Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,963
- 5,757
Ngoja ukichapiwa ndiyo utajua uamuzi huu unafaa au haufaiTumia akili mkuu, ndoa inaheshimu maamuzi ya mtu na mtu anapoamua kutoka nje ya ndoa basi maamuzi yake yaheshimiwe ndo maana kuna talaka pia.
Amekuona wewe humfai tena, ungeheshimu maamuzi yake ungemuacha aende kuliko kumdhuru kiasi hiko mwanadamu mwenzio kwa kosa la mke wako mwenyewe.
Mwanangu ni Wachihangu sioHivi upo sawa? Hizo ndizo hukumu wanazopewa wanaotembea na wake za watu ili liwe fundisho... Kuna wakati binadamu inabidi wajifunze kwa njia ngumu....hapa mtwara miaka ile kulikuwa na tulale wapi kutoka mdenga walikuwa wanafanya uhalifu na mamlaka haikuwa inawafanya chechote watu wakakaa chini wakaanza kuwaua kwa kuwachoma moto na leo hii mtwara ni shwari
Ushauri wako ni Upi hasa MamdogoNgoja nikucheki
Ooh nimekucheki so niambie ulimtegea nini mke wako yule? Maana hao wanaume kufa sio kawaida. Ulinyamaza kimya kimya u kafanya yako?
Sasa ukija kwa mwenye mada utaona kwamba alifanya ila aliogopa kukamatwa.. Akaishi kwa hofu na labda hadi sasa anaishi hivyo. Esp kama kutenda kile cha kuhusisha mwili wako mtu lazimaaaa isumbue.. Ingekuwa ndio inafunza kama watu wangejua mtu umemfanya nini muhusika sababu ya nini.. Kama kuliwa Tigo hapo hakuna anajua umefanya na aliyefanya ndio kanyamaza HII KIHIVI INAFUNZA NANI MMOJA KATI YA MILLIONS? ITAZUIA KWELI.. SI UNAONA WENGI BADO WANAENDELEA NA LAWAMA WHY ASIPEWE MKE AU MUME? SI KAYATAKA UNAMUACHA NA KUMUACHIA MUNGU. KAMA MTENDA ANATAKA KUFUNDISHA UMMA BASI NI KUJIWEKA WQZI UJULIKANE UMELIPIZA SABABU YA HIKI AU KILE..
ILA BAADAE EX MKE ATAPATA WA KUENDELEA KUFAIDI MWILI WAKE 😆
Ndio sio kitu kizuri bali hatua mtu anachukua baada.. lazima jamani itamsuta mtu na kujutia esp mtu akiona baadae maisha yanaenda na yanaweza yasiende kama umeenda kitu kiazi na mtendwa akakutendea gizani.
Naamini baada ya matendo lazima mtu atataka kujua mtu Yupoje haswa ex wake..
si ujuaji ilikuwa ufanye tukio ambalo ungeacha alama wachague wafurai au wanune. Lakn la kusondomola mme mwenzako na unajisifia kuwa ulifanya tukio la maana hiyo ni no. Je kama mke wako alimwambia jamaa hajaolewa au hujamlipia mahari ndio wakaamua kufanya yao? Ndio ulilipiza moyo wako ukafurahi ni sawa lakin huoni ulikuwa na plan b ya kuwa akileta ubish unaua but ukafaulu? Je ungewamaliza mda huo sasa hivi ungekuwa wapi kiongozi kama sio jela au na wewe labda ungejiua? Mda mwingne ndio tunalipiza kuponza mioyo yetu bt kwa mda ule unakuta kweli unachokitaka ni ushndi tu na si kingne lakin nakwambia kwa mda huo unakuta ubongo wa kulia umerudi nyuma yaan umechanganyikana. Lakn ukitulia mda ukatafakari unapga tukio ambalo hata ukipelekwa polis ushahidi hakuna unarud mtaa kubounce kama abednego. Ok mimi ningelikuwa wewe ningemuoa mdogo mtu.
