Tuliosoma SAUT MWANZA ( main campus) tukutane hapa

Njura alifariki kimasihara sana. Katupatia notice kwa group asubuhi ya saa nne ila jioni tunaambiwa tayari kafariki.
 
Alafu French waka iweka mwaka wa 3 semister ya pili ebhanaeeee πŸ”₯
 
Njura alifariki kumbe? oohhh sikujua kabisa.. PR mwili mzima, BASO mbwe mbwe 😁😁😁 BAMC shout out to Mr Rubaba, Mpagaze, e.t.c
Hahahahaha nimecheka sana pr mwili mzima, marafiki zangu walikua BASO na PR sasa ukiwakuta wakijitapa Pr mwili mzima, weekend bata bata ila tunatoka mbali kweli
 
Mambo mengine bhana watu wazima mna fundishwa lugha ya kigeni semister moja πŸ˜†
Tena ukifeli inakubakisha, nakumbuka Kuna quiz tulichelewe kipindi tukaenda kumwomba papaa kufika ofisini kwake anasema anataka tuongee nae kifaransa sio kingereza rafiki yangu akaona isiwe tabu akasema put zero in my coarse work hakutaka kuumiza kichwa kuongea maana hata cha kuongea angeishia salamu tu
 
Tukalijenge jiji la mungu
 
Ukiwa humu mtandaoni comment za kusifia hizi high schools zilizochangamka unaweza ukapagawa.

washaurini hivyo vyuo vyenu vitu kadha vya kufanya;

1. Ikishindikana kabisa kuwe na SPECIAL ORIENTATION ya Matumizi sahihi ya vyoo, ni ukweli usiopingika vyoo vingi katika the so called vyuo ni vichafu na havina maji.

2.Wa update mazingira, hapo sauti hata kantini ya chakula ni maajabu.

3.Vyuo vijengwe kwa mpangilio, unakuta chuo kimejengwa kama vichuguu vya siafu hakuna mpangilio hakuna walking pavement, hakuna parking za kueleweka mazingira machafu hakuna hostel za kutosha wala halls.

Mpunguze kujisifu leteni OUTPUT ya mlivyosoma na muonyeshe utofauti, wasomi wengi saivi ndo MACHAWA.Kuja humu mtandaoni na kujiHYPE ni kutaka tuanze kuwararua bila sababuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ur right
 
Nimehitimu SAUT miaka 9 iliyopita, na sijapata wasaa wa kurudi kuona hizi tuhuma zako, kwaiyo siwezi kukubali wala kukataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…