Tuliosoma SAUT MWANZA ( main campus) tukutane hapa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Binafsi nimepata maari ya kutosha kutoka saut Mwanza
Nimehitimu pale 2015

Chuo cha SAUT kimetoa wanasiasa wanaojiamini na wanalitumikia Taifa Kwa uadilifu

Baadhi ya wanasiasa ni Naibu waziri mkuu Ditto Biteko, David Kafulila, Heche, Malisa, n. K

Mtu aliyesoma SAUT laZima awe na maarifa ya kutosha na awe mwana mapinduzi Kwa namna Moja ama nyingine

Njooni hapa tukumbuke enzi zetu na maisha Kwa ujumla
Walioishi nje ya chuo kama Ngaza, Kwa Masha, Sweya n. K na baadhi ya hostel maarufu

Tuwakumbuke lecturers wetu kutoka course tofauti na vimbwenga vyao

Tukumbuke msuri wa kusaka course work, n. K

Najivunia kusoma na kupata maarifa ya kutosha kutoka SAUT Mwanza

SAUT: " Building the City of God'
 
Attachments

  • markup_1000078888.png
    markup_1000078888.png
    1 MB · Views: 6
  • markup_1000078889.png
    markup_1000078889.png
    1.3 MB · Views: 6
  • markup_1000078887.png
    markup_1000078887.png
    945.3 KB · Views: 6
Binafsi nimepata maari ya kutosha kutoka saut Mwanza
Nimehitimu pale 2015

Chuo cha SAUT kimetoa wanasiasa wanaojiamini na wanalitumikia Taifa Kwa uadilifu

Baadhi ya wanasiasa ni Naibu waziri mkuu Ditto Biteko, David Kafulila, Heche, Malisa, n. K

Mtu aliyesoma SAUT laZima awe na maarifa ya kutosha na awe mwana mapinduzi Kwa namna Moja ama nyingine

Njooni hapa tukumbuke enzi zetu na maisha Kwa ujumla
Walioishi nje ya chuo kama Ngaza, Kwa Masha, Sweya n. K na baadhi ya hostel maarufu

Tuwakumbuke lecturers wetu kutoka course tofauti na vimbwenga vyao

Tukumbuke msuri wa kusaka course work, n. K

Najivunia kusoma na kupata maarifa ya kutosha kutoka SAUT Mwanza

SAUT: " Building the City of God'
Fr. Dkt. Leons Maziku, papaaa Mulongo, Katigula, Prof. Chiteji, Sijo, Thobias, karuhawe, Munga, nk
 
Kiufupi nmepta pale kwenye ujenzi wa jiji la mungu kuanzia 2016-2020, nmekaa hostel za ngulelo, junior, freemason.
Nawakumbuka magwiji awa fr.mabula,fr.maziku,prof.bilame,prof chiteji(rip my best friend ever😭😭), prof ndabanenze,fr.mukamwa,sir Octavian mahamba,prof Spillane!..... Asee ni weng sana nikitaja wote apa ntajaza Uzi ila kiufupi saut Kuna vichwa sana pale!
 
Binafsi nimepata maari ya kutosha kutoka saut Mwanza
Nimehitimu pale 2015

Chuo cha SAUT kimetoa wanasiasa wanaojiamini na wanalitumikia Taifa Kwa uadilifu

Baadhi ya wanasiasa ni Naibu waziri mkuu Ditto Biteko, David Kafulila, Heche, Malisa, n. K

Mtu aliyesoma SAUT laZima awe na maarifa ya kutosha na awe mwana mapinduzi Kwa namna Moja ama nyingine

Njooni hapa tukumbuke enzi zetu na maisha Kwa ujumla
Walioishi nje ya chuo kama Ngaza, Kwa Masha, Sweya n. K na baadhi ya hostel maarufu

Tuwakumbuke lecturers wetu kutoka course tofauti na vimbwenga vyao

Tukumbuke msuri wa kusaka course work, n. K

Najivunia kusoma na kupata maarifa ya kutosha kutoka SAUT Mwanza

SAUT: " Building the City of God'
Kwa kuongezea mwenyekiti wa bavicha taifaa ndugu John Justin pambalu ni allumin pia...

Wapo wengi Mimi ndugu zangu wawili wa damu wamesoma palee...

Ma course mengi mpaka FRENCH ni balaaa
 
Katika sehemu ambayo sijawahi kupenda kukaa ni mitaa ya Masha. Vumbi shida ya maji nk.

Ulikuwa huniambii kitu kwa Nyamalango na Sweya. Sweya pale nilikaa mwisho wa barabara ya mawe. Nyamalango nilikaa hostel moja ipo karibu na BMCC church
 
Back
Top Bottom