Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Ujinga mtupu hao watu hawa act professional kabisa aisee, mtu kwenda kazini doesn't mean anategemea mshahara waweza Kuta ametega magoal mengi mno
Kabisa, yani kama mimi.na mwenzangu ilikua mshahara ni kwa ajili ya kodi na ada kwa hyo hata ikichelewa ilikua hainiatahiri sana
 
Makazini hata ukipendeza ni kosa na hyo kupeleka watu nyumbani ndo haswa uliharibu maana walipatwa na wivu, mie shoga angu wa kusali pamoja alinichonifanyia huwezi amini ka ni yule mpenda Sala. In short kazini mtu asikujue Mambo yako.
Pole hapo kwenye kupendeza ndo shughuli, kwan we viatu nguo unatoa wap akati hatujalipwa, come on umesahau kua mie nahudumiwa na mume wangu yani kazin watu wakiwa na shida na wewe inabidi uwe na shida ila ikiwa tofauti kazi itakua chungu. Na bado ukiwa na hizo shida ypu wont rest leo kaja hayuo kawaida labda kagombana na mume wake yan mradi iwe tabu
 
Siku zote Mungu utuandalia pazuri kupitia maumivu.
Wapo waliofanikiwa baada ya kufukuzwa Kazi.
Wapo leo wanaomshukuru jiwe kwa kuwafukuza Kazi sababu ya vyeti.
Wapo taasisi binafsi wengine wapo nje ya nchi wanakula package nono mara 5 ya walipofukuziwa.
Everything happens for reasons,japo ni ngumu.
Jamaa zangu wamefukuzwa Kazi baada ya kupewa asante kwa kuwahudumia wateja vizuri,wakubwa wakatafsiri ni rushwa bila ushahidi.
 
Kwani kwa mzungu haukuenda
 
Makazini hata ukipendeza ni kosa na hyo kupeleka watu nyumbani ndo haswa uliharibu maana walipatwa na wivu, mie shoga angu wa kusali pamoja alinichonifanyia huwezi amini ka ni yule mpenda Sala. In short kazini mtu asikujue Mambo yako.
Kuna mfanyakazi mmoja ameachishwa kazi baada ya kupata msiba watu wameenda kumpa pole kufika wakakuta mjengo wa maana
Alivyorudi kazini anaulizwa hela ya kujenga nyumba kama hii kaipata wapi
 
Pana mtu alifukuzwa Kazi akasota miaka akapambana akafanikiwa kufungua kampuni akapiga pesa hadi kujuta alikuwa wapi kupoteza mda kuajiriwa.
Kuna mtu alifukuzwa Kazi kwa chuki akarudi kijijini amekata tamaa kabisa,ukaja mradi wa parachichi akatumia mashamba yao akajikita kwenye parachichi leo ana miliki mabilioni, milioni 300 anaingiza kwa mchumo mmoja tu.Ana pesa majumba na magari ambayo hata waliomfukuza Kazi hawatoweza kuja miliki duniani.
Unaweza ukafukuzwa Kazi kumbe umepigwa chura teke.
Muhimu ni kutulia fanya meditation yaani mtafakari Mungu ongea na Mungu lzm utaliona kusudi.
Utasimama utasonga.
 
Ongera mkuu
 
Kuna mfanyakazi mmoja ameachishwa kazi baada ya kupata msiba watu wameenda kumpa pole kufika wakakuta mjengo wa maana
Alivyorudi kazini anaulizwa hela ya kujenga nyumba kama hii kaipata wapi
Engineer nikua nae ofisin aliipitia hii baada ya mama ake kufariki mjengo waliokuta jamaa amerudi kazin hakuna rangi aliacha kuona
 
True wengi ufukuzwa kwa uonevu sababu awajui haki zao.Pili wengi upotezea na kuamua kutafuta njia zingine za maisha.
Hawa CMA wapo wapi.Kuna mtu kafukuzwa Kazi kwa kupewa tipu kama asante baada ya kutoa huduma nzuri kwa mteja yaani asante ya soda tena elf 5.Halafu ipo mijizi inafilisi taasi kama nssf, wengine wanakutwa na mabilioni na wala awachukuliwi hatua wanapangia kwingine wakazitumbue.
Waafrika tuna roho mbaya sana yaani unamfukuza Kazi mtu kisha kapewa elf 5 akanywe soda,hali we ni mpigaji mkubwa,
 
Ukiangalia hata watumishi wengi waliojela au kesi ni vi hela vidogo vidogo tu lakini mijizi mikubwa kama kina chenge, bashite, kakoko,dau,haikamatwi upangiwa vitengo waendelee kupiga tu.
Lakini aliyepewa ya brush anashughulikiwa haswaa utadhani kakutwa na bomu la nyuklia.
 
Link yao ya contacts na address za ofisi zao mikoa yote Tanzania hii hapa Home | Commission for Mediation and Arbitration
kalonji
 
Kampuni za nje ulipa vizuri Sana.Shida ni sisi waswahili
 
Kuna mfanyakazi mmoja ameachishwa kazi baada ya kupata msiba watu wameenda kumpa pole kufika wakakuta mjengo wa maana
Alivyorudi kazini anaulizwa hela ya kujenga nyumba kama hii kaipata wapi
Engineer nikua nae ofisin aliipitia hii baada ya mama ake kufariki mjengo waliokuta jamaa amerudi kazin hakuna rangi aliacha kuona
 
Link yao ya contacts na address za ofisi zao mikoa yote Tanzania hii hapa Home | Commission for Mediation and Arbitration
kalonji
Poa.Kuna mama mmoja mpumbavu Sana anawafukuza watu Kazi anavyojisikia thus Mungu kamlaani hana familia wala mume yupo tu muhuni wanajichapia tu angekuwa na familia asingekuwa na roho yake mbaya.Ukimuua mama kuku tazama vifaranga vyake.Watu wafukuzwe Kazi kwa kufuata sheria na sio maamuzi binafsi.
 
Safi kabisa
 
Ila Afika Bhana

yaani hakuna tunachokifanya kikaenda smooth. Kiukweli tunahitaji kubadilika sana

just imagine; unaajiriwa ila boss anakutreat kama mnyama vile.... au from nowhere anakuchukia tu ili mradi kazi ikushinde😁😁
Tatizo lipo kwenye mfumo wa malezi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…