Tulioshuhudia vituko kwenye mabasi ya mikoani tukutane hapa!

Sasa hii naikumbuka kipindi bado nasoma,siku hiyo tulikuwa tunatoka kkoo tuaelekea mwenge kipindi hicho kuna vipanya,bac pale kituon ilitubidi tusubiri gar lijae kwanza ndio sie tupande ikawa hivyo,gari likajaa nasi tukapanda tukakaa siti za wanafunzi mbele pale kabla gar halijaanza kuondoka akaja mzee kabeba kiroba kama cha unga hivi juu kimefungwa kamba ya katani ,akaingia kaweka kiroba chake chini yeye alisimama ,safar ikaanza telipofika fire pale balaa likaanza kumbe kwenye kiroba mle mzee alibeba chatu ,ile kamba aliifunga vibaya sijui kusudi chatu si akatoka mle kwenye kiroba,akaanza kuzurura mle ndan watu hatuna habari kumbe mwenzangu alianza kumuona akauchuna ,chatu kazurura mpaka siti ya nyuma kabisa akataka kupandisha kwenye siti abiria wa nyuma wakamuona hapo ndio tunataka kushuka kimteremko cha jangwan ,nikasikia kelele mamaaa nyokaaaaa purukushani gari zima wanyuma wote wakaja mbele sasa kigar kidogo tumebana mpaka konda kabanwa watu fungua fungua konda analalamika mmebana sogea kidogo ,kule nyuma chatu kapanda kwenye siti dude linaonekana lote asee ilikuwa hapatoshi dereva akasimamisha gari barabarani ,tulifurumuka madirishan kama kumbikumbi wengine wakatokea mlango wa mbele kidogo tusababishe ajali maana magar mengine yalikuwa yanakuja nyuma yetu bac barabara ikapata folen ghafla ,tulipokuwa nje yule mzee akawa na wasihi watu tulieni afanyi kitu hapo kila mtu na upande wake dereva na konda eakawa wanamfikea we mzee mchawi nn mtoe nyoka wako, sisi hapo tupo kama mita nane hivi yule mzee akaingia akatoka kamshika anamwambia konda nishikie kiroba nimuweke konda nduki na dereva wake kila upande anaogeukia kuomba mtu wa kumshikia kiroba watu wanakimbia,joka kubwa akafanikiwa kuliweka kwenye kitoba konda akawa anawaita watu rudini tuondoke kuna mtu alikubali unadhan yule mzee alizuiwa asipande tena kwenye gar lkn hakuna alierudi tena wengi wetu tulikuwa tunarud tena kkoo kwa mguu tumalalamika bora nipande gari lingine lile sipandi ikawa hivyo yule mzee cjui alitokomea wapi na joka lake sie tulirud mpaka fire tukapanda gar lingine
 
Mwaka Jana mwezi wa 10 nilikua nasafiri kutoka Manyoni kuelekea Bunda.

Kama kawaida nilipanda Bunda bus, kutokana na hali ilivyo barabarani kwa sasa askari wengi jamaa alikua anatembea mwendo wa kawaida tu.
Nyegezi tukaingia mida ya saa kumi na moja jioni lakini gari ilizimika ghafla kumbe iliishiwa mafuta.
Wahusika wakafanya jitihada wakajaza mafuta ishu ikawa uwakaji wa gari maana ilikua imevuta upepo.
Baada kama ya nusu saa mambo yakakubali tuenda ofisini kwao then tukaanza safari ya kuelekea Buzuruga ili ashushe abiria wengine na apakie wengine tuendelee na safari yetu.
Kufika Buzuruga bus ikaharibika this time iliua compressor ya upepo.
Mafundi wakaanza kuhangaika, abiria wakapaniki wakaenda kumuita traffic, afande akapiga mikwara kibao pale wahusika wakaomba msamaha na ishu ikaisha.
Baada kama ya saa limoja gari ikapona tukaanza safari ya kuelekea Bunda.

