Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
- #81
Pole Sana mkuu. Ndiyo ukubwa huoYah waliandaa tukio nikaingia king😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana mkuu. Ndiyo ukubwa huoYah waliandaa tukio nikaingia king😀
Pole sana.Siku hiyo tupo kikaoni manager akasema 'Kuna laptops mbili zimeibiwa kuna mtu kaonekana, hizo ni tabia za kiswahili tafadhali rudisha kabla hatujakuweka wazi' kuna jamaa hua nataniana naye tukaanza tupiana vijembe juu ya huo wizi.
Ilikua Ijumaa, J3 kufika naitwa na administrator pembeni yupo manager jamaa akaniambia "Hii ni kazi na sijaenda polisi kwakua sitaki tuharibiane kazi, CCTV imeona unaingia humu ofisini siku ambayo naamini laptops zilipotea" nilishikwa na hasira ya ghafla kwa sababu kuu moja;
Mimi siyo mwizi.
Hata iweje mimi kuiba kwangu ni haiwezekani.
Nikamuambia "Bro hiki unachonihisi nacho kwangu mimi hiki is very low, tuendelee nakusikiliza" akaniuliza kwanini ulitoka floor yako ukaja hii? Now hiyo siku hiyo reception ya floor yao ilikua inawekwa stika kuna mdada akaniachia funguo akaniambia nimsaidie kufunga mlango fundi akimaliza.
Hiyo siku liva alikua anacheza na vila na alikua anaogozwa, so nikatoka kupanda hiyo floor. Nilivyofika sikuingia rooms zingine nikawa nimekaa juu ya meza ya reception napiga stori na yule fundi jinsi gani liva imeshuka kiwango.
Rooms zilizo around pale sikuingia kwakua sina haja ya kuingia. Kisha yule fundi akasema ameshamaliza ndani kabakisha nje so nifunge tu mlango nisepe. Nikafunga mlango nikamuacha jamaa anamalizia kazi zake.
Nikamuambia huyu administrator. Mpigie fundi ili athibitishe ninachosema, akasema hawezi kumpigia kwakua CCTV inaniona mimi nimeingia ofisini (CCTV inaishia kwenye kordo) nikamjibu sasa hiyo ndiyo legit reason ya kumcheki fundi ili akutajie kilichofuata baada ya CCTV ilipoishia. Akagoma.
Akaniuliza "Sasa kama CCTV ishakuona wewe ungekua mimi ungefanyaje?" Nikamuuliza "Lini ulithibitisha kwamba hazipo?" Akajibu J5 nikauliza lini ulithibitisha kwamba laptops zipo akajibu Jmosi ambayo wewe ulionekana umepanda huku.
Nikamjibu "Mimi ningekua wewe ningeanza kuangalia footages za Jmosi, J3, J4 na J5 yenyewe" akaniuliza sasa huo si mzigo nikamjibu ni kweli ila hizo zote ni siku zenye probability ya mashine kupotea. Nikanotice kinachomsumbua sasa hivi ni ameona footage hiyo moja na anataka hiyo hiyo iwe ndiyo uthibitisho, nikamuambia sijachukua nataka umpigie fundi hutaki akajibu nilishampigia nimeongea naye.
Akili ikaniambia ikiwa aliongea na jamaa this means jamaa kamuambia ilivyokua na kanotice haiwezekani niwe nimechukua so ni anajaribu tu kutafuta pa kupeleka lawama (ikiwa kweli zimeibiwa). Akamuambia manager hata hivyo kuna footage nyingine sijaiangalia twende tukaione kwanza. Akaniambia atanipa feedback.
Next day nikamuuliza manager ikiwa walienda akajibu hapana. A week later nikauliza ikiwa walienda akajibu hapana, a week later mkataba ukaisha na haujawa renewed.
Kuna mmoja nafanya nae anachuki sana elim yake ndogo dili wakipiga wasomi anataka apate pasu pasu anaroho ya kukunja anajisifu alivo waharibia walio pita kablaNilifanya kazi na "WAPALE" kwenye ofisi Moja
Aiseee Hawa watu ni noma sana aisee
Sitakuja kusahau jamaa ni wanafki sana
Yaani ni hatari...Wana majungu sijwahi ona...
I second you, mkuu.Mkuu una mabosi wangapi??
No 2 umesema bosi wako ni ke, no 3 unasema ulimchapa makofi dada ambaye ni mali ya bosi wako.......
Kazini siyo sehemu ya kutafuta marafiki.Habari za muda huu
Haya yalinikuta kwenye kazi yangu ya kwanza nilipokuwa bado sijafunzwa na Ulimwengu
1. Chuki ya kwanza nilijisababishia mwenyewe baada ya kutongoza wafanyakazi watatu kwa nyakati tofauti wote walichomoa na kumbe walihadithiana ndipo nikaanza kupitia sarakasi na vitimbi hadi nikaona Ofisi Ni chungu.
