Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

Kwakweli mnalalamika mpaka roho inaniuma poleni sana wajameni ndio siasa hiyo jipangeni kwa uchaguzi ujao..

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Walijipanga Sana isipokuwa kama mtoa mada alivyoonesha masikitiko yake, ilibidi watii mamlaka. Huenda kuna namna Ya maandalizi yanapaswa kuanza kufanyika sasa kuelekea 2025
 
Kwakweli mnalalamika mpaka roho inaniuma poleni sana wajameni ndio siasa hiyo jipangeni kwa uchaguzi ujao..

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu hukuwaona walivyokuwa wanatukana juzi kati hapa
 
Hongera ndugu kwa kusema ukweli nakushauri pia uende kutubu kwa ajili yako ili usiwe mmoja wa washiriki wa hii dhambi na uovu huu mkubwa uliofanyika mbele ya uso wa Mungu.
 
Mimi nilitenda haki na CHADEMA /upinzani wameshindwa kwa haki mf kwenye kituo changu kura za urais ccm kura171,CHADEMA kura 36,ubunge CCM kura 151,CHADEMA kura 67 na vituo vya majirani zangu pia CCM imeongoza kwa gape kubwa tu nadhani kuna kitu upinzani wajipange vzr kukifanyia kazi hasa vijijini, wenzao ccm wanamtaji mkubwa sana huko, ukijumlisha na mbwembwe zingine kama TASAF na ugawaji wa nguo za chama yaani huwaambii kitu vijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna lolote unataka kupotosha umma hujasimamia uchaguzi wewe
 

Wale hawakua polisi ni bakabaka ndani ya FFU uniform
 
Nilisema juzi humu sisi wananchi watanzania ni wapumbavu na matahira,kila kitu tumewaachia viongozi wa upinzani nao wamechoka maana hawapati sapoti yoyote kutoka kwa wananchi.

Hata leo hii tukabadilishiwa katiba tukapewa ya USA,kama Rais ni magufuli atafanya against ni hatutafanya chochote.

Ngoja tuungane na wenzetu waganda na Rwanda kuhalalisha upumbavu wetu wa kiafrika.
 
Kaka ukijifanya ngangari hao jamaa wanakuchapa risasi, hao watu wameshaamua kubaki madarakani kwa gharama yoyote ikibidi kumwaga damu za watu wasio na hatia!
 
Kituo nilichopigia kura mawakala wa upinzani hawakuwepo walifukuzwa kabisa kisa hawakupewa barua ya utambulisho na mkurugenzi, sehemu nyingine walitishiwa maisha la sivo wanauliwa, mawakala ikabidi wasepe tu.
 
Mwisho wa dhalim haujawahi kuwa mzuri.
Kwakweli mnalalamika mpaka roho inaniuma poleni sana wajameni ndio siasa hiyo jipangeni kwa uchaguzi ujao..

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…