Tuliosoma SAUT MWANZA ( main campus) tukutane hapa

Katika sehemu ambayo sijawahi kupenda kukaa ni mitaa ya Masha. Vumbi shida ya maji nk.

Ulikuwa huniambii kitu kwa Nyamalango na Sweya. Sweya pale nilikaa mwisho wa barabara ya mawe. Nyamalango nilikaa hostel moja ipo karibu na BMCC church
Hahahaaaaa mimi mwanzo Nono hostel nikahamia pale kwa muhindi kwa kina Shaidu
 
Katika sehemu ambayo sijawahi kupenda kukaa ni mitaa ya Masha. Vumbi shida ya maji nk.

Ulikuwa huniambii kitu kwa Nyamalango na Sweya. Sweya pale nilikaa mwisho wa barabara ya mawe. Nyamalango nilikaa hostel moja ipo karibu na BMCC church
Wakongwe laZima wakae mbali hasa Sweya au Nganza
Nyamalango na Masha ni sehemu za mademu na first year
 
Nilikuwa nasoma nsumba enzi hizo kabla yako wewe kuwa sauti, aisee nilikuwa najiona mwanachuo. Ijumaa ilikuwa siku magari yanakuja soma wanachuo bure kuwapeleka club na sisi tunazamia kama kawa tukijifanya wanachuo.
Picha niliyopata wakati huo ni kwamba chuo ni starehe na ngono kwa kwenda mbele. I was looking forward nimalize niende chuo na mimi niishi maisha hayo.
 
Hiki ni chuo cha nini? Maana watu wanachanganya vyuo vikuu na High School zilizochangamka
 
Saut kimasomo ilikua fresh kweli msuli msuli ila hii coarse ya French ilikua inapasua kichwa hasa
Siku watu wanafanya supplementary ya French unaweza hisi chuo kimefunguliwa maana papa alikua yuko vizuri ktk kushika watu, nitamkumbuka sana Mr mashiku yule babu alitufundisha Procurement akifika sehema ya ethics of Procurement somo linakuingia hata ukija kwenye upambanaji wa maisha zile 10% unazipiga chini kwa sababu ya ethics of Procurement
 
Njura alifariki kumbe? oohhh sikujua kabisa.. PR mwili mzima, BASO mbwe mbwe 😁😁😁 BAMC shout out to Mr Rubaba, Mpagaze, e.t.c
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…