Kiukweli Dereva alikua anatembea mwendo wa kawaida tu, kama 70km/h ila kutokana na ile barabara kua na mawimbi mawimbi bus ikawa kama inakimbia sana.
Abiria wakapaniki wengine walisikika wakisema Dereva tuna familia zinatutegemea Punguza mwendo.
Dereva akasema mwendo ninao tembea ni wa kawaida mbona abiria wakatulia baada kama ya dakika kumi hivi akasimama mama mmoja akamfuata dereva na kumwambia apunguze mwendo.
Basi kwenye gari ukaibuka ubishi wapo walio kua wana msapoti suka wakisema dereva aachwe atimize wajibu wake wapo walio kua wameanza kutoa vitambulisho vyao huku wakitoa kauli kama " unajua mimi ni nani ".
Dereva akaona isiwe tabu akapunguza spidi mpaka kama 10km/h.
Yani tulikua tunapitwa hadi na baiskeli.
Watu kumwambia dereva aongeze spidi wanashindwa wakaanza kulalamika tunachelewa bhana... Dereva alivyo na kiburi akasema haongezi mwendo kama huko Bunda tutafika kesho yeye hajali.
Baada ya kuona hii hali Ikabidi nishuke kituo kinaitwa masanza kona nipumzike.
Sasa sijui waliishia wapi lakini hali ilikua tete ndani ya basi.
Mkuu ulivyo taja tu masanza kona umenikumbusha mbali sana sehem za nyumbani hizo kuna magu,masanza kona,sogeska pale,kuna mwamanyili,jineri,ñyamikoma,nyashimo busega n.k n.k
Hayo maeneo yangu sanaaaaa
 
Daaaah vituko vingi sana...
-Kuna siku tuko moro tumelala zetu kwenye gari lidogo limoja likaharisha kwenye Dust bin hafu likubwa kama 14 yrs, mle ndani tulikua ni mwendo wa kutema mate kama tumenasa mimba.

-Nilishuka stendi nikakuta begi langu limebadirishwa mtu kachukua kaacha lake lenye vikama vya mtoto tu nililia sana hafu nilikua naenda kufanya field somewhere begi ndo lilikua linavyeti.hiyo ilikua Nyehunge bus
Hukuwahi kuvipata tena?? Pole sana
 
Out of topic..
-Tulitoka kijijini kuimba kwaya basi wakati wa kupanda gari likawa limejaa, nikskaita kamwanakwaya kamoja nikakapakata heheee vile gari linadunda watu tunaimba nikaanza kupapasa mapaja meisho kakalegea nikapenyua sketi nikalengesha ogo ndani nikaanza jisevia huku tunaimba sauti ikawa haieleweki mara yanne mara ya pili nikapiga tubao kamoja na nusu ndani ya gari...
Khaaaa jamani
 
Kuna Dada alikata shanga baada ya kuchimba dawa zile haraka za kurudi Kwenye basi..mbaya zaidi zilikatikia mlangoni..alikua mbele yangu..nilichofanya nikamsaidia kuokota kile kimkanda...
 
Ndomana kabla sijasafiri lazima nimeze flagyly a subuhi silikitu ikifka mida ni mwendo wa bites bites tuu clips au biskut na juic had nafika [emoji4] [emoji4] [emoji4] sjawah haribu safarini
Una tabia kama yanguu
 
Nliwah kupanda na Mzee mmoja hv bongebonge tunatoka Tabora kuja dar yan picha lilianza palepale stend asbh Mzee ananunua kila anchoona kwny dirisha anakula, safar ikaanza Mara atafune mahind ya kuchemsha Mara mayai, sijui Vitumbua tukafka sehm ya chai Mzee akashuka akanunua supu ya mbuzi na chapat tatu akapga nkasema mmmmh hya, hapohapo akaondoka na karanga za kuchemsha zle za buku jero daaah yan hapo nkajiuliza hyu Mzee anakula hv anajua tunaenda mbinguni kwhyo anashib kbx au? Tukanzaa safar tena mwendooooo mara gar dereva alismama manyoni pale Mzee akaona maembe fln ya kunyonya kanunua daaaah Kala basi gar ikasogeaaaa kwan alichukua round akaanza kujitapkia kama mtoto yan alitapkia koti lake mpk likajaa sasa akaanza kukmba msaada kwa dereva haja kubwa inakuja ikabid ashushwe sehm hamn hata choo akapewa maj ya chupa akamwaga vtu ikawa kla saa anaomba watu wakamsema xna mwsho tulimwacha dom kwa msaada wa polis kuwa anaumwa hyo tukaendlea na safar safiii.
Nkajfunza safar unatakiw ule lakn kwa uwangalifu maana yule Mzee alipewa mpk flygl zligonga mwamba.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mwaka Jana mwezi wa 10 nilikua nasafiri kutoka Manyoni kuelekea Bunda.

