utajua kama ni imani au uhalisiaImani zako kaa nazo mwenyewe.
Tishaneni hukohuko kijijini kwenuutajua kama ni imani au uhalisia
Kiukweli hata ulichokiandika hakieleweki kwakweli ...mimi nimewahi kuoa na mkewangu akawa analiwa na watu watatu tofauti ila hao wote walianza nae kabla mimi sijaoa....mmojawapo ni mwalimu wa sekondari,mchungaji na mfanyabiashara fulani hivi....kuna siku niliwahi kufuma meseji zake nikamuuliza kwa upole hivi leo nakuomba uwe muwazi kipi kimepungua kwangu mpaka uchepuke au kipi nikikupa utatulia kiukweli aliishia kulia tu hakunipa jibu lolote lile zaidi ya kusema ni shetani.....nimetuma mpaka rafiki zake shangazi zake ili waongee nae awaeleze sababu ya kuchepuka ila hata wao hakuwaambia sababu....inaumiza sana Kuna mchungaji wa TAG mama yake mzazi na dada zake waliniambia ni ndugu yao namimi nikaamini kumbe akimla na wao walikuwa wanajua ukweli....fikiria huyo alikuwa anakuja kwangu anakaa hata siku 3 Mungu mkubwa hamfichi mnafiki hiyo siku nilikuwa natoka Mozambique na simu ilizima kwahiyo sikutoa taarifa ile nimeingia nawakuta wapo uchi sebuleni....Ukimchunguza sana bata hutamla, usimchunguze mwenza wako hii ni kama unampenda sana maana yake nini ni kwa kuwa yeye ni binadamu ana mapungufu yake anaweza kuwa msiri akakupa suprise hiyo na upate heart attack ila zipo sababu nyingi mpaka mwenza wako akusaliti, huwa tupo busy kumkasirikia mwenza wako aliekusaliti na kumlipizia mabaya kumbe chanzo ni wewe mwenyewe kuna vitu unapaswa kutopuzia pale mwenza wako anapokua analalamika mara kwa mara hivyo ndiyo upelekea usaliti,pia la muhumi utegeme lolote kutokea kwenye mahusiano usimwamini sanaa hata kama hana dalili ishi kimtazamo tofuati itakusaidia
Ikawaje mkuuKiukweli hata ulichokiandika hakieleweki kwakweli ...mimi nimewahi kuoa na mkewangu akawa analiwa na watu watatu tofauti ila hao wote walianza nae kabla mimi sijaoa....mmojawapo ni mwalimu wa sekondari,mchungaji na mfanyabiashara fulani hivi....kuna siku niliwahi kufuma meseji zake nikamuuliza kwa upole hivi leo nakuomba uwe muwazi kipi kimepungua kwangu mpaka uchepuke au kipi nikikupa utatulia kiukweli aliishia kulia tu hakunipa jibu lolote lile zaidi ya kusema ni shetani.....nimetuma mpaka rafiki zake shangazi zake ili waongee nae awaeleze sababu ya kuchepuka ila hata wao hakuwaambia sababu....inaumiza sana Kuna mchungaji wa TAG mama yake mzazi na dada zake waliniambia ni ndugu yao namimi nikaamini kumbe akimla na wao walikuwa wanajua ukweli....fikiria huyo alikuwa anakuja kwangu anakaa hata siku 3 Mungu mkubwa hamfichi mnafiki hiyo siku nilikuwa natoka Mozambique na simu ilizima kwahiyo sikutoa taarifa ile nimeingia nawakuta wapo uchi sebuleni....
Ukienda porini kumfundisha mwanao kuwinda sungura, fisi akamkwapua mwanao, wakati anamtafuna ubongo wako utakuambia fisi anafanya tukio la kikatili na utalaani kila aina ya laana ila ubongo wa fisi unamwambia amepata kitoweo kama ambavyo ungeua sungura mngemtafuna bila guilty.Duniani hapa sio pa kuelekezana cha kufanya. Ipo mijitu inajifanya inaamini katika dini na kuona nimekosea yajue mimi sio religious. Nina imani zangu ambazo hazihusiani na zao. Wanaodhani najutia wala sijawahi na haitatokea. Kama ambavyo yeye aliona raha kuwa akitembea na mke wangu na mimi ndio nilivyofurqhi kumharibu yeye.
Haya maelezo yamenyooka kabisa.Ukienda porini kumfundisha mwanao kuwinda sungura, fisi akamkwapua mwanao, wakati anamtafuna ubongo wako utakuambia fisi anafanya tukio la kikatili na utalaani kila aina ya laana ila ubongo wa fisi unamwambia amepata kitoweo kama ambavyo ungeua sungura mngemtafuna bila guilty.
Mambo ya kufanya ubaya ukitegemea ustaarabu wa mfanyiwa ubaya wakati wa kujibiwa ubaya wako ni udhaifu na ni hatari. Usifanye ubaya, ukifanya ubaya ujiandae kwa vita, ikitokea umeshindwa vita basi pokea malipo ya ubaya wako kwa kadri mtesi wako itakavyompendeza.
