Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Nakuelewa mkuu.. hii kitu inauma, watu ambao haijawakuta wanaweza kudhani masikhara
 
Wakuu mambo ni aje.

Maisha yana mambo mengi sana ya kufurahisha na kuumiza..
bisa na kutokomea mbali ili asije kuwa na hesabu za kunidhuru..


Kwako ilikuwaje
Nilishuhudia mjeda mmoja makongo juu alikatwa kimba na wahuni kisa mke wa mtu, nikajiapiza kamwe kuwaogopa wahuni na wake zao..alafu najiuliza hivi ule mzuka majita wanakuwa wamezoea au ndio pesa maana jamaa walikuwa kama watano na wote walikuwa mnara 5 G..na wese lao nadhani ilikuwa kama kilo moja hivi ya babycare kipindi kile..
 
Dawa ni hiyo tu. Dharau sio kitu cha kuendekeza. Kama mtu kaamua kukudhalilisha kwa kutembe ana mke basi nawe unamdhalilisha kwa namna ambayo hatokaa asahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…