Tuliotembea mikoa mingi tujuane

Tuliotembea mikoa mingi tujuane

Nimefika
Njombe
Iringa
Ruvuma
Dodoma
Singida
Dar
Morogoro
Mwanza
Shinyanga
Mara
Mtwara
Pwani
Tabora
Simiyu
 
kuimaliza Tz yote nimebakisha mikoa yote ya Nyanda za juu kusini na Zanzibar,lakini huku Nyanda za juu taenda huu mwaka kuna mali inapiga simu nyingi acha niende nikampasulie huko huko kwao Nyanda za juu kusini.
Nauona Uzi kimasihara coming soon.....
 
Mbeya, tabora,dar es salaam,songwe, Zanzibar

Bado arusha,mwanza natarajia kwenda
 
Bado mikoa 8 kumaliza nchi
Mwanza
Tanga
Arusha
Kilimanjaro
Ruvuma
Kigoma
Simiyu



Kwa.mwaka huu nitamalizana na kigoma na mwanza
Ntabakiza
6 ambayo mwakani nitapunguza tanga pengine au arusha pia
Mkoa pekee ambao si a uhakika ni ruvuma tuuu
 
Kagera = karagwe
Mala =musoma
Dodoma =Ihumwa,mtumba na Vikonje
Morogoro =Msavu mtaa wa ngoto
Pwani= visiga na kongowe
Mtwara = masasi,mangaka.
Ruvuma =mtamba swala.
Dar es salaam nime zaliwa hapo nimekulia hapo.
 
Mikoa niliyotembelea mpaka sasa
1. Geita
2. Mwanza
3. Shinyanga
4. Simiyu
5.Tabora
6. Singida
7. Dodoma
8. Morogoro
9. Pwani
10. Dar es salaam
11. Zanzibar
12. Tanga
13. Kilimanjaro
14. Arusha
15. Manyara
16. Iringa
17. Njombe
18. Mbeya
 
Dar es Salaam
Pwani
Mtwara
Lindi- nimepita
Morogoro
Dodoma
Iringa
Singida
Kahama
Mwanza
Arusha
Songea
Moshi- nimepita
Bukoba
Tanga - nimepita
 
Mimi siyo mpenzi wa kusafiri, ingekuwa si kwenda kusoma. Na kuhamishwa kwa wazazi kikazi, namimi kusafiri kikazi. Ningeenda mikoa michache sana.
Mikoa niliyotembelea na kuishi.
1. Dar es Salaam.
2. Mbeya.
3. Iringa.
4. Singida.
5. Dodoma.
6. Tabora.
7. Kilimanjaro.
8. Rukwa.
9. Morogoro.
10. Mara.
11. Mwanza.
12. Pwani.
13. Tanga.
14. Shinyanga.
15. Zanzibar.
16. Arusha.
Mikoa iliyobaki, panapo uzima nitaimalizia tu.
 
1) Kilimanjaro
2) Morogoro
3) Arusha
4) Dar es Salaam
5) Tanga
6) Pwani

Bado nina safari ndefu ya kutembea.
 
Ngoja na Mimi nihesabu
DSM
Morogoro
Dodoma
Iringa
Njombe
Lindi
Ruvuma
Mbeya
Songwe
Zanzibar
Kagera
Mwanza
Arusha
Kigoma
 
Sina mpango wa kutoka hapa kijijini kwetu Kinampanda.Dunia nzima naichambua kwa kutumia simu tu.Mnamsingizia Samia mzurulaji huku ninyi mnajisifia kuzurula!?Hovyooo!
 
Kagera = karagwe
Mala =musoma
Dodoma =Ihumwa,mtumba na Vikonje
Morogoro =Msavu mtaa wa ngoto
Pwani= visiga na kongowe
Mtwara = masasi,mangaka.
Ruvuma =mtamba swala.
Dar es salaam nime zaliwa hapo nimekulia hapo.
Mara not Mala
 
Nimefika Mikoa yote hapa Tanzania,na mingine nimeirudia zaidi ya mara 2.bado Zanzibar tu.
 
Back
Top Bottom