KUTEMBEA NA MKE WA MTU, UKIJUA NI MKE WA MTU NI KUTENDA UBAYA.
Umeendika kwa uchungu sana mkuu na pole sana,Kiukweli hata ulichokiandika hakieleweki kwakweli ...mimi nimewahi kuoa na mkewangu akawa analiwa na watu watatu tofauti ila hao wote walianza nae kabla mimi sijaoa....mmojawapo ni mwalimu wa sekondari,mchungaji na mfanyabiashara fulani hivi....kuna siku niliwahi kufuma meseji zake nikamuuliza kwa upole hivi leo nakuomba uwe muwazi kipi kimepungua kwangu mpaka uchepuke au kipi nikikupa utatulia kiukweli aliishia kulia tu hakunipa jibu lolote lile zaidi ya kusema ni shetani.....nimetuma mpaka rafiki zake shangazi zake ili waongee nae awaeleze sababu ya kuchepuka ila hata wao hakuwaambia sababu....inaumiza sana Kuna mchungaji wa TAG mama yake mzazi na dada zake waliniambia ni ndugu yao namimi nikaamini kumbe akimla na wao walikuwa wanajua ukweli....fikiria huyo alikuwa anakuja kwangu anakaa hata siku 3 Mungu mkubwa hamfichi mnafiki hiyo siku nilikuwa natoka Mozambique na simu ilizima kwahiyo sikutoa taarifa ile nimeingia nawakuta wapo uchi sebuleni....
True storyHaya maelezo yamenyooka kabisa.
Unapochagua kucheza michezo ya hatari inabidi pia uwe tayari kupokea outcomes zitakazokupata.
Nilikuwa na uwezo wa kukufanya chechote kwasababu nina wahuni wengi mno mjini ila niliwaza nikaona haina maana yeyote ile....ila mwanamke ndio akaondoka akaenda kwao baadae wazazi wangu wakalazimisha niende kwao tukamalize kwasababu wazazi wangu walikuwa wanampenda sana....sasa kwenye kikao akaanza kunipakazia uwongo ila chakushukuru mabaya yote nilikuwa narekodi pale alipokiomba msamaha na hata siku niliyowafuma niliwapiga picha wapo uchi kwahiyo nikawaonyesha kwenye kikao na nikashinda..ila akapaza sauti sikutaki tena nikamwambia sawa ila nimekuoa tumekaa miaka 6 ya ndoa Mwenyezi Mungu awe shahidi sikuwahi kuchepuka hata siku moja wala kukufanya ubaya wowote ule Mungu atanipigania nikaondoka....akakaa miezi miwili tangu aniache akafunga ndoa akakaa kwenye ndoa siku 6 mumewe akafariki alianza kupiga kelele kuwa kichwa kinauma palepale akafa hiyo ni 2022....mwaka 2024 yule mchungaji akamuoa nae akakaa nae miezi miwili kwenye ndoa nae akafa kwa ajali ya pikipiki..sasa yupoyupo tu kachokaIkawaje mkuu
Ulibahatika kupata nae watoto mkuu?Nilikuwa na uwezo wa kukufanya chechote kwasababu nina wahuni wengi mno mjini ila niliwaza nikaona haina maana yeyote ile....ila mwanamke ndio akaondoka akaenda kwao baadae wazazi wangu wakalazimisha niende kwao tukamalize kwasababu wazazi wangu walikuwa wanampenda sana....sasa kwenye kikao akaanza kunipakazia uwongo ila chakushukuru mabaya yote nilikuwa narekodi pale alipokiomba msamaha na hata siku niliyowafuma niliwapiga picha wapo uchi kwahiyo nikawaonyesha kwenye kikao na nikashinda..ila akapaza sauti sikutaki tena nikamwambia sawa ila nimekuoa tumekaa miaka 6 ya ndoa Mwenyezi Mungu awe shahidi sikuwahi kuchepuka hata siku moja wala kukufanya ubaya wowote ule Mungu atanipigania nikaondoka....akakaa miezi miwili tangu aniache akafunga ndoa akakaa kwenye ndoa siku 6 mumewe akafariki alianza kupiga kelele kuwa kichwa kinauma palepale akafa hiyo ni 2022....mwaka 2024 yule mchungaji akamuoa nae akakaa nae miezi miwili kwenye ndoa nae akafa kwa ajali ya pikipiki..sasa yupoyupo tu kachoka
Nimepata nae mtoto mmoja mwenye miaka 8 sasaUlibahatika kupata nae watoto mkuu?