Na wewe tumia akili tu ya kuzaliwa, kitendo cha kuwasiliana na mwanamke ambaye anakutafuta muda fulani na kisha anapotea hata siku nzima. Aje kuendelea mawasiliano nawe, hadi kuendelea naye tayari anajua ni mke wa mtu.si ujuaji ilikuwa ufanye tukio ambalo ungeacha alama wachague wafurai au wanune. Lakn la kusondomola mme mwenzako na unajisifia kuwa ulifanya tukio la maana hiyo ni no. Je kama mke wako alimwambia jamaa hajaolewa au hujamlipia mahari ndio wakaamua kufanya yao? Ndio ulilipiza moyo wako ukafurahi ni sawa lakin huoni ulikuwa na plan b ya kuwa akileta ubish unaua but ukafaulu? Je ungewamaliza mda huo sasa hivi ungekuwa wapi kiongozi kama sio jela au na wewe labda ungejiua? Mda mwingne ndio tunalipiza kuponza mioyo yetu bt kwa mda ule unakuta kweli unachokitaka ni ushndi tu na si kingne lakin nakwambia kwa mda huo unakuta ubongo wa kulia umerudi nyuma yaan umechanganyikana. Lakn ukitulia mda ukatafakari unapga tukio ambalo hata ukipelekwa polis ushahidi hakuna unarud mtaa kubounce kama abednego. Ok mimi ningelikuwa wewe ningemuoa mdogo mtu.
Mamdogo 😭😭😅😅 kizuri kula na wenzio ba mdogo
Akili za kitoto eti..eti nafsi itamsuta😀😃😃..very soft heart and foolish indeedNgoja nikucheki
Ooh nimekucheki so niambie ulimtegea nini mke wako yule? Maana hao wanaume kufa sio kawaida. Ulinyamaza kimya kimya u kafanya yako?
Sasa ukija kwa mwenye mada utaona kwamba alifanya ila aliogopa kukamatwa.. Akaishi kwa hofu na labda hadi sasa anaishi hivyo. Esp kama kutenda kile cha kuhusisha mwili wako mtu lazimaaaa isumbue.. Ingekuwa ndio inafunza kama watu wangejua mtu umemfanya nini muhusika sababu ya nini.. Kama kuliwa Tigo hapo hakuna anajua umefanya na aliyefanya ndio kanyamaza HII KIHIVI INAFUNZA NANI MMOJA KATI YA MILLIONS? ITAZUIA KWELI.. SI UNAONA WENGI BADO WANAENDELEA NA LAWAMA WHY ASIPEWE MKE AU MUME? SI KAYATAKA UNAMUACHA NA KUMUACHIA MUNGU. KAMA MTENDA ANATAKA KUFUNDISHA UMMA BASI NI KUJIWEKA WQZI UJULIKANE UMELIPIZA SABABU YA HIKI AU KILE..
ILA BAADAE EX MKE ATAPATA WA KUENDELEA KUFAIDI MWILI WAKE 😆
Ndio sio kitu kizuri bali hatua mtu anachukua baada.. lazima jamani itamsuta mtu na kujutia esp mtu akiona baadae maisha yanaenda na yanaweza yasiende kama umeenda kitu kiazi na mtendwa akakutendea gizani.
Naamini baada ya matendo lazima mtu atataka kujua mtu Yupoje haswa ex wake..
😅😅 cha uchoyooMamdogo 😭😭
umefanya vizuri kuamka maana leo ungelowesha hicho kitanda. SI JA KU E LE WA ulichokisema.Na wewe tumia akili tu ya kuzaliwa, kitendo cha kuwasiliana na mwanamje ambaye anakutafuta muda fulani na kisha anapotea hata siku nzima. Aje kuendelea mawasiliano nawe, hadi kuendelea naye tayari anajua ni mke wa mtu.
Ndiyo maana akawa anampigia nje ya mji. Utasema vipi alikuwa hajui
Ilikua Aeiou muhuni alikua anaagiza anataka kulila boga halafu alivyo boya yule manzi akasave voice note nikaja nikadukua simu yake nikapita na upuuzi wote kuanzia picha, sauti na video na mwisho wa cinema ile ukawa hapoKwako ilikuwaje
Rudi kasoma post kuu halafu rudi kasome utetezi wako baada ya jamaa kukujibu. Utajua ulichokieleza hakina maanaumefanya vizuri kuamka maana leo ungelowesha hicho kitanda. SI JA KU E LE WA ulichokisema.
