Tuliosoma SAUT MWANZA ( main campus) tukutane hapa

Tuliosoma SAUT MWANZA ( main campus) tukutane hapa

Mwamba mmoja anaitwa Mwila,, katigula nasikia kastaafu amepumzika sasa,, Dr sanga, Papaa mzee wa misifa ukimsifia vizuri cozwork unayo
 
Mwamba mmoja anaitwa Mwila,, katigula nasikia kastaafu amepumzika sasa,, Dr sanga, Papaa mzee wa misifa ukimsifia vizuri cozwork unayo
Katika maisha yangu ya kusoma nasi ukiniuliza mtihani mrefu zaidi niliowahi kuufanya ni education measurement and evaluation wa mwila. Aloo hakuna aliyewahi kutoka mapema. Nashukuru siku supp
 
Binafsi nimepata maari ya kutosha kutoka saut Mwanza
Nimehitimu pale 2015

Chuo cha SAUT kimetoa wanasiasa wanaojiamini na wanalitumikia Taifa Kwa uadilifu

Baadhi ya wanasiasa ni Naibu waziri mkuu Ditto Biteko, David Kafulila, Heche, Malisa, n. K

Mtu aliyesoma SAUT laZima awe na maarifa ya kutosha na awe mwana mapinduzi Kwa namna Moja ama nyingine

Njooni hapa tukumbuke enzi zetu na maisha Kwa ujumla
Walioishi nje ya chuo kama Ngaza, Kwa Masha, Sweya n. K na baadhi ya hostel maarufu

Tuwakumbuke lecturers wetu kutoka course tofauti na vimbwenga vyao

Tukumbuke msuri wa kusaka course work, n. K

Najivunia kusoma na kupata maarifa ya kutosha kutoka SAUT Mwanza

SAUT: " Building the City of God'
Vyuo kibongo bongo ni SUA, UDSM, ARUna Mzumbe & MUHAS kidogo vingine ni vyuo vya Kata
 
Katika maisha yangu ya kusoma nasi ukiniuliza mtihani mrefu zaidi niliowahi kuufanya ni education measurement and evaluation wa mwila. Aloo hakuna aliyewahi kutoka mapema. Nashukuru siku supp
Dah uyo jamaa pepa lake nilifanya maswali mawili na nusu ila nilipata C, pepa halikua na mtu wa kwanza kutoka yan hadi wasimamizi waliposema shusha peni apo ndio wadau wanaanza kukusanya asee
 
Back
Top Bottom