sio kweli kitu ni determination,huwezi jua causes za performance yake huko nyuma,tumtie moyoMbona hyo GPA ndogo kwa chuo ka udsm huwezi kusoma, ka undergraduate ulipata hyo master's unaweza ku Disco maana mziki wake si wakitoto.
Kumtia moyo ni pamoja na yeye kusoma post graduate diploma na Aki join awe serious asicheze cheze na shulesio kweli kitu ni determination,huwezi jua causes za performance yake huko nyuma,tumtie moyo
But mengine lazima ya change kulingana na wakatiKama ni History haina shida.
nimecheka sana, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, heri wakati huu wa COVID 19 wasomi mbalimbali wakiwemo hao wa UDSM niliwaona wakitumia elimu zao walau kwa kidogo kujaribu kutatua tatizo; mfano udsm walitengeneza sanitazer, ndoo za kisasa za kutakasa mikono, etc NIMR walikuja na kinywaji cha kupunguza madhara ya covid etcFROM CERTIFICATE TO PhD mmeongeza nn ktk elimu ya tz au mmefanya mchango gan kwenye jamii tofaut ya kuongeza idadi ya people ambao jobless na walalamikaji wanaoilaumu serikali na kuongeza dependent ratio et udsm swali ni je kipindi cha corona udsm mna ma professor kibao kwenye field kama biochemistry ,chemistry ,molecular biology and biotechnology , microbiology and other wote kipindi cha vorona nao walikua kwa lock-down nawote walikua wanapiga nyungu hahahaah elimu ganii colonial education,
Basi labda wanagawa kwa kuangalia sura sikuhizi!Sio kweli.
Kuna watu ambao GPA ilikuwa inashuka na Honours wameipata kama kawa
Sidhani kama kuna kujuana, koz ukiangalia wengi pale ni wahaya, wachaga (school of business) na wanyaturu kadhaa. Mimi ni mzaramo lakini walinipa .... with Honours,Basi labda wanagawa kwa kuangalia sura sikuhizi!
Duh, mie hata sijui maana nina 340 yangu freshi tu. Nimefia mpakani!Sidhani kama kuna kujuana, koz ukiangalia wengi pale ni wahaya, wachaga (school of business) na wanyaturu kadhaa. Mimi ni mzaramo lakini walinipa .... with Honours,
Alisomaje master's?Ndio aliyoipata mh Rais Mstaafu JK
Alisoma masters ya course gani ?Alisomaje master's?
Kama huwezi kuona au kutambua mchango wa UDSM kwa nchi yetu na Afrika kwa ujumla, unatakiwa kumuona Daktari wa tiba ya akili ASAP
nimecheka sana, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, heri wakati huu wa COVID 19 wasomi mbalimbali wakiwemo hao wa UDSM niliwaona wakitumia elimu zao walau kwa kidogo kujaribu kutatua tatizo; mfano udsm walitengeneza sanitazer, ndoo za kisasa za kutakasa mikono, etc NIMR walikuja na kinywaji cha kupunguza madhara ya covid etc
Uchumi, au nimekosea bosi wangu!Alisoma masters ya course gani ?
siku za nyuma wasomi wetu hata hicho unachokiona kidogo walikuwa hawafanyi, kazi yao ilikuwa kudai mishahara mipya na kujiona miungu watu tu, watanzania wote na siyo wasomi tu tumeanza kubadilika sasa1. sanitizer zilkuwepo b4 corona
2. NIMR kutengeneza ichokinywaji ni baada ya madagaska kuleta sample ya dawa zao na kuwapa 4mular so kama kama walibadilisha basi ni ingredient chache sana wali add
Ukiwa kigogo na pochi nene unaweza kupewa hata Doctorate bila kukaa darasaniUchumi, au nimekosea bosi wangu!
Addition ,,wasikariri inagwanywa kwa 6 tu ,,naomba iwe " unagawanya kwa idadi ya semesters " maana wengine wana zaidi ya semesters 6 mfano medineGPA wanatafuta kwa kujumlisha semista zote na kugawanya kwa 6 au kila mwaka una GPA yake na GPA wanayoangalia sana ni ya mwaka wa mwisho
Nilipitia prospectus mpya ni 2.7Mkuu siku hizi wameshusha kiwango cha chini cha GPA kuweza kusoma masters UDSM?
Mimi najuwa ni GPA ya 2.7 na kuendeleaa, pungufu ya hapo inabidi usome PGD kwanza.