mbatizajijr
Member
- Nov 20, 2019
- 28
- 18
Ndioo maandiko yenyewe yanasema itiini mamlaka ilio huu yenu..Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.
Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.
Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?
Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.
Na bila aibu utamuona jumapili yupo kanisani akipokea maji ya baraka kutoka kwa padreBinafsi tashangaa bwana yule kuendelea kumtaja Mungu! Hasa kwenye shughuli zake!
Hili kosa utakufa nalo, hakuna jambo baya kama kuusaliti umma.Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Usiisingizie biblia kwenye Mambo ya kishetaniHata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Kweli kabisamambo ni ya moto kwa ground
Mkuu hii lugha haifaiona huyu senge
Guilty conscious ndio iliyopo sasa wapo wengi wanasema kitu hichohichoMaafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
JIZIKwakweli mnalalamika mpaka roho inaniuma poleni sana wajameni ndio siasa hiyo jipangeni kwa uchaguzi ujao..
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole sana Kamanda ...Siasa sio lelemama.JIZI
Inawezekana Hujajielewa bado ila nakwambia neno moja tuu kama wa kusikia basi sikia :-[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole sana Kamanda ...Siasa sio lelemama.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hili ni la kwetu wote. Tunapaswa kumuomba Mungu atuondolee matatizo yote yanayoweza kutokea.Msichojua ni kwamba hiyo sindano huishia kuwachoma wote.... Unamkumbuka yule gwiji wa nyimbo za mbogamboga marehemu kapteni Komba? Ndiye aliyetunga ule wimbo maarufu wa wapinzani wataisoma namba. Muda mfupi baadaye yeye ndiyo akaanza kuisoma namba kwa kudaiwa kodi lukuki na mikopo ya benki kila kona, mwishowe shule yake ikadakwa na moja ya benki... Na ugonjwa ukachanganya, Mungu naye akamuita.... [emoji23] [emoji23]
Acha mbwembwe, nimesimamia kituo kinaitwa Wankorongo, Lissu kapata kura mbili! Kubalini mmepigwa kichapo cha mbwa mwizi, laana ya Dr Slaa hii, mkome kukumbatia wapenda kufumuana mitaro!Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.
Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.
Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?
Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.
Kituo nilichopigia kura mawakala wa upinzani hawakuwepo walifukuzwa kabisa kisa hawakupewa barua ya utambulisho na mkurugenzi, sehemu nyingine walitishiwa maisha la sivo wanauliwa, mawakala ikabidi wasepe tu.
Ndugu yangu tumepoteza. What happened is a pre- cursor of bad thing.Tanzania haijapoteza
Tuendelee kujifunza. Tutaelewa baadae. Ni kama kunywa mtori nyama utakutana nazo chini. Ipo siku tutaelewa vizuri zaidiHujui kuwa hata kiti cha shetani ni mamlaka?
Sio kila mamlaka ni ya kuitii.
Wana wa Israel wangekuwa malofa wangeendelea kuitii mamlaka ya Kimusri mpaka leo na Safari ya Israel Misri to Kanaani Isingeandikwa vitabuni
Mi siamini kwenye hilo. Kuna mengi mazuri yanakuja. Tutarajie kuona mafanikio mengi. Nchi hii ni yetu sote. Kama wapinzani ndio walikuwa wanakwamisha maendeleo naamini sasa ndio mda wa kuangalia visingizio vya wakati uliopita kama vitakuwa vilevile wakati ujao. Tuendelee kuwa wavumilivu kaka. Mda utatuambiaNdugu yangu tumepoteza. What happened is a pre- cursor of bad thing.
Kuwa mpole kaka. Tuwekeze kwenye mdaInawezekana Hujajielewa bado ila nakwambia neno moja tuu kama wa kusikia basi sikia :-
DHAAALIM