Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

Majuto ni mjukuu. Sasa mmeturudisha kwenye utawala wa Chama Kimoja. Sio peke yenu. Hata mawakala wa vyama vya upinzani wamechangia haya

Magufuli atasema ameshinda ila CCM na TANZANIA kwa ujumla tumepoteza
Umeshatajirika sasa unajifanya kuja kujuta, eff you.
 

Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali
 
Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka Nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Mkuu uko serious hauchangamshi genge?

Naomba usinielewe vibaya mkuu!!
 
Mimi ntashangaa Sana mwaka 2025 Kama wapinzan watashiriki Tena huu uchaguz bila katiba mpya ,Tena ntashangaa Sana na huo ndio utakuwa mwisho wangu wa kupiga kura had naingia kaburini na hata mke Wang sintamruhusu ajihusishe na Mambo ya kupiga kura .

Narudia Tena nitashangaa Kama wapinzan watajihusisha na uchaguz ujao Kama katiba itabak ivi ivi..
 
Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.

Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisaa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza...
Mkuu ulichosema ndiyo kauli ya wasimamizi wengi wa uchaguzi na iliwalazimu wengine kuzila kupiga kura baada ya kuona mauzauza ya jinsi kura zilivyoletwa zikiwa zimeshapigwa.

Hawa wana CCM wanaojitapa humu mtandaoni ni vipofu na wanashabikia wasichokijua. Naomba niwaeleze kuwa kuwa na wabunge wote CCM kutawafurahisha kwa kitambo tu lakini mjue tutaumia wote wakati mbunge aliyezawadiwa ubunge ataona shida kuongea ukweli hata pale uko wazi.
 
Kuwaza uchaguzi wa 2025 sasa ni kujipa matumaini ya kupata paradiso wakati humuabudu Mungu, Meko na timu yake wanajipanga kutawala maisha Yao yote wakichagizwa na Rwanda, Burundi na Uganda. Na kama Hana dhamira hio asingejishughulisha kuiba majimbo yote Bara na Zanzibar. Shabaha ni kutawala maisha na kuifanya Zanzibar kuwa wilaya.
 
Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka Nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Umefanya toba kwa nani ?, nyinyi si mlikula kiapo na mkalipwa hela kwa ajili ya kula kiapo hicho? mlikuwa mnaapishwa nini ?, mnatakiwa wote mtoke hadharani muite vyombo vya habari mtangazie Umma kwamba mlilazimishwa kusaini matokeo bila kuhesabu kura na mengine mengi kinyume na utaratibu, vinginevyo hiyo dhambi itaendelea kuwafuata popote muendako
 
Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.

Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisaa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza...
#UsimamiziUchaguzi: Mkuu, sina hakika kama umechangia kwenye uzi huu ukiwa mtu halisi au ni hisia hasi ulizonazo kwa muda mrefu dhidi ya mamlaka unayodai ilikuamuru kutii maelekezo yao.

Endapo utahitajika kutoa ushahidi wa hiki unachokieleza kwa kutumia jina feki lakini IP address yako ikijulikana uko tayari? Acheni majungu yasiyo na uthibitisho ili mradi ufurahishe wenye mlengo kama wa kwako.
 
Mimi nilitenda haki na CHADEMA /upinzani wameshindwa kwa haki mf kwenye kituo changu kura za urais ccm kura171,CHADEMA kura 36,ubunge CCM kura 151,CHADEMA kura 67 na vituo vya majirani zangu pia CCM imeongoza kwa gape kubwa tu nadhani kuna kitu upinzani wajipange vzr kukifanyia kazi hasa vijijini, wenzao ccm wanamtaji mkubwa sana huko, ukijumlisha na mbwembwe zingine kama TASAF na ugawaji wa nguo za chama yaani huwaambii kitu vijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazi kabisa kuwa kuna maeneo CHADEMA wasingeweza kushinda hata iweje. Lakini sio vituo vyote nchini washindwe tena kwa kiwango hicho. Ingesaidia zaidi kama ungetaja jimbo lako maana wenzako ndio waliofanya wasimamizi wote muonekane hamfai.

Amandla...
 
Kanda
Nina taarifa za mwalimu mmoja huko kanda ya ziwa aliyekataa kupinduwa matokeo, akapigwa vibaya kisha wakaondoka naye.
Ya ziwa hii chai,huko Magufuli anapendwa hatari,rumours sio poa.
Mnataka kuchafua amani tu.
 
The sad thing ni kua wasimamizi wenyewe wamepigwa vibaya miaka mitano, ila posho walizoahidiwa zimewafanya wasahau shida zote, hela yenyewe watakula siku mbili itaisha watarudi palepale, yaani ni sawa na mtu anayeenda kufanya mapenzi na mtu mwenye ukimwi, unajua kabisa ukiwekamo utaupata ila kwa kua unawaza sana raha ya kumwaga ya sekunde chache unaamua kujitosa mzima mzima unapata ngoma, ukishamaliza ndiyo unaanza kujutia ulichokifanya ngoma unakaa nayo milele. Wasimamizi shenzi, polisi shenzi, wote walioshiriki kuwaibia watanzania SHENZI. You'll die poor assholes
 
Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka Nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Mkuu mungu atakusamehe tu maadamu umelichukia hilo jambo hukufanya kwa kupenda.

Mungu sio mpuuzi kiasi hiko
 
Back
Top Bottom