Sasa hii naikumbuka kipindi bado nasoma,siku hiyo tulikuwa tunatoka kkoo tuaelekea mwenge kipindi hicho kuna vipanya,bac pale kituon ilitubidi tusubiri gar lijae kwanza ndio sie tupande ikawa hivyo,gari likajaa nasi tukapanda tukakaa siti za wanafunzi mbele pale kabla gar halijaanza kuondoka akaja mzee kabeba kiroba kama cha unga hivi juu kimefungwa kamba ya katani ,akaingia kaweka kiroba chake chini yeye alisimama ,safar ikaanza telipofika fire pale balaa likaanza kumbe kwenye kiroba mle mzee alibeba chatu ,ile kamba aliifunga vibaya sijui kusudi chatu si akatoka mle kwenye kiroba,akaanza kuzurura mle ndan watu hatuna habari kumbe mwenzangu alianza kumuona akauchuna ,chatu kazurura mpaka siti ya nyuma kabisa akataka kupandisha kwenye siti abiria wa nyuma wakamuona hapo ndio tunataka kushuka kimteremko cha jangwan ,nikasikia kelele mamaaa nyokaaaaa purukushani gari zima wanyuma wote wakaja mbele sasa kigar kidogo tumebana mpaka konda kabanwa watu fungua fungua konda analalamika mmebana sogea kidogo ,kule nyuma chatu kapanda kwenye siti dude linaonekana lote asee ilikuwa hapatoshi dereva akasimamisha gari barabarani ,tulifurumuka madirishan kama kumbikumbi wengine wakatokea mlango wa mbele kidogo tusababishe ajali maana magar mengine yalikuwa yanakuja nyuma yetu bac barabara ikapata folen ghafla ,tulipokuwa nje yule mzee akawa na wasihi watu tulieni afanyi kitu hapo kila mtu na upande wake dereva na konda eakawa wanamfikea we mzee mchawi nn mtoe nyoka wako, sisi hapo tupo kama mita nane hivi yule mzee akaingia akatoka kamshika anamwambia konda nishikie kiroba nimuweke konda nduki na dereva wake kila upande anaogeukia kuomba mtu wa kumshikia kiroba watu wanakimbia,joka kubwa akafanikiwa kuliweka kwenye kitoba konda akawa anawaita watu rudini tuondoke kuna mtu alikubali unadhan yule mzee alizuiwa asipande tena kwenye gar lkn hakuna alierudi tena wengi wetu tulikuwa tunarud tena kkoo kwa mguu tumalalamika bora nipande gari lingine lile sipandi ikawa hivyo yule mzee cjui alitokomea wapi na joka lake sie tulirud mpaka fire tukapanda gar lingine