Wabongo sisi ni wa wapumbavu, kila kitu n kulalamika tuu hata kwenye jambo ambalo ni jukumu lako bado utalalamika tuu.
H kitu hata haihitaji akili ya msingi kuelewa, unaendaje kwenye usaili umevaa tshirt na jinsi, hakuna cha mambo ya evil wala bibi ake evil.
Ww nae ndo wale wale tuu 🗑️
Yuko bize na drama za kina Zuchu na JuxHizi taarifa zipo na zinatolewa kla siku kwenye media zao ,lakini wewe uko bize na TIKTOK na kubishana mambo ya simba na yanga.
halafu uanendaje kufanya usaili na hayo mavazi?
Unaenda na "suti ya kuogelea"!vipi kama siwezi ku-afford kununua nguo? nifanye nini sasa? ...
nina imani unatania. kuna suruali na mashati hadi ya 5000. na hizo taarifa mbona zinatolewa huko instagram,facebook,whatsap cahneel kila kukicha?
usitetee ujinga Chief
Imeniuma sana kuona wamefukuzwa bila kuchapwa vibokoWe jobless Jr njoo utoe ushauri huku
Ni vigezo vya kuchuja watu.this is pure evil, vipi kama hauwezi kumudu kununua hayo mavazi wanayoyataka? sasa utapanda vipi daraja ktk chini ulipo kama unawekewa vizingiti vyote hivyo mpaka kwenye mavazi? hii nchi inatawaliwa na satanic people ...
angalia hawa watoto wakiwa darasani shuleni wakati wa Christiansi, kwa logic ya satanic tanzagiza leo (ambao wengi wao wasingsoma na kufikia kuvaa suti leo kama wangewekewa masharti wanaowawekea watoto wa masikini leo hii) hao watoto wa masikini wangezuiwa kusoma kwa sababu hawakuwa nauwezo wa kununua nguo
View attachment 3652964
Kila taifa lina utamaduni wake.Ufaransa wanataka kupiga marufuku uvaaji hijab.Haya mambo yapo kwenye maofisi yetu sisi watu weusi tu ila ukiingia kwenye mataasisi ya kimataifa yaliyopo hapa ndani hakuna vikwazo kama ivyo maybe msimamiz awe mmatumbi mwenzetu
Wangevaa misuli au kaniki kama wanaenda kuji mbaga😂Ungevaa msuli na kapelo mkuu.Waliwaonea sana.Andamaneni kudai usawa.
Kwenye mambo kama hayo lawama hazikosekani. Ila nachojua hicho ni kigezo cha kupunguza idadi ya watu kwenye usaili.sasa unafikiri kila mtu an uwezo wa kutoa shilingi 5000? kwa kuwa tu wewe unaweza siyo kila mtu anaweza, mko soo out touch with reality na jamii yenuu wenyewe iliowanguka na ndiyo maana hatuwezi kutoka hapa, kwa maana mlio juu hamjali walio chini, kwangu mimi hata kama wangekuja kifua wazi kama hawawezi kumudu kununua lkn wana akili wanapata kazi ...
You satanic people🤣💔Wabongo sisi ni wa wapumbavu, kila kitu n kulalamika tuu hata kwenye jambo ambalo ni jukumu lako bado utalalamika tuu.
H kitu hata haihitaji akili ya msingi kuelewa, unaendaje kwenye usaili umevaa tshirt na jinsi, hakuna cha mambo ya evil wala bibi ake evil.
Ww nae ndo wale wale tuu 🗑️
kwani kati ya jeans na suruali oficial ipi ni gharam kubwa?sasa unafikiri kila mtu an uwezo wa kutoa shilingi 5000? kwa kuwa wewe unaweza siyo kila mtu anaweza, mko soo out touch with reality na ndiyo maana hatuweyi kutoka hapa, kwa maana mlio juu hamjali walio chini, kwangu mimi hata kama wangekuja kifua wazi kama hawawezi kumudu kununua lkn wana aakili wanapata kazi ...
Ni vigezo vya kuchuja watu.
Hakika usaili ungepata vijana "warembo" sana.Wangevaa misuli au kaniki kama wanaenda kuji mbaga😂
Hana sasa hela ya Mavazi ndiyo anatafuta kazi!!Pole Sana Mkuu
Kama Ungekuwa Mtoto Wangu Ningekuzaba Kofi Moja Matata Mpaka Uone 🔥
Upuuzi Mkubwa Mno
Unakwendaje Kusailiwa Kwa Mavazi Hayo
Teratibu Za Mavazi Zipo Wazi
Wakristo Wanapopata Komnio/Kipaimara Kwa Wanaume Unaona Suit, Suruali Nyeusi, Shati Jeupe, Tai
Kuna Siri Ya Mavazi
Ungevaa Simple Suaruali Ya Kitambaa Rangi Black, Dark Blue, Shati, Kiatu Cha Ngozi
kama angevaa wanavyotaka,angepunguzwa?Kwenye mambo kama hayo lawama hazikosekani. Ila nachojua hicho ni kigezo cha kupunguza idadi ya watu kwenye usaili.
angeenda uchi au angepiga na boxer tu!!!Hana sasa hela ya Mavazi ndiyo anatafuta kazi!!
Kutokujua taratibu,kanuni,miongozo,kawaida,utamaduni(sheria)siyo kinga kwa mkosaji.Wanaishije bila kujiongeza katika dunia ya leo ya utandawazi?Kila kitu kiganjani.kwani kati ya jeans na suruali oficial ipi ni gharam kubwa?
angeenda uchi kisa hana nguo ningeukuelewa, mtu kapiga jeans ,Tshirt na Raba ambazo ni bei kubwa kuliko suruali na shati halafu unatetea.
hoja yake anasema hawakutoa taarifa wakati wanatoa kila siku hizo taarifa
Kwahiyo ukiajiriwa utakuwa unaenda na jeans mpaka wakulipe mshahara wa kwanza ndio uweze kununua shati la elfu 5vipi kama siwezi ku-afford kununua nguo? nifanye nini sasa? ...
Unatamani wnagetiwa mijeredi kidogo🤣Imeniuma sana kuona wamefukuzwa bila kuchapwa viboko