Tuliosoma Iringa: The Highlands, Lugalo, Iringa Girls, Mkwawa HS na Mwembetogwa tukutane hapa!

Mkuu, nilikuwepo pale kati ya 1984 - 1987.
Ok mlikuwa na akina Brutus Hyera, Mgeni, Flora Mbando na njemba moja kutoka Singida ilikuwa na akili sana, pia akina Rehema Kabongo na demu mmoja walikuwa wanamtania kama mama Fatuma!
 
Sana Sana mkuu.Malangali nilipiga A-Level.Niliishi Shaban Robert then Bangu A.Wewe uliishi bweni lipi mkuu?

Shaban Robert enzi hizo lilikuwa wanaishi manunda sana. Niliishi lile bweni karibu na Posta. Nakumbuka sana mbalamaziwa mkuu.
 
Ok mlikuwa na akina Brutus Hyera, Mgeni, Flora Mbando na njemba moja kutoka Singida ilikuwa na akili sana, pia akina Rehema Kabongo na demu mmoja walikuwa wanamtania kama mama Fatuma!

Brutus Hyera namkumbuka vizuri bali hao wengine sana sana majina yao si mageni sana. Kulikuwa na mikondo (streams) mingi kwahiyo kufahamiana ilitegemea unasoma stream gani na una mahusiano gani na wanafunzi wa mikondo mingine
 
Lugalo 2010 nimemaliza, nawakumbuka sana [HASHTAG]#kidenya[/HASHTAG] [HASHTAG]#Luyagilo[/HASHTAG] [HASHTAG]#manyama[/HASHTAG] nk
 
Ubaguzi mbona vidume Tosamaganga umewatenga?
 
Usisahau Lumumba West wazee wa pamba (pamba production)LWP². Na mwalimu wao Toz M (Mwalituke babu)
 
Umenikumbusha sana ,wakati ule nilikua Lugalo na ninaishi mwangata. Nilitimua mbio nyingi sana kupitia Frelimo, isoka na kutokea home
 
Mzee Mbigili hatunae duniani. Alifariki bwana.
 
Shabaan Robert East ndio dom yangu those days, daah mkuu umenikumbusha the old days.
 
Mbona hoja zako zinaonyesha ulirudia standard 7 eti kuna ukweli katika hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…