Tuliosoma SAUT MWANZA ( main campus) tukutane hapa

Njura alifariki kimasihara sana. Katupatia notice kwa group asubuhi ya saa nne ila jioni tunaambiwa tayari kafariki.
Sijawahi papenda mazingira ya chuo niliwamaind tcu 2011 kunichagua ila nilijikaza kusoma M 13 PR mwili mzima niliishi nje nayo nilimaind first year kupanga enzi hizo wanafunzi nyomi lecture wangu njura ( rest in peace) Octavian Mahamba katoka German anatupa story enzi hizo tupo third year.. all mwanza pazuri
 
Saut kimasomo ilikua fresh kweli msuli msuli ila hii coarse ya French ilikua inapasua kichwa hasa
Siku watu wanafanya supplementary ya French unaweza hisi chuo kimefunguliwa maana papa alikua yuko vizuri ktk kushika watu, nitamkumbuka sana Mr mashiku yule babu alitufundisha Procurement akifika sehema ya ethics of Procurement somo linakuingia hata ukija kwenye upambanaji wa maisha zile 10% unazipiga chini kwa sababu ya ethics of Procurement
Alafu French waka iweka mwaka wa 3 semister ya pili ebhanaeeee 🔥
 
Mambo mengine bhana watu wazima mna fundishwa lugha ya kigeni semister moja 😆
Tena ukifeli inakubakisha, nakumbuka Kuna quiz tulichelewe kipindi tukaenda kumwomba papaa kufika ofisini kwake anasema anataka tuongee nae kifaransa sio kingereza rafiki yangu akaona isiwe tabu akasema put zero in my coarse work hakutaka kuumiza kichwa kuongea maana hata cha kuongea angeishia salamu tu
 
Binafsi nimepata maari ya kutosha kutoka saut Mwanza
Nimehitimu pale 2015

Chuo cha SAUT kimetoa wanasiasa wanaojiamini na wanalitumikia Taifa Kwa uadilifu

Baadhi ya wanasiasa ni Naibu waziri mkuu Ditto Biteko, David Kafulila, Heche, Malisa, n. K

Mtu aliyesoma SAUT laZima awe na maarifa ya kutosha na awe mwana mapinduzi Kwa namna Moja ama nyingine

Njooni hapa tukumbuke enzi zetu na maisha Kwa ujumla
Walioishi nje ya chuo kama Ngaza, Kwa Masha, Sweya n. K na baadhi ya hostel maarufu

Tuwakumbuke lecturers wetu kutoka course tofauti na vimbwenga vyao

Tukumbuke msuri wa kusaka course work, n. K

Najivunia kusoma na kupata maarifa ya kutosha kutoka SAUT Mwanza

SAUT: " Building the City of God'
Tukalijenge jiji la mungu
 
Ukiwa humu mtandaoni comment za kusifia hizi high schools zilizochangamka unaweza ukapagawa.

washaurini hivyo vyuo vyenu vitu kadha vya kufanya;

1. Ikishindikana kabisa kuwe na SPECIAL ORIENTATION ya Matumizi sahihi ya vyoo, ni ukweli usiopingika vyoo vingi katika the so called vyuo ni vichafu na havina maji.

2.Wa update mazingira, hapo sauti hata kantini ya chakula ni maajabu.

3.Vyuo vijengwe kwa mpangilio, unakuta chuo kimejengwa kama vichuguu vya siafu hakuna mpangilio hakuna walking pavement, hakuna parking za kueleweka mazingira machafu hakuna hostel za kutosha wala halls.

Mpunguze kujisifu leteni OUTPUT ya mlivyosoma na muonyeshe utofauti, wasomi wengi saivi ndo MACHAWA.Kuja humu mtandaoni na kujiHYPE ni kutaka tuanze kuwararua bila sababu😀😀😀
 
Ur right
 
Nimehitimu SAUT miaka 9 iliyopita, na sijapata wasaa wa kurudi kuona hizi tuhuma zako, kwaiyo siwezi kukubali wala kukataa
 
Back
Top Bottom