Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Ikifika muda wa kula chura tujuzane pia kama hutojariMi nmechukua mil. 10 nakula bata tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikifika muda wa kula chura tujuzane pia kama hutojariMi nmechukua mil. 10 nakula bata tu.
Wee jamaa ndo umeongea point kubwa mnoo 100%Kama huna usimamizi wa moja kwa moja baba hiyo pesa itapotea kopa mkopo wa muda mfupi kwanza at least 1yr ufanye hizo biashara ujue hasara na faida zake then next year uchukue pesa nzur uiboreshe hiyo business au uachane nayo
Trust me hutajuta
Aiseee[emoji16][emoji16][emoji16]Umehongaa zoteeJuzi kati tu hapo nimevuta milioni 5 na mpaka sasa ishaisha na sioni cha maana nilichofanyia.Nakatwa 800K kwa mwezi kwa mwaka mzima ila nashukuru ni mkopo wa ofisini hauna riba.
Nilikopa kabla ya kufanya tathmini nzuri ya biashara nikajikuta naipeleka kwenye mambo ambayo hayakuwa priority so nimejifunza kitu.
Sijahonga jamaa,ni matumizi ya hapa na pale huwa yanaibuka hadi unashangaa.Ila makosa ukiyafanya kama njia ya kujifunza basi hakiharibiki kitu..Aiseee[emoji16][emoji16][emoji16]Umehongaa zotee
[emoji23][emoji16][emoji16]Ikifika muda wa kula chura tujuzane pia kama hutojari
Hahaaaa watu mna visa ninyiDaaah!!mi wakati naanza kazi nilikopa 5mil,nilitoa hela yote kwenye account,nikanunua pikipiki ya kutembelea na iliyobaki niliweka gheto ktk bukta flan zile timberland si unajua zinakuaga na mifuko mingi!!bhas bhana mi nakula ugimbi nikiishiwa narudi gheto nazama ndani nachomoa mzigo nasepa naenda kula vyombo!sitosahau Kuna siku naingiza mkono kwenye mfuko imebaki 30,ikabidi niichomoe ile nguo kwenye msumali nikapekua mifuko yote na kukung'uta hamna kitu!!ikabidi nikatoka njee nikaingiza pikipiki ndani nikalala zangu!!
Mteja gani ataekubali hii idea takataka?Tafuta mteja kubaliana nae halafu mwambie naomba uendelee kumtumia dereva wangu baada ya kukuuzia chombo. Halafu mwambie dereva wako kuwa umepata tatizo hivyo pikipiki unaiuza lakini asijali mama ataendelea kuwa dereva wa hiyo pikipiki...ukishauza kama ataendelea kumpelekea storie tajiri mpya itakula kwake na wewe utakuwa huna lawama nae tena
hahahabahahah...umenifanya nijione mjinga sana na hii idea yangu.Mteja gani ataekubali hii idea takataka?
HAmna tatizo mkuu ndio idea zilivohahahabahahah...umenifanya nijione mjinga sana na hii idea yangu.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Peaa ya kutumia tu inaishaa dak sifurii mkuuDaaah!!mi wakati naanza kazi nilikopa 5mil,nilitoa hela yote kwenye account,nikanunua pikipiki ya kutembelea na iliyobaki niliweka gheto ktk bukta flan zile timberland si unajua zinakuaga na mifuko mingi!!bhas bhana mi nakula ugimbi nikiishiwa narudi gheto nazama ndani nachomoa mzigo nasepa naenda kula vyombo!sitosahau Kuna siku naingiza mkono kwenye mfuko imebaki 30,ikabidi niichomoe ile nguo kwenye msumali nikapekua mifuko yote na kukung'uta hamna kitu!!ikabidi nikatoka njee nikaingiza pikipiki ndani nikalala zangu!!
Poleee sanaaaaaPole Sana, ila Mungu atafanya njia paspo na njia
Kama ni 5mil tena bila riba na unakatwa 800k per month haiwezi kuchukua mwaka mzima.Juzi kati tu hapo nimevuta milioni 5 na mpaka sasa ishaisha na sioni cha maana nilichofanyia.Nakatwa 800K kwa mwezi kwa mwaka mzima ila nashukuru ni mkopo wa ofisini hauna riba.
Nilikopa kabla ya kufanya tathmini nzuri ya biashara nikajikuta naipeleka kwenye mambo ambayo hayakuwa priority so nimejifunza kitu.
Hilo ni kweli mkuu,Hatufanyagi biashara na ndugu! Awe ni wa damu au ndugu wa ukoo, weka mbali na biashara. Wanatabia za mizaha sana. Ingawa si wote.
Tunafanana Mkuu.Mimi nilikopa mwaka jana NMB 9 M kwa miaka mitano. Nikachukua pikipiki mbili. Moja ya bodaboda na nyingine ya kwangu kutembelea. Mil.4 nikachukua kiwanja na shamba kwa ajili ya kilimo. Laki 5 nikalimisha shmaba na kupanda mahindi na laki tano nikafanyia mambo yangu menginene. Mshahara nikabaki 247,000
Matokeo yake;
i)Bodaboda ilidumu miezi sita ikaibiwa.
ii) mahindi sikupata hata nusu gunia,kwa sababu ya ukame.
iii)mipango yangu ilikuwa mwaka huu nioe kama mambo yangeenda vizur kinyume chake nimeshindwa,mchumba wangu alipoona hali imekuwa tete akaanza visa kumbe kashaanza mahusiano na mwanaume mwingine,nikabaki mimi kama mimi.
iv)Baada ya bodi ya mkopo kuanza kukata 15% nikaanza kuchukua 197,000/= kwa mwezi
v) kwa sasa siwezi saidia chochote kwa mama na ndugu zangu kibaya zaidi mdogo wangu kachaguliwa chuo cha afya diploma ada mil.2. 5 sijaweza kumpa hata mia.
Sina bahati kabisa
Mkopo unawaharibu watu psychologicallyKwa mujibu wa hii post nimejifunza kwamba mkopo sio mbaya ila ubaya wa mkopo ni pale unapokosa management iliyo bora pamoja na sehemu sahihi ya kuwekeza.
All in all that is good experience for learner's.
Kuna mshikaji ni mtu wangu wa karbu mwez uliopita kavuta mkopo benk flan hv,,,sasa now hana kila kitu,,juzi kati tupo nae mzgon night,,kaamshwa toka usingizin kakurupuka anataja jina la ile benki,,dah mkopo bila malengo ni shida tupuHii mpya ukope ujenge . Utachanganyikiwa hata barabara ya vumbi utavushwa na watoto.