Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Mimi sikusubiria aliwe nilikuta sms ndo wanachati na jamaa yani wanatongozana sikuiyo iyo nilimfukuza akaenda kwao tangu mwaka 2018 hadi leo ni single mama aliyekubuhu na hajaolewa anagawa utamu tu uko mimi nilioa mda sana
 
Kuna huyo mmoja kanilia manzi angu ilikuwa mwaka huu niivute ndani, alivyona dharau kaibwaga baada ya miezi tu na ujauzito juu. Nimeenda mpaka kwa mwanasaikolojia kisa mapenzi, hakika atalipa na atajua kuna wengine hatugusiki labda aje kiroho tu

Siku anaingia kwenye 18 hataamini na atajuta kujua mi ni nani na kama angejua basi asingethubutu hata kumuongelesha neno huyo manzi
 
Dah,ukomando huu.
 
Pole ndugu ila hili biti mbona hata mimi nimeogopa sana
 
Mipango ya muda mrefu au mfupi siyo
 
Shukuru hakuwa mke tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…