Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida mkuu, hata huko Nyaigela ntajitahidi nifikeendelea kuzurura mkuu
Nauona Uzi kimasihara coming soon.....kuimaliza Tz yote nimebakisha mikoa yote ya Nyanda za juu kusini na Zanzibar,lakini huku Nyanda za juu taenda huu mwaka kuna mali inapiga simu nyingi acha niende nikampasulie huko huko kwao Nyanda za juu kusini.
TayariMKUU hii mikoa ndo bado au ndo tayari
karibu sanaHakuna shida mkuu, hata huko Nyaigela ntajitahidi nifike
😂😂😂Bado kufika Mbeya niende Mbozi kumuona Lucas Mwashambwa
Mara not MalaKagera = karagwe
Mala =musoma
Dodoma =Ihumwa,mtumba na Vikonje
Morogoro =Msavu mtaa wa ngoto
Pwani= visiga na kongowe
Mtwara = masasi,mangaka.
Ruvuma =mtamba swala.
Dar es salaam nime zaliwa hapo nimekulia hapo.
Ukifika Mbeya tafadhali nijulishe nikutembeze walau kumbi za starehe zote kwa Corolla yangu Ila uwe umeruhusiwa na Kaka mkubwaBado kufika Mbeya niende Mbozi kumuona Lucas Mwashambwa