Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Duuhh 2019

2016 nimemaliza chuo nikapata sehemu ya kujishikiza, 2017 nikapewa mkataba wa mwaka mmoja moja.

Wakati naingia mambo yalienda vema sn, ila mkuu wa kitengo alikua anapenda sifa KUPITA KIASI (Kila mtu kwake ni Hopeless) hili lilinifanya nipishane nae

2019 January yeye ndio akawa mkuu wa ofisi, aisee hapo niliipata,

1. Alisema nisipewe kazi yoyote
2. Alisema mimi sijui kazi kabisa( hii ilitokana kuna mradi tulipata, nikapewa mimi niufanyie kazi, sasa wakati umefika kwenye utekelezaji yeye ndio boss ko akaninyangaya akasema nimefanya kimakosa akauchukua yeye)
3.Akawa anasema mimi ni Hopeless
4. Anakuita mbele ya watu anakutukana sanaa daahh aisee nimedhalilika sana

Nikaanza kutafuta kazi kimya kimya, Nikapata tena kwenye taasisi ya watu tuliokua tunawahudumia "ilikuaje"

Walimuuliza mkuu wangu wa kitengo wa kipindi hiki ss "mbona xxx siku hizi hatumuoni" akajibu "dah sijui wana bifu gani na mkuu, maana hataki hata kumuona"

Jamaa wakanitafuta wakanipa mkataba wa kazi nikatulia, sasa nikaandika barua ya kusitisha mkataba huku namsubiri mkuu ajichanganye..

Akaingia kwenye 18, siku hiyo akaja reception kabisa kwa watu wanaokuja kumuona akaanza sifa zake

Akamuita HR na wenzie akasema kuna watu mkataba ukiisha wasionhezewe akaniita akaanza kunisema akasema sikuongezei mkataba, nikamwambia sihitaji

Nikaingia ofisini nikachukua barua, Nikamwambia wewe ni mbwa kama wengine unastahili kutupiwa chakula, NIKAMTUPIA BARUA YA KUSITISHA MKATABA NIKAMWAMBIA OKOTO UPELEKE MASIJALA. HAKUAMINI.

Hii ni Taasisi ya Serikali, mtu anaifanya yake
 
Saf sana
 
Nipe namba zake nimtukane potele pote
 
Redundancy [emoji1][emoji1787]
 

Sema Mungu bwana ni wetu sote. Riziki anatoa pasipo upendeleo
 
Aisee pole Sana

Bora wali maharage kuliko walimwengu
 
KI ukweli mimi nilipewa kazi ya ushushu ndani ya idara nayo fanyakazi eti niwe nawachunguza wafanyakazi wenzangu nampelekea taarifa boss...

Ukweli nilikataa wazi wazi nikakwambia siwezi kufukuzisha watu kazi kwa maslahi ya ki shetani mimi.
 
pole sana Lugumya amin kuwa utafika ..ulimpambania sana mama ,amin Mungu atakulipa na baraka tele.
 
Hii comment imeonyesha we ni mtu wa namna gani? We ni wale watu mtu akipinga hoja yako una panick na kugeuza kuwa ugomvi. Unaandika vitu ambayo havijasemwa na havipo. Mdau hapo kapingana nawewe kimtazamo na ingetakiwa ukae chini na kutafakari kuwa labda kamaa yupo right na wewe upo wrong .that is maturity , hakuna maali jamaa kasema anakupangia cha kuandika huku kama unavyodai?

Unasema utazidi kuruka ruka utakavyo , huku ndani tu hatufaamiani uko nje ukiruka ruka na maisha yako who cares?

Critical thinking is free you should try it sometimes
 
Kuna baadhi ya wafanyakazi wao niwa kulaumu na kulalamika tu hata kwa vitu ambavyo wanatakiwa kuwa responsible based on their contractual terms.

Nilijifunza siku moja kwenye kikao jamaa mmoja anapinga kila kitu mabosi wanachosema for the sake yaku onekana hero kwa wafanyakazi wenzake, huwezi pinga kila policies za kampuni na ikakuacha kazini lazma ufukuzwe maana izo policies ndo wanazisimamia na unakuta wakati wa kuajiriwa mtu ali zi saini.

Tulipotoka kwenye kikao nilimwonyesha eneo flani la wazi nikamwambia "unaona pale, nenda kapanunue alafu fungua kampuni yako then hayo mawazo yako yote ya kwenye kikao kayafanye kwenye iyo kampuni yako mpya sio izi za watu".

Alikua mshkaji wangu na alichukulia positive sana. Ever since hakua mtu wa kuropoka since ali realize he was wrong .watu wa hivi niwachache pia.
 
Mi sikufukuzwa kazi.

Nilipiga chini tu hiyo kazi.

Mshahara mdogo sana. Unatoka tar 25 ikifika tar 1 ushaisha wote.

Nikarudi home kuanza moja.
Bora wewe uliondoka kwa upole,,,

Mimi nilimtandika yule gabachori masumbwi kadhaa na kusepa, siku nilipochukua mshahara wangu wa mwisho.

Nilifanya kazi kwa miezi mitatu tu.... Sitakagi ujinga kwenye madharau mbele ya maslahi duni
 
Na huyo ulisoma nae,,,,, hii ni hatari sana
 
Pole sana, hawa mabosi wakati mwingine huwa ni changamoto sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakula 30k ya mgonjwa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulizama kiroho usingejisifia kula rushwa ya 30k kutoka kwa mgonjwa, seriously ulikuwa una-act tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…