Kama kawaida nilipanda Bunda bus, kutokana na hali ilivyo barabarani kwa sasa askari wengi jamaa alikua anatembea mwendo wa kawaida tu.
Nyegezi tukaingia mida ya saa kumi na moja jioni lakini gari ilizimika ghafla kumbe iliishiwa mafuta.
Wahusika wakafanya jitihada wakajaza mafuta ishu ikawa uwakaji wa gari maana ilikua imevuta upepo.
Baada kama ya nusu saa mambo yakakubali tuenda ofisini kwao then tukaanza safari ya kuelekea Buzuruga ili ashushe abiria wengine na apakie wengine tuendelee na safari yetu.
Kufika Buzuruga bus ikaharibika this time iliua compressor ya upepo.
Mafundi wakaanza kuhangaika, abiria wakapaniki wakaenda kumuita traffic, afande akapiga mikwara kibao pale wahusika wakaomba msamaha na ishu ikaisha.
Baada kama ya saa limoja gari ikapona tukaanza safari ya kuelekea Bunda.

Kiukweli Dereva alikua anatembea mwendo wa kawaida tu, kama 70km/h ila kutokana na ile barabara kua na mawimbi mawimbi bus ikawa kama inakimbia sana.
Abiria wakapaniki wengine walisikika wakisema Dereva tuna familia zinatutegemea Punguza mwendo.
Dereva akasema mwendo ninao tembea ni wa kawaida mbona abiria wakatulia baada kama ya dakika kumi hivi akasimama mama mmoja akamfuata dereva na kumwambia apunguze mwendo.
Basi kwenye gari ukaibuka ubishi wapo walio kua wana msapoti suka wakisema dereva aachwe atimize wajibu wake wapo walio kua wameanza kutoa vitambulisho vyao huku wakitoa kauli kama " unajua mimi ni nani ".
Dereva akaona isiwe tabu akapunguza spidi mpaka kama 10km/h.
Yani tulikua tunapitwa hadi na baiskeli.
Watu kumwambia dereva aongeze spidi wanashindwa wakaanza kulalamika tunachelewa bhana... Dereva alivyo na kiburi akasema haongezi mwendo kama huko Bunda tutafika kesho yeye hajali.
Baada ya kuona hii hali Ikabidi nishuke kituo kinaitwa masanza kona nipumzike.
Sasa sijui waliishia wapi lakini hali ilikua tete ndani ya basi.
Hahahahahahahaah dadaaadekiii
 
