Vyuo gani hivyo walivyopiga hao watu wengine mkuu?Hii mindset ya kuona UDSM ndo chuo Bora vingine unaviita vyuo vya kata ni ushamba na uzwazwa, watu wamepiga vyuo vingine na wapo competent tuu. Badilika unakua usishikilie ubaguzi wa kijinga na ushamba wa kitaaluma.
Wapo watu Kitivo cha sheria Udsm hizo GPA za 3.8 hawana na wanafundisha mkuu...Ukijoin master's pale ukiwa na GPA ya 3.8 unaanza ka tutorial assistance Sasa hao wengine hata assignment za kawaida huwa zinawashinda wengine kupata supplementary kabisa, na wengi ufaulu huwa below so hawachukuliwi next step maana GPA haijafika na sio kuonewa huwa fair.
Pia chuoni huwa Kuna ukabila flani na kubebana GPA kwa watu wanaowataka hata kufaulishwa Kuna department unakuta wahaya tu, au Kanda flani basi watafaulisha watu wachache kiupendeleo ili wabaki.
Nadhani huyo wa MIT wivu tu uliwasumbua wakaamua kumchinjia baharini, in short udsm Kuna Mambo yawapasa kubadilika sio kukumbatia conservative tu siku zote.
Kwingine mbona hawapokei huwa Wana weka 3.8 undergraduate na master's 4.0 kamili kulikoni?Wapo watu Kitivo cha sheria Udsm hizo GPA za 3.8 hawana na wanafundisha mkuu...
Udsm kufelisha huwa sifa Kuna masomo wao nikutoa tu makarai na B plainMbona hizo ndo GPA za UDSM?
Vipindi vingi tu one hour, the rest seminars.Undergraduate gani hiyo yenye kipindi kimoja cha lisaa limoja a week.
Achana na chuo mkuu nilicho somaUlisoma chuo gani hicho mchekea ?
niambie wana tafuta vp GPAVipindi vingi tu one hour, the rest seminars.
Amini nakwambia wapo watu pale hizo GPA za 3.8 hawana na ni wakufunzi paleKwingine mbona hawapokei huwa Wana weka 3.8 undergraduate na master's 4.0 kamili kulikoni?
Ni kweli hizo 2.5 -3.0 ndo GPA za UDSM wenyewe wanaziita GPA za kuning'inia...Udsm kufelisha huwa sifa Kuna masomo wao nikutoa tu makarai na B plain
Hivi kigezo cha udsm kutoa degree with HONOURS ni kipi ? Maana kuna mtu ana second class lkn ana degree with honours ukizingatia kua degree with honours ni kwa wale wenye first class tu.Ukijoin master's pale ukiwa na GPA ya 3.8 unaanza ka tutorial assistance Sasa hao wengine hata assignment za kawaida huwa zinawashinda wengine kupata supplementary kabisa, na wengi ufaulu huwa below so hawachukuliwi next step maana GPA haijafika na sio kuonewa huwa fair.
Pia chuoni huwa Kuna ukabila flani na kubebana GPA kwa watu wanaowataka hata kufaulishwa Kuna department unakuta wahaya tu, au Kanda flani basi watafaulisha watu wachache kiupendeleo ili wabaki.
Nadhani huyo wa MIT wivu tu uliwasumbua wakaamua kumchinjia baharini, in short udsm Kuna Mambo yawapasa kubadilika sio kukumbatia conservative tu siku zote.
Hata wenye second nao ni Honour's hata lower na sijawahi fatilia vigezoHivi kigezo cha udsm kutoa degree with HONOURS ni kipi ? Maana kuna mtu ana second class lkn ana degree with honours ukizingatia kua degree with honours ni kwa wale wenye first class tu.
Tena hzo ulizoandika kubwa wengine wanachezea chini ya hapo Kuna option ukienda ujue hufaulu kupata A.Ni kweli hizo 2.5 -3.0 ndo GPA za UDSM wenyewe wanaziita GPA za kuning'inia...
Hapo mm ndo hua wananchanganya. Tumemaliza pale mob ya watu lkn karibia kila mmoja ana HONOURS.Hata wenye second nao ni Honour's hata lower na sijawahi fatilia vigezo
Makubwa pia pale Kuna kujuana flani flani hivi.Amini nakwambia wapo watu pale hizo GPA za 3.8 hawana na ni wakufunzi pale
Mimi nilishasahau Ila Kuna namna ya kutafta maana Kuna course nyingine Zina unit kubwa nyingine unit sio kubwa Sana. Mimi sikuhangaika nilisubiria transcript yangu maana wengine hesabu tulipata fa fa fa fa.e
niambie wana tafuta vp GPA
Na ni wote hyo hyo as long as huja Disco chuoni.Hapo mm ndo hua wananchanganya. Tumemaliza pale mob ya watu lkn karibia kila mmoja ana HONOURS.
Hivi kigezo cha udsm kutoa degree with HONOURS ni kipi ? Maana kuna mtu ana second class lkn ana degree with honours ukizingatia kua degree with honours ni kwa wale wenye first class tu.
Ahaaaa, hapo nimekupata sasa. Shukran boss. Swali lilkua linansumbua hili.Honors inaanzia upper second pia gpa yako shart iwe inapanda au kubakia the same isishuke tu ata mwaka mmoja.
Mfano first year ukapata 3.4 second year 3.4 third year 3.5 na fourth year 4.0 na overall ukapiga 3.6 hapo utapewa degree with honors hope umeelewa mkuu na mwisho usiwe umewahi kupata sup ata moja toka umeanza