Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Sasa ikawaje? Mliachana
 
mimi nilimfumania, niliwapasua wote wawili, mke wangu na mchepuko wako, yule mwanaume nilimuumiza sana, kesi ilikuwa ngumu, nilikaa segerea miezi 9. nilipotoka gerezani, mke wangu sikumkuta na yule jamaa alirudi kijijini kwao
hamna faida uliyopata
 
Mambo yalikuwa mawili, nimuue au akubali kuingiliwa.

Kwa nchi inayopinga ushoga kwa nguvu zote huwa napata wakati mgumu sana kuelewa inawezekanaje watu kuingiliana kinyume kirahisi rahisi tu tena on command? Vua nguo, muingilie huyu, mtu anasimamisha na kumuingilia mwanaume mwenzake? Bado unakuta watu hao hao wanapinga ushoga hadi jasho la meno linawatoka? Huyo jamaa yako na wewe wote mashoga kwa namna moja au nyingine.
 
Njoo na babaako muiname ndio utapata majibu. Unaumia kama ulishawahi kuingiliwa. Una kila dalili za kutembea na wake za watu ndio maana unaweka utetezi. Nyie ndio wa kupakuliwa mafi
 
Maisha ya saivi ni bora uishi kizungu tu unavuta unaoa akizingua unapiga chini unaoa mwengine kwasababu wanawake tamaa nyingi
Hatari...naona vija a kwa wazeee wanatombewaaa tuu warembo wao 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…