Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Kuna lecturer mmoja mzumbe faculty ya sheria alinilia demu wangu early 2010s. Mungu ni mwema nikapata connection ya familia yake, nami nikala mkewe, mama amani, nikala dada yake, nikala baby mama wake j na mama yake mzazi na nikaweka mazingira ajue na nikamfikishia ujumbe anaefuata ni yeye. Alitumiq busara akaja dar tukayamaliza kiume
 
Safi kabisa
 
Hii nimeikubali. Huwezi kuniumiza halafu niruhusu kuona unachekelea tu. Utaniona fala hata vijiweni utatamba sana. Kwahyo lazima nikubalansie
niliamua nichukue kila mtu mdogo wake hadi leo hakuna anayejua kilichopo nyuma ya pazia ni mimi na jamaa pamoja na demu ndo tunajua hadi demu alishasema hataolewa yupo home tu.
 
Am proud of u bro, salut
 
Hii ni story nzuri sana ya fumanizi, ila ulikosea mkeo pia ulitakiwa kumkata hata kisimi, usingemuacha hivihivi.

Unajua mi naona mtu akiwa anakusaliti, tatizo si usaliti tu bali huwa anakuona mjinga/boya.

Mwenyezi Mungu aniepushie na haya mambo nisikae nikajua. 😭
 
Alikimbia. Ningemfanya hakuna
 
Hii nimeikubali. Huwezi kuniumiza halafu niruhusu kuona unachekelea tu. Utaniona fala hata vijiweni utatamba sana. Kwahyo lazima nikubalansie
hadi leo hao ma x wote naweza nikamuua nipite na mmoja wao mbele yao ili waumie zaidi na uzuri wife anajua mchezo baada ya kukuta watoto home nikampa habari zote hadi akashangaa na yeye anasema hawez nisaliti maana ntachukua mdogo wake awe mke mwenzake. Tunabaki kucheka tu maisha yanasonga
 
Mimi nimemsamehe lakin kila kitu kimebadilika kwangu siko tena kma wa zaman nipo nipo tu namwangalia tu aikitoka siuliz akirudi siuliz

Akila siuliz akilala njaa siuliz akiumwa siuliz yan kila kitu nimebadilika anabaki anielewi

Na nilimsamehe kwa kuwa mimi mwenyewe ni mshenzi so safi tu
 
Dah na akumbushwe shetani kukutengea moto wa pekee yako ndugu sio kwa revenge hiyo
kama shetani yupo nisingepata familia ndugu yangu. Vijana sasa hivi ni wakubwa 15yrr each kazi kuniletea kila aina ya wachumba kila wakitoka shule. Bro hii dunia usikubali kuwa mnyonge kwa kigezo cha shetani na dhambi
 
Wife wako? Mna watoto wangapi? Mnakaa wote na haumfuatilii kabisa. Unashiriki nae? Akileta magonjwa je?
 
kama shetani yupo nisingepata familia ndugu yangu. Vijana sasa hivi ni wakubwa 15yrr each kazi kuniletea kila aina ya wachumba kila wakitoka shule. Bro hii dunia usikubali kuwa mnyonge kwa kigezo cha shetani na dhambi
Nashangaa watu eti ungeacha tu..

Mimi huwa siruhusu. Ukicheza na mimi vibaya basi nakupa double
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…