Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Nawaza tu mtoto anakua then anakuja kugundua alikuwa ni matokeo ya furushi moja kutaka kufanya revenge kisa minyege🤔🤔🤔

Halafu tukikaa tunawalaumu "watoto wa sasa" kumbe hawa ndio wazazi wao🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Nikija kuoa nikisalitiwa nitafanya unyama zaidi ya huu. Kwasasa bado nasimamia msimamo KATAA NDOA UIMARIKE KIUCHUMI NA KIAKILI
 
huu ndio ungese promax
 
Nimekuelewa inatakiwa tumfirenkisha tumuue wazo la maana ,ila afirwe kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…