Pole sana mkuu. Acha aisome huko alipo.Nimepata nae mtoto mmoja mwenye miaka 8 sasa
Dunia imemlipa ipasavyoNilikuwa na uwezo wa kukufanya chechote kwasababu nina wahuni wengi mno mjini ila niliwaza nikaona haina maana yeyote ile....ila mwanamke ndio akaondoka akaenda kwao baadae wazazi wangu wakalazimisha niende kwao tukamalize kwasababu wazazi wangu walikuwa wanampenda sana....sasa kwenye kikao akaanza kunipakazia uwongo ila chakushukuru mabaya yote nilikuwa narekodi pale alipokiomba msamaha na hata siku niliyowafuma niliwapiga picha wapo uchi kwahiyo nikawaonyesha kwenye kikao na nikashinda..ila akapaza sauti sikutaki tena nikamwambia sawa ila nimekuoa tumekaa miaka 6 ya ndoa Mwenyezi Mungu awe shahidi sikuwahi kuchepuka hata siku moja wala kukufanya ubaya wowote ule Mungu atanipigania nikaondoka....akakaa miezi miwili tangu aniache akafunga ndoa akakaa kwenye ndoa siku 6 mumewe akafariki alianza kupiga kelele kuwa kichwa kinauma palepale akafa hiyo ni 2022....mwaka 2024 yule mchungaji akamuoa nae akakaa nae miezi miwili kwenye ndoa nae akafa kwa ajali ya pikipiki..sasa yupoyupo tu kachoka
Wanawake waga sijui wanatumiaga nin kufikiriNilikuwa na uwezo wa kukufanya chechote kwasababu nina wahuni wengi mno mjini ila niliwaza nikaona haina maana yeyote ile....ila mwanamke ndio akaondoka akaenda kwao baadae wazazi wangu wakalazimisha niende kwao tukamalize kwasababu wazazi wangu walikuwa wanampenda sana....sasa kwenye kikao akaanza kunipakazia uwongo ila chakushukuru mabaya yote nilikuwa narekodi pale alipokiomba msamaha na hata siku niliyowafuma niliwapiga picha wapo uchi kwahiyo nikawaonyesha kwenye kikao na nikashinda..ila akapaza sauti sikutaki tena nikamwambia sawa ila nimekuoa tumekaa miaka 6 ya ndoa Mwenyezi Mungu awe shahidi sikuwahi kuchepuka hata siku moja wala kukufanya ubaya wowote ule Mungu atanipigania nikaondoka....akakaa miezi miwili tangu aniache akafunga ndoa akakaa kwenye ndoa siku 6 mumewe akafariki alianza kupiga kelele kuwa kichwa kinauma palepale akafa hiyo ni 2022....mwaka 2024 yule mchungaji akamuoa nae akakaa nae miezi miwili kwenye ndoa nae akafa kwa ajali ya pikipiki..sasa yupoyupo tu kachoka
πππ Msukuma wa watu aliamua kupiga nduru kabisaMarume umenitombea mkwe wangu marume ππ kutombewa lazima sikuizi
utalipa iwe kwa kizazi chako au ndugu zako au mkeo nakwambia na ww utatombewa tuMimi story yangu iko hivi.
Kuna mwanamke ni age mate wangu tulikutana tu katika mihangaiko,akawa mshikaji wangu kwanza,ni mke wa mtu wa ndoa takatifu kabisa ya kanisani,so katika kuzoena nikanote ndoa yao ina changamoto,so huyu manzi ule ukaribu wa kuwa na mimi akajikuta amedevelop feelings na mimi,nikaanza kuwa naichapa,hivi tunavyozungumza nimemtia mimba anajifungua mwezi ujao,mumewe anajua mimba ni yake..uzuri jamaa hajawahi kuhisi kama namtombea mkewe.hapo kimbembe nawaza mtoto akizaliwa akiwa anafanana na mimi itakuaje...the good thing ni kwamba tuko mikoa tofauti.
NAKAZIA, mwanaume huwezi dindisha mbele ya mwanaume mwenzako, otherwise na wewe umewahi pigwa nyuma. Haiingii akili mwanaume udinde kwa mwanaume mwenzako, zile hisia za kuingiza nk haimake sense, ni ugonjwa wa akili au ushoga huo wote wamekutana.
Duh! Mkuu au ulimuachia nuksi? (Ulilipiza kwa namna unavyojua wewe)Nilikuwa na uwezo wa kukufanya chechote kwasababu nina wahuni wengi mno mjini ila niliwaza nikaona haina maana yeyote ile....ila mwanamke ndio akaondoka akaenda kwao baadae wazazi wangu wakalazimisha niende kwao tukamalize kwasababu wazazi wangu walikuwa wanampenda sana....sasa kwenye kikao akaanza kunipakazia uwongo ila chakushukuru mabaya yote nilikuwa narekodi pale alipokiomba msamaha na hata siku niliyowafuma niliwapiga picha wapo uchi kwahiyo nikawaonyesha kwenye kikao na nikashinda..ila akapaza sauti sikutaki tena nikamwambia sawa ila nimekuoa tumekaa miaka 6 ya ndoa Mwenyezi Mungu awe shahidi sikuwahi kuchepuka hata siku moja wala kukufanya ubaya wowote ule Mungu atanipigania nikaondoka....akakaa miezi miwili tangu aniache akafunga ndoa akakaa kwenye ndoa siku 6 mumewe akafariki alianza kupiga kelele kuwa kichwa kinauma palepale akafa hiyo ni 2022....mwaka 2024 yule mchungaji akamuoa nae akakaa nae miezi miwili kwenye ndoa nae akafa kwa ajali ya pikipiki..sasa yupoyupo tu kachoka
Ni kweli nipo nae hapaUlijuaje hiki ulichokihisi ni kweli?