Hii mpya ukope ujenge . Utachanganyikiwa hata barabara ya vumbi utavushwa na watoto.Uzi mzuri ila unantisha pia...maana panapo majaaliwa nategemea kuchukua mkopo next year,kwa ajili ya kujenga na kuanzisha biashara...
Wadau njooni mtiririke mauzoefu zaidi ili tujifunze kutokana na makosa na mafanikio pia.
Nunua gari uweke heshima mjini. Hakikisha unapita IFM unajibebea mtoto mkareeeeHebu mtushauri na sisi hatujawahi kukopa... Nna mpango wa kukopa 6m niongezee nivute ka gari maana kazini mbali kidogo...kwa take home ya 800k.
Je mnanishauri vipi hapo.?
Nilitaka nishangae biashara inakuaje ngumu wkt watu wanakufa hivi??!!Mie nilikopa milioni 5 bank ili niongeze mtaji wa biashara yangu ya majeneza lakini biashara imekuwa ngumu hasa baada ya kufukuzwa eneo la karibu na hospital
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sanaMie nilikopa milioni 5 bank ili niongeze mtaji wa biashara yangu ya majeneza lakini biashara imekuwa ngumu hasa baada ya kufukuzwa eneo la karibu na hospital
Nilitaka nishangae biashara inakuaje ngumu wkt watu wanakufa hivi??!!
Ufungue tu wewe tuchangieUzi jinsi ndugu walivyoturudisha nyuma,nadhani nitaandika na kuchangia huo Uzi huku nalia.
Tafuta mteja kubaliana nae halafu mwambie naomba uendelee kumtumia dereva wangu baada ya kukuuzia chombo. Halafu mwambie dereva wako kuwa umepata tatizo hivyo pikipiki unaiuza lakini asijali mama ataendelea kuwa dereva wa hiyo pikipiki...ukishauza kama ataendelea kumpelekea storie tajiri mpya itakula kwake na wewe utakuwa huna lawama nae tenaMimi nimechukua mwaka huu, lakini ni wa mwaka mmoja. Mwezi wa tatu namaliza deni. Nilichukua ninunue boda boda lakini huyu jamaa niliyempa boda boda badala ya kuleta hela analeta stories. Yaani najuta kwanini nilichukua. Kuna wakati natamani niichukue halafu nipige bei ili nikalipe deni lililosalia lakini nahofia jamaa ni Kachawi kweli na baba yake nadhani ni msaidizi wa Lucifer mwenyewe, asije akanifanya mbaya bure! Basi najikaza kiume hivyo hivyo
Una mpeleka magereza kwa wizi wa kuaminikaYan habar hiyo isikie tu kwa mwenko
Kina jamaa alikuwa ughaibuni huko akawa anamtumia baba yake pesa amjengee nyumba na Raman akamtumia
Jamaa akarudi kumuulisa mshua nyumba iko WAP hamna nyumba ndio kwanza amechimba msingi na alishatafuna kama 75mls.
Sasa kama ndio ww utamfunga mzee wako au
Jamaa ucku ule ule aligeuka wakaenda kulala kwa hitel keshokesho yake hao Japan na mkewe
Pole Sana, ila Mungu atafanya njia paspo na njiaMimi nilikopa mwaka jana NMB Mi. 9 kwa miaka mitano. Nikachukua pikipiki mbili. Moja ya bodaboda na nyingine ya kwangu kutembelea. Mil.4 nikachukua kiwanja na shamba kwa ajili ya kilimo. Laki 5 nikalimisha shmaba na kupanda mahindi na laki tano nikafanyia mambo yangu menginene. Mshahara nikabaki 247,000
Matokeo yake;
i)Bodaboda ilidumu miezi sita ikaibiwa.
ii) mahindi sikupata hata nusu gunia,kwa sababu ya ukame.
iii)mipango yangu ilikuwa mwaka huu nioe kama mambo yangeenda vizur kinyume chake nimeshindwa,mchumba wangu alipoona hali imekuwa tete akaanza visa kumbe kashaanza mahusiano na mwanaume mwingine,nikabaki mimi kama mimi.
iv)Baada ya bodi ya mkopo kuanza kukata 15% nikaanza kuchukua 197,000/= kwa mwezi
v) kwa sasa siwezi saidia chochote kwa mama na ndugu zangu kibaya zaidi mdogo wangu kachaguliwa chuo cha afya diploma ada mil.2. 5 sijaweza kumpa hata mia.
Sina bahati kabisa
sometime mikopo ya nyumba kwa watumishi haikwepeki, sio kila mtu anaweza fanya biashara. wengi wamekopa biasharab zikaenda kombo kwa sababau usimamizi sio mzuri, so ukikopa ukajenga au kun unua gari pesa yako utakuwa unaiona.Hilo gari linakuingizia? Namaanisha ni la biashara? Una chanzo kingine cha mapato tofauti na hiyo kazi yako? Kama majibu ni hapana kati ya maswali hayo mawili nakushauri usichukue.
mwakani ndio hii na imebaki miezi miwili tu tuanze mwakani nyingine,leta mrejesho hapaNa mwakani nachukua pesa nyingine kama 10 MLS. Hivi nifanye mambo coz nimeshajua wap nilikosea so i jst wanna correct my mistakes so tuzidi kuombeana ntawaletea feedback hapa hapa jukwani waoga endeleeni hivyo hivyo kujifungia chumbani
Kivipi??? hakuwa na tijaHa ha ha mi nakumbuka nilimpatia boom(mkopo) rafiki yangu miaka 13 iliyopita,nikawa nashindia mahindi ya kuchoma,na mwisho wa siku huyo mtu hakuwa na tija.