2. Chuki ya pili nilikuwa na mshkaji alikuwa anapenda kunitembelea, siku moja alikuta kifaa kinachofanana sana na cha Mradi wa Taasisi, akauliza tu friendly umekitoa wapi, nikamjibu nilinunua dukani. Kumbe alienda kumuambia boss kuwa nimeiba kifaa Cha Mradi! Boss na yeye mwanamke, badala ya kuniita na kunihoji, akachukua uamuzi wa kunipunguzia 75% ya majukumu ikwemo ya site kwa hoja ya kwamba nimekosa uaminifu(japo hakuniamba directly, ila aliongea kwa mafumbo).
3. Nilifiwa, wakateuliwa wawakilishi wa taasisi wanisindikize msibani, baada ya msiba wakarudi kuhadithiana Hali ngumu ya kijijini kwetu. Niliposikia kuwa wamehadithia, nikachukua uamuzi wa kumpiga makofi yule dada. Kumbe ilikuwa ni Mali ya Boss, boss akazidisha vitimbi Hadi nikaona nikubali yaishe nikaacha kazi.
Namshukuru Mungu nilipata kazi Nyingine ambayo Ndiyo naifanya Hadi Sasa. Jambo la Msingi nililojifunza ni PRIVACY& CONFIDENTIALITY Ni muhimu Sana wakati wa kujumuika na workmates. Lingine ni KUTOKUMUAMINI YEYOTE KWA WAKATI WOWOTE kwani sehemu kubwa ya Chuki na vita makazini husababishwa na mtu kuwa na DETAILS zako.
Karibuni tushirikishane matukio ya Chuki na Vita tulivyowahi kupitia kazini.
Hapo cool blue yule jamaa anayekuletea maji ana bosi Supervisor, ana boss mkuu wa idara ya Sales na ana boss mkuu wa kampuni.I second you, mkuu.
Jamaa kajichanganya kinoma. Hata mimi nime-notice.
Hii inaweza ikawa chai aisee [emoji28]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Usilazimishe kuelewa mtu ambaye hayupo tayari kuelewaHapo cool blue yule jamaa anayekuletea maji ana bosi Supervisor, ana boss mkuu wa idara ya Sales na ana boss mkuu wa kampuni.
Au serikalini ulipo haipo hivi?
Nimekuelewa mkuu.Hapo cool blue yule jamaa anayekuletea maji ana bosi Supervisor, ana boss mkuu wa idara ya Sales na ana boss mkuu wa kampuni.
Au serikalini ulipo haipo hivi?
Kweli kabisaKazini siyo sehemu ya kutafuta marafiki.
Wewe nenda kazini, fanya kazi, rudi nyumbani, subiri mwisho wa mwezi ulipwe. Period.
Makazini kuna kanuni moja ni lazima uizingatie sana. Inasema, 'never outshine your master'. Yaani ukiwa mjuaji tu utakuwa na mwisho mbaya.
Kazini unatakiwa ujifanye mwerevu na mjinga at the same time.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kuna mmoja alikuwa ni my immediately Boss so naongea nae fresh ananiambia nipeleke request fresh, nikipeleka anamshauri CEO akatae na kumpa sababu ambayo kimsingi ni kama kunibania, hali hii aliifanya kwa wengi, so akawa adui kwa kila mtu...... kuna siku alipigwa transfer moja ya hatar kbs!Mkuu...nilifanya nae kaz wa kwanza ofisi Moja jamaa alikua snich kinoma
Nikamishwa idara nikakutana n mwingine
Huyu Sasa alikua moto Bora yule wa mwanzo [emoji23]
Cha ajab wote ni vidume yan full majungu...
Ofisi ya 3 ndo nkaja ku prove Hawa jamaa Wana shida yan ni vinamajungu hatari
Mwisho wa ubaya siku zote ni aibuKuna mmoja alikuwa ni my immediately Boss so naongea nae fresh ananiambia nipeleke request fresh, nikipeleka anamshauri CEO akatae na kumpa sababu ambayo kimsingi ni kama kunibania, hali hii aliifanya kwa wengi, so akawa adui kwa kila mtu...... kuna siku alipigwa transfer moja ya hatar kbs!
Kweli kabisa mkuuNi bora makazini watu waseme unaringa kuliko kujuana juana sijui mpaka majumbani kwa sababu Watanzania wa sasa si wale wa enzi zile
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mkuu fungua threadMsala naopitia sasa hivi Mwenyezi Mungu ndio mjuzi wa yote
Msala gani. TiririkaMsala naopitia sasa hivi Mwenyezi Mungu ndio mjuzi wa yote
Aleze hapa hapaMkuu fungua thread
Lovely1.Usiwe na rafiki wa kazini...
2.Usiwe na mpenzi kazini...
3.Usiwe mmbea...