Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Wewe ndio unatakiwa uwe rafiki yangu. Mimi mtu wa kuruhusu na kusamehe upuuzi huwa sikai nae meza moja.
 
bro sina mda wa kukusweka polisi mimi ila hata kama ni miaka kumi lazma nije kulipiza tu tena tubaki tukicheka ni kama hakuna kilichotokea.
Polisi kwa kazi gani huko utaishia kuachiliwa na uanze kutamba tu na kuona mimi bado boya, nilipokupeleka hakuna walichokufanya.

Dawa ni kumalizana tu halafu nahakikisha mzani unalalia kwako
 
Wewe unafaa uingie kwenye mikopo umiza watakuheshimu sana wabongo
hata deni kuna rafiki nilimkopesha 800k akajifanya wa shida sana kila siku hana mwaka ukaisha story tunapga kama kawaida. Siku moja napta napewa 1mil na rafki yake ati nimpitishie, jamaa alikutana na laki mbili tena nilimuita njoo tushushe konyag kweli akaja nikamwambia rafiki yako ananidai milion moja ila amenambia na wewe unamdai nikamwambia ntakulipa mimi so pesa zako ninazo mimi na hapo hapo natoa 200k nampa jamaa alicheka hadi iyo laki 2 tuliilaza cku hiyo hiyo.
Bro mda mwingne adui yako usimtenge au ukamchukia hapana kuwa nae karibu ili upate nafasi ya kuokoa vyako
 
Sasa mtu akulishe, akuvalishe, akupe makazi halafu umcheat. Kama unataka uhuru wa kuchepuka kama mwanaume na wewe tafuta kijana mmoja muhudumie kwa kila kitu. Huyo hata ukichepuka hana sauti ya kukwambia chochote. Ukikubali hela na huduma za mwanaume unatakiwa kujua kwamba umeuza uhuru wako.
 
Ujue imebidi ni cheke 🤣🤣
Kama mwanaume anafanya yote hayo kwanini mwanamke a cheat sasa ?
au kuna sehemu kumepwaya(hii sio muhimu)

Haya tuseme mimi nime cheat kwanini umedhalilishe mwanaume mwenzio si udili na mimi mkeo

We unajuaje kama nimemwambia sina mume?
 
Mambo ndio yapo hivyo kama nilivyosema. Hapa utabisha utaandika kila unachokijua lakini likitokea tukio la ukweli hakutakua na huo muda wa kujadiliana, ni either yatembezwe mapanga au mtu aliwe kiboga.
 
Wengine ni hulka zao tu mkuu. Yaani wao ni wa kiguu na njia hata uwafanyie nini.. hatauwaingizie mwichi wa kutwangia bado watataka kujua na bamia ila ladha gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…