Tuliotoka na shemeji zetu

lakini mie naona hii kwa jiji kama dar nimeona inatokea sana, tena basi utakuta bint anajua kabisa huyu ni shemeji kwa dada au kwa kaka, unakuta mtu anajipeleka, marafiki ndio usipime, mie mwenyewe nasema hivyo yashanikuta na nina mifano hai, mradi wakishaona vijisent unavyo, haaao utaona wanajileta ka mbwa kamuona chatu
 
Wanaume tumebaki wachache, serikali ifanye juhudi kizazi hiki kisipotee baada yetu, mtu atahisifia je ujinga huu???
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Na inabidi serikali ifanye juhudi kweli kweli ili isifikie huko wanakoelekea la sivyo watapotea wengi.
 
Mkuu I will never do that to her, she is my best friend and I can't even tell her this story, I don't want to hurt her feelings
Na kulingana mlivyo as ulivosema... Ikitokea ukamtonya tu lazma atahc vngne n utakua mwanzo wa chuki kati yako n dada ako... Ucje kumgusia kbsa
 
Lakini unajua jinsi ambavyo laani au KARMA inavyotesa kwy haya mambo....hii ni kama kula nyama ya mtu...inabaki kwa kizazi chako
!kafanye TOBA ufute hizo laana....
 
Badala ya kutafuta njia ya kumfanya asijipendekeze we ndio utataka umtafune. Lol.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua tatizo la wanawake wengi akijipendekeza ukamwacha basi kuna kuwa na kadharau fulan anakuonyesha,na inshu kama hiyo imeshawahi kunitokea nikaweka heshima lkn matokeo yake nilionekana mjinga,ss dawa yao ni kutafuna tu hamna namna mpaka mkikutana huwa nahakikisha anapoteza confidence kabisa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Na inabidi serikali ifanye juhudi kweli kweli ili isifikie huko wanakoelekea la sivyo watapotea wengi.
Hivi mme kama huyu akakuoa Emmyta itakuwaje!
Mna kazi nyie viumbe
 

Sasaaa baada ya kuonekana mjinga ulipungukiwa nini?

Wacha hizo bana.
 
Toa hiyo mifano hapa.. Otherwise itakua ni uzushi kama zushi zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…