Ungekuwa mwenyeji wa mtwara mjini ungejua kwanini tukale wapi waliisha na wengi wao wakakimbia na wengine wakaacha baada ya matendo yao ya wizi unyang'anyi, ubakaji na hata muda mwingine kuua tena mchana kweupe,,,,polisi ni kama waliwachemka wale watu aisee kwasababu walikuwa wanafanya ubabe muda wowote ule,,ikawa mtwara amani hamna ila kundi la raia wakajiunga na kuweka mkakati wa kuwaua wale vijana na kweli walikuwa wanachomwa moto mchana kweupe,,nikwamba waliorodhesha majina ya wale vijana yakawa kama 50 hivi sasa ikawa popote atakapoonekana yeyote ni moto tu...nakumbuka Kuna siku asubuhi hao vijana walikuwa watatu wanafanya mazoezi ya kukimbia wakashikwa wakapigwa kiberiti wote....kwahiyo hao raia kwa jicho la kisheria walifanya makosa kuua wezi ila wamesaidia mno ndio maana leo mtwara hata utembee usiku mwingi hali ni shwari kabisa...na hao raia ukiwauliza ni ninyi muliokiua wezi wanakataa kabisa
Binafsi kuhusu huyo mwanamke kufiwa na waume zake sikufanya chechote kile japo watu wengi na hata baba yangu ananichimba sana ili nimueleze kuwa nilifanyajefanyaje.....ila ni kwamba nilimuoa tukakaa miaka 6 na hata siku moja sikuwahi kuchepuka kwenye ndoa yetu na wala sikuwahi kunyanyua mkono kumpiga...ila yeye ndani ya hiyo miaka 6 ashawahi kuchepuka na wanaume 4 niloowahi kuwajua,,mwaka wa pili tangu nimuoe alipata mimba kwahiyo ilipofika miezi 8 mwenyewe akadai nimpeleke kwao kwa ajili yakujifungua na nikampeleka ila alipojifungua mtoto akafariki,,, ikawa mguu wake anauvuta hawezi kunyanyua kabisa hali ikawa inaendelea tu kwa mila za huku kwetu tafsiri yake ni kwamba mmoja wetu alichepuka wakati wa ujauzito,,,ndugu zake wakanitukana mno kuwa mimi malaya nataka nimfanye kilema mtoto wao ila nikawaeleza kuwa sijawahi kuchepuka wakati wote wa ujauzito na toka nimuoe tu,,,kwakuwa alijifungulia huko kwao ikabidi mimi niende kwa ajili ya hilo jambo na nilipofika walinitukana sana na mkewangu yupo kimya tu,,,tukaenda kwa mganga akatoa dawa ambayo ni kamba ambayo nilijifunga kwenye uume halafu nikafungua nikamfunga kwenye mguu tukaa wiki mzima hakuna mabadiliko ikabidi turudi tena tumefika Kule mganga alipoelezwa alishangaa akadai huyu kijana hakuchepuka ila ni huyu mwanamke ndie kachepuka wakati wa ujauzito kumuuliza akakiri ni kweli alifanya hivyo na fikiria wakati huo ninaishi kwao nikidhalilishwa mno
Ndio maana nikakuambia mwanzo kuwa Kuna binadamu inabidi wajifunze kwa njia ngumu ili liwe somo kwao na kwa wengine hata kama kwa jambo lisilo la kawaida ,,,haya mambo yapo sana unaoa mke unamleta mjini ila unakuta mtu kila siku anamtongoza mkeo...ukirudi mkeo anakueleza kuwa fulani yule uliekaja nae alikuja mchana akaniambia hivi na hivi unaamua kwa wema kumfuata mshkaji unamueleza aache hiyo tabia jamaa anaitikia,,,, ila baadae mshkaji anaanzisha tena zile harakati zake na mke anakueleza tena unamfuata tena mshkaji anaitikia kuwa sawa nimekuelewa,,,, ila bado anaendelea tu mwishoni anafanikiwa kumlaghai mkeo anaanza kulala nae hivi dada yangu mtu kama huyu ukimfuma inabidi umfanyaje?Wow hakika watu wakiamua wanaamua haswaaa. Ila hiyo kuchoma mtu nahakika sio kitu rahisi labda ndio maana hawataki kuongelea ingawa imeweka usalama mkubwa.. Ni tishio hata mwizi anaamua kulala na njaa yake na hata kusukuma watu watafute pesa kwa nguvu zao
