Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

mimi imenikuta hii leo uamuzi nilofanya nimemtimua wife nmebaki na mtoto wangu
kuhusu jamaa nina hints zake kadhaa na kuna muhuni nimempa some details za kumuhusu ila najiuliza nimroge,nimfanyie umafia au nipotezee maisha yaendelee
Pole sana ,Imekuwaje ukamfumania?
 
Niliumia sana baada ya kupokea simu ya mwanaume mwenzangu akiniambia niachane na mke wake.
Nikakiri Kua anisamehe sikujua kama mke wa mtu. Akaniambia anampenda sana na ana mtoto naye mmoja.
Aki nikajiapiza nishaachana na huyu dada shetani.
Alikua mfanyakazi mpya ofisini. Ajabu ni Kila nikimuona roho inapaa kwa uzuri wake na nikikumbuka manjonjo yake.
Nikawa najikaza na kumkwepa. Ila mwanamke akiamua lake, yeye ndio akawa ananitafuta wikiend na najikuta nashindwa kuvumilia.
Jamaa yake akaona njia sahihi ni Kua karibu na Mimi. Akanipigia akaomba tukutane. Nikaona mtego huu.
Jibu nililompa ni a deal na mke wake kwani kama ni tabia yake atatafuta mwanaume mwingine ams.x .
Baada ya miez kadhaa jamaa alikata moto.
'uliyekua unamwogopa ashakufa' Binti aliniambia. Hakuumizwa kabisa na kifo cha mumewe.
Kuna siku alikua magetoni ametokea kwenye msiba kavaa manguo meusi.
Nikamuuliza marehemu amekutendea Nini mpaka ulikua unamchukia hivi??
Majibu yake yalinisikitisha hata Mimi.
Jamaa tuishi na wake zetu kwa upendo. Mara nyingi maumivu tunayowasababishia ndio hutengeneza tabia mbaya mioyoni mwao. Na ukute hawana wa kumwelezea.
Wanaishi na chuki dhidi yetu ni vile tu wafanyaje.
 
Jamaa alikuwa na Kosa gani Hadi kuchukiwa na mkewe hvo?
 
Madini Sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…