences. Kama wewe ni mshkaji na siyo mmbea utajua jinsi ya kmtreat kila mtu kazini kwa kuwa una detail zao. Pia walinzi mara nyingi hawafuuzwi wote kazini utakuta anataarifa za hata miaka miwili na trend ya tabia za watu wa hapo kazini.Naomba full picture ya umuhimu wa marafiki wa chini kabisaa
Mkuu,kwani ukiwa na kipato kikubwa huwezi kua mwizi? huwezi kua suspect?Sasa kwanini rafiki yako akutuhumu mwizi wakati kipato chako ni kikubwa?
Mtu anakagua kama hajui vinapouzwa ,then anaanza niuzie 😅Halafu hii tabia ya mtu kuuliza hii shngapi; hii shngapi inakera Sana aisee
Aisee..!Mlinzi yupo masaa mengi kazini inshu zote anaziona. Ila hamwambii mtu isipokuwa mshkaji wake au mtu anayejua hawezi kusema kwingine. Kumbuka mtu anaouna vitu vingi anatamani aseme ila anaogopa consequences. Kama wewe ni mshkaji na siyo mmbea utajua jinsi ya kmtreat kila mtu kazini kwa kuwa una detail zao. Pia walinzi mara nyingi hawafuuzwi wote kazini utakuta anataarifa za hata miaka miwili na trend ya tabia za watu wa hapo kazini.
Mfagiaji ni kama mlinzi tu huwa wanadumu kazini na anaweza kukusanua taarifa fulani kwa kuwa hana competition na wewe.
Kuna watu ni wajuwaji sana. Kila Uzi anaoufungua, hasomi Hadi mwisho. Anakimbilia kukomenti 'chai'Mkuu,kwani ukiwa na kipato kikubwa huwezi kua mwizi? huwezi kua suspect?
Sure kabisaa anaweza kukwambia nani mwema na nani mbaya hapo kazini.Hii ni kila sehemu ukiweza, wanakuwa wanakupa A.b.c. za staffs wote.
Mkuu,unapoenda kufanya kazi kwenye ofisi yeyote ile,sikiliza tu maneno ya kuambiwa kua nani mbaya na nani mwema hapo kazini ila usichukulie serious au kumuhukumu mtu mpaka mtu huyo atakapokufanyia ubaya wewe au wema,sio rahisi kwa mtu kua mbaya kwa watu wote au kua mwema kwa watu wote,Sure kabisaa anaweza kukwambia nani mwema na nani mbaya hapo kazini.