Kuna muda mimi watu wanaochukua maamuzi magumu ambayo hata yamevuka kiwango cha utu mimi siwalaumu kabisa...kuna dogo sokoni mtwara huko mtaani akamuotea mke wa mtu ambae ni mnyonge kiuchumi akawa anachepuka nae mwishoni mume akajua akawafuata watu wanne tofauti wamkanye amuachie mke ambae kazaa nae watoto mapacha ambao hata hawajamaliza kupima...mshkaji akajibu sawa nitamuacha akawa anaendelea kwa siri huyo mume akatuma tena watu mshkaji kwa dharau ya pesa akajibu anachoona yeye kunoga na mimi nakitaka hichohicho....siku ya siku ndio akafumwa live mshkaji aliingiliwa na akapigwa kichwani kwa miti kwahiyo wao wakajua amekufa wakaenda kumtupa barabarani....bahati Mzuri akaokotwa akapelekwa hospital kumbe mzima tu leo hii ninavyoongea jamaa amekuwa chizi yupo kijijini kwao huko....kama humu Kuna watu wa soko kuu mtwara bila shaka wanakumbuka kisa hiki,,,,,,,,,Wow nakupa hongera kwa kuwa mume mwema, naamini mkeo mpya atafurahi sana kama atatulia na kukupenda kiukweli.
Mimi sijui mengi ya mila na yanayojiri, labda hata hapa kijijini kwetu basi nitakuwa mshamba au siambiwi au siyaoni.
Nimependa nimejua ya kwenu, Napenda kujifunza ya makabila na mengi ya kimila tofauti.
.
Nimecheka eti nywele eeeh umejuaje ni woteeeee... Huku sivyooooo hivyo... Usiongeze chumvi 😂😂😂
Siwezi kufanya hiko kitu mzee, nimeongea hivyo katika akili ya kawaida huwez kutamani kumla mwanaume mwenzako japo mashoga yanaliwa kinyama mtaani huko. Sidhani kama wanaofanya hivyo Huwa wapo katika akili ya kawaida bila influence ya kitu chochote kichwaniWewe ukila vitu unatamani wanaume?
Vitu reveals the real you ndo maana wanasema walevi hawaongei uongo. Kama mtu anaweza kulala na mwanaume mwenzake akila vitu that just means huyo ni shoga in a closet.
Mfano leo hii mwanangu ashayumba kimalezi kuna mwanamke nikitaka kumuoa wakati fulani ila alionyesha kuwa kumpenda mtoto wangu hataweza ikabidi nisitishe,,,, inamaana saivi ninapotaka kuoa inabidi nichunguze tabia za mke na isitoshe inabidi pia nipeleleze ķama ataishi kwa upendo na mtoto wangu kiukweli huu ni mtihani sana kwasababu mimi shughuli zangu ni za kutoka asubuhi mapema na kurudi usiku sasa je nyuma dogo ataishije?....kiukweli wanaowalawiti wanaowafuma mimi nawapongeza sana kwasababu matokeo ya hili nikwamba mwishoni watoto ndio wanakuwa wanateseka kwasababu hao mafataki wana lugha mzuri mno za kuwalaghai wake za watu kuwa nitakuoa mwakani kwasababu mwaka huu namalizia ujenzi,,, na nataka nikufungulie duka sio unakaa nyumbani tu kama anavyokufanya huyu mwishoni mke anaingia kwenye mfumo kutokana na huyo mshenzi ana pesa kumzidi mumewe basi anaamini kuwa kweli atamfanyia vile...je hukumu ya mtu huyu inabidi umfanyaje ukimfuma?Wow nakupa hongera kwa kuwa mume mwema, naamini mkeo mpya atafurahi sana kama atatulia na kukupenda kiukweli.
Mimi sijui mengi ya mila na yanayojiri, labda hata hapa kijijini kwetu basi nitakuwa mshamba au siambiwi au siyaoni.
Nimependa nimejua ya kwenu, Napenda kujifunza ya makabila na mengi ya kimila tofauti.
.
NdioMwanangu ni Wachihangu sio