Aunt ujue alikua hajaimaliza hii story naona ndiyo kamaliziaHaya kwa kweli ni maafa
Maafa ni nini?
Maafa ni matokeo ya janga ambalo huathiri kwa kiwango kikubwa mfumo wa kawaida wa maisha ya mwanadamu kwa kusababisha kifo, majeraha, makovu, upotevu na uharibifu mkubwa wa mali na mazingira ambayo jamii iliyoathirika haiwezi kukabiliana kwa uwezo au resources zilizopo bila msaada kutoka nje ya jamii hiyo. Ndio maana jamaa yetu ulikodi mtu wa kwenda kumlawiti mume mwenzako
Cc ShesRise_1
Wala sijali. Angekuwa na akili yeye asingethubutu kutembea na mke wa mtu. Kama alimhitaji basi angekuja kunirudishia gharama zangu nikamuacha aondoke naeMtu akikusaliti:
Pia ni muhimu kutambua kwamba si wanawake wote wasio waaminifu, kama ambavyo si wanaume wote wasio waaminifu. Mahusiano mazuri hujengwa na watu wawili wenye uaminifu, mawasiliano, heshima na uwajibikaji. Kuingia kwenye mahusiano ukiamini moja kwa moja kuwa lazima usalitiwe kunaweza kukufanya uishi kwa hofu na mashaka kila wakati.
- Kubali ukweli kwa utulivu, hata kama ni mgumu.
- Epuka kufanya maamuzi ukiwa na hasira kali.
- Usitumie vurugu kwa anayehusika au mtu mwingine yeyote.
- Chukua muda wa kutuliza akili na kutafakari.
- Ongea na watu wenye busara wanaoweza kukushauri vizuri.
- Jikumbushe kuwa thamani yako kama mwanaume haitegemei uaminifu wa mtu mwingine.
- Kama mahusiano hayawezi kuendelea, ondoka kwa heshima na uanze ukurasa mpya wa maisha.
Uamuzi ulio fanya mtoa maada ni uamuzi wa kipuuzi sana, hasa ukizingatia unamfanyia mwanaume mwenzio kisa mwanamke, ungekua umesoma somo moja tu la kuto kumwamini mwanamke kwenye mapenzi wala huo ujinga usinge fanya.Do not trust womens, never never.
Ushauri wangu kwa vijana ni huu:
Hii nimeikubali. Huwezi kuniumiza halafu niruhusu kuona unachekelea tu. Utaniona fala hata vijiweni utatamba sana. Kwahyo lazima nikubalansieHaki umenikumbusha mbali. Mimi nilikuwa ndio nachumbia nitoroke na mtu. Si jamaa akapindua meza kwa kulamba demu na mimi nikajua ukweli wote na wakaanza kuleta maringo mbele yangu nikasema nyie hamnijui vizuri. Game lazma mtaikubali.
Nikapotezea ni kama sijui chochote baada ya mwezi nikaoa mdogo wake na jamaa nkakaa nae miezi miwili mimba tayari ati wakaja kudai mahari binti akiwa mimba na kikwetu haikubaliki hata kidogo. Wakarudi kwao empty handed namimi nikakaa na mtoto wao ili mimba iwekubwa hadi siku ya kwenda kujifungua nkampanga akaenda kwao after wiki akajifungu comrade mmoja photocopy yangu.
Mda huo ameenda kwao nafanya mchakato wa kumbeba mdogo wake na aliyekuwa demu wangu naye nikafanikisha nikamueka ndani kama mke wa pili nkatafuna nae mimba hiyo hadi akajifungua nae kavulana photocopy yangu mwishowe niliwaambia sina mda na nyie wakaenda kila mtu kwao watoto wapo home kwangu nimeoa kwingne maisha yanasonga watoto ni wakubwa hadi nikikutana na jamaa tunabaki tu kucheka na hawakuoana. Wamo hum
Jamaa ana roho mbayaMpaka mwili umesisimka
Huyo ana bahati alikimbia na hakutaka kurudi kwao. Ningemfanyia psychological torture moja ambayo asingekaa asahauHalafu hao wanawake pia msiwaache, mkifumania nao pia walawitiwe maana wote Wana Makosa hao....
No bora ungetembea na mke wake, kuliko ulicho fanya, maana kesho kwako, unajua karma (results of actions)Wala sijali. Angekuwa na akili yeye asingethubutu kutembea na mke wa mtu. Kama alimhitaji basi angekuja kunirudishia gharama zangu nikamuacha aondoke nae
KwannMpaka mwili umesisimka
Ebu tujifunze zaidi. Kwanini watu wanapatwa na maafa, kwa mfano huyo mliyemfira.Kila mtu apokee maumivu kwa namna yake. Ukimuumiza mtu kwa namna fulani inabidi ukubali vile yeye atakuumiza kwa namna yake
Siwezi kupiga mke wa mtu. Hiyo karma hawezi kunipata kama ipoNo bora ungetembea na mke wake, kuliko ulicho fanya, maana kesho kwako, unajua karma (results of actions)
😂😂 We jamaa mshenzi sana. Unaweza kumtukana mtu kwa lugha ya kifichoEbu tujifunze zaidi. Kwanini watu wanapatwa na maafa, kwa mfano huyo mliyemfira.
1. Kuwa karibu na eneo la janga(mfiraji) au kukimbilia kwenye eneo la hatari
2. Kufanya matendo yanakuingiza kwenye maafa.
3. Uharibifu wa mazingira yaliyo salama(kuingilia ndoa au mahusiano ya watu)
4. Kutokuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu hatua za kuchukua kuzuia, kujiandaa na kupunguza maafa, kwa mfano mume mwenzako alitakiwa awe anatembea na kilainishi ili akikamatwa asipate maafa makubwa.
5. Kupanuka kwa miji bila kufuata sheria za mipango miji.
We lia tu mkuuNimejikuta nalia sana.
Aliyenichapia yeye ana roho nzuriJamaa ana roho mbaya
Anza kutembea na KorieMimi kuna jamaa anahisi namgongea mkewe,kumbe mkewe analiwa na njemba nyingine kabisa ambayo hata mimi mwenyewe siijui kwa sura.
Dah na akumbushwe shetani kukutengea moto wa pekee yako ndugu sio kwa revenge hiyoHaki umenikumbusha mbali. Mimi nilikuwa ndio nachumbia nitoroke na mtu. Si jamaa akapindua meza kwa kulamba demu na mimi nikajua ukweli wote na wakaanza kuleta maringo mbele yangu nikasema nyie hamnijui vizuri. Game lazma mtaikubali.
Nikapotezea ni kama sijui chochote baada ya mwezi nikaoa mdogo wake na jamaa nkakaa nae miezi miwili mimba tayari ati wakaja kudai mahari binti akiwa mimba na kikwetu haikubaliki hata kidogo. Wakarudi kwao empty handed namimi nikakaa na mtoto wao ili mimba iwekubwa hadi siku ya kwenda kujifungua nkampanga akaenda kwao after wiki akajifungu comrade mmoja photocopy yangu.
Mda huo ameenda kwao nafanya mchakato wa kumbeba mdogo wake na aliyekuwa demu wangu naye nikafanikisha nikamueka ndani kama mke wa pili nkatafuna nae mimba hiyo hadi akajifungua nae kavulana photocopy yangu mwishowe niliwaambia sina mda na nyie wakaenda kila mtu kwao watoto wapo home kwangu nimeoa kwingne maisha yanasonga watoto ni wakubwa hadi nikikutana na jamaa tunabaki tu kucheka na hawakuoana. Wamo hum