Sasa hii naikumbuka kipindi bado nasoma,siku hiyo tulikuwa tunatoka kkoo tuaelekea mwenge kipindi hicho kuna vipanya,bac pale kituon ilitubidi tusubiri gar lijae kwanza ndio sie tupande ikawa hivyo,gari likajaa nasi tukapanda tukakaa siti za wanafunzi mbele pale kabla gar halijaanza kuondoka akaja mzee kabeba kiroba kama cha unga hivi juu kimefungwa kamba ya katani ,akaingia kaweka kiroba chake chini yeye alisimama ,safar ikaanza telipofika fire pale balaa likaanza kumbe kwenye kiroba mle mzee alibeba chatu ,ile kamba aliifunga vibaya sijui kusudi chatu si akatoka mle kwenye kiroba,akaanza kuzurura mle ndan watu hatuna habari kumbe mwenzangu alianza kumuona akauchuna ,chatu kazurura mpaka siti ya nyuma kabisa akataka kupandisha kwenye siti abiria wa nyuma wakamuona hapo ndio tunataka kushuka kimteremko cha jangwan ,nikasikia kelele mamaaa nyokaaaaa purukushani gari zima wanyuma wote wakaja mbele sasa kigar kidogo tumebana mpaka konda kabanwa watu fungua fungua konda analalamika mmebana sogea kidogo ,kule nyuma chatu kapanda kwenye siti dude linaonekana lote asee ilikuwa hapatoshi dereva akasimamisha gari barabarani ,tulifurumuka madirishan kama kumbikumbi wengine wakatokea mlango wa mbele kidogo tusababishe ajali maana magar mengine yalikuwa yanakuja nyuma yetu bac barabara ikapata folen ghafla ,tulipokuwa nje yule mzee akawa na wasihi watu tulieni afanyi kitu hapo kila mtu na upande wake dereva na konda eakawa wanamfikea we mzee mchawi nn mtoe nyoka wako, sisi hapo tupo kama mita nane hivi yule mzee akaingia akatoka kamshika anamwambia konda nishikie kiroba nimuweke konda nduki na dereva wake kila upande anaogeukia kuomba mtu wa kumshikia kiroba watu wanakimbia,joka kubwa akafanikiwa kuliweka kwenye kitoba konda akawa anawaita watu rudini tuondoke kuna mtu alikubali unadhan yule mzee alizuiwa asipande tena kwenye gar lkn hakuna alierudi tena wengi wetu tulikuwa tunarud tena kkoo kwa mguu tumalalamika bora nipande gari lingine lile sipandi ikawa hivyo yule mzee cjui alitokomea wapi na joka lake sie tulirud mpaka fire tukapanda gar lingine
Mtaniua leooo kwa vituko nyie watu,,mimi navyoogopa nyoka ningekufwaa tena chatu jamani
 
Nliwah kupanda na Mzee mmoja hv bongebonge tunatoka Tabora kuja dar yan picha lilianza palepale stend asbh Mzee ananunua kila anchoona kwny dirisha anakula, safar ikaanza Mara atafune mahind ya kuchemsha Mara mayai, sijui Vitumbua tukafka sehm ya chai Mzee akashuka akanunua supu ya mbuzi na chapat tatu akapga nkasema mmmmh hya, hapohapo akaondoka na karanga za kuchemsha zle za buku jero daaah yan hapo nkajiuliza hyu Mzee anakula hv anajua tunaenda mbinguni kwhyo anashib kbx au? Tukanzaa safar tena mwendooooo mara gar dereva alismama manyoni pale Mzee akaona maembe fln ya kunyonya kanunua daaaah Kala basi gar ikasogeaaaa kwan alichukua round akaanza kujitapkia kama mtoto yan alitapkia koti lake mpk likajaa sasa akaanza kukmba msaada kwa dereva haja kubwa inakuja ikabid ashushwe sehm hamn hata choo akapewa maj ya chupa akamwaga vtu ikawa kla saa anaomba watu wakamsema xna mwsho tulimwacha dom kwa msaada wa polis kuwa anaumwa hyo tukaendlea na safar safiii.
Nkajfunza safar unatakiw ule lakn kwa uwangalifu maana yule Mzee alipewa mpk flygl zligonga mwamba.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ahahaha
 
IMG_20180409_084254.jpg
 
Ndo maana nikienda safar ya masaa 12 huwa nakunywa soda moja au mbili,crips au apple pekee maana tumbo langu nalifahamu nikikosea kidogo tu ni shida
 
Mimi ndio nilileta balaa nakumbuka nilikesha nakunywa pombe afu kesho yake nna safari ya dom so asubuh nimetoka club nikaunga moja kwa moja ubungo, nilikaa na demu mmoja niliyekuwa nnamfahamu chuo, daah iyo siku nilikoroma, nikaemda kutapika chooni nimechafua hakufai, ile siku nilikuwa ni kero kwa kweli nikiamka kwenda chooni lazima nimdondokee mtu na mtu akiongea nnamletea mbovu...nilipofika dumila ndio nikaanza kuwa poa mpaka nnafika dom niliona aibu sana
Ahahahaha balaaa haya mapombe
 
Mkuu ulivyo taja tu masanza kona umenikumbusha mbali sana sehem za nyumbani hizo kuna magu,masanza kona,sogeska pale,kuna mwamanyili,jineri,ñyamikoma,nyashimo busega n.k n.k
Hayo maeneo yangu sanaaaaa
Hahahaha naomba nikupongeze kwa kutoka maeneo hayo.
Kuna watu wakarimu sana aisee.
 
Back
Top Bottom