Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Kabisa, yani kama mimi.na mwenzangu ilikua mshahara ni kwa ajili ya kodi na ada kwa hyo hata ikichelewa ilikua hainiatahiri sana
Sasa wote hufikiria anayeenda kazini mshahara ndo everything kiasi Cha kuchongeana
 
Makazini Kuna Mambo kweli kweli mtu hata ka ka kuzidi salary parefu Bado Kuna shida, pia wako wanaotaka wote mfanane kwa kila Jambo bila kujua kila mtu na background
 
Mkuu shwari?... Kuna jambo nilijaribu kuja PM ikagoma. Naona hujaruhusu mtu akucheki PM ama ni nini!!
 
Kuna mfanyakazi mmoja ameachishwa kazi baada ya kupata msiba watu wameenda kumpa pole kufika wakakuta mjengo wa maana
Alivyorudi kazini anaulizwa hela ya kujenga nyumba kama hii kaipata wapi
Duh hawajui kuwa waweza kuwa na same salary mwenzako akajiongeza, I think watu wa kazini sio wa kuzoeana nao kabisa, nyumba tu umfukuze mtu bila kujali Hali ya msiba.
 
Roho chafu.Wapo jiwe type wao furaha yao utimilika pale mtu anapoumia.
Starehe zao ni kuona mwingine akiharibikiwa.Hii ni spirit waliyonayo blacks wengi hasa waliotokea kwenye extremely poverty,mind inakuwa ishaharibika.
 
Kufukuzwa Kazi ni mwanzo mpya wa kutafuta Kazi mpya.
 
Yale majizi yaliyoifilisi nssf kwa kupora michango ya wanachama yapo nje yanatumbua tu,mtu michango yako unaambiwa usubirie.Hivi kwann isiwepo sheria hii mifuko kujiunga iwe ni hiari mtu mzima unafundishwa vipi kujitunzia pesa zako.
 
Makazini huwa Kuna watu Wana roho mbaya Sana bila sababu
True ukifukuzwa Kazi ikapata panono pengine huwa wanaumia Sana kama jiwe alivyomtumbua Dr Mwele akapata UN Kazi ilimuumiza Sana jiwe kutwa haeshi kumsimanga na kumnanga.
Hizi roho nyeusi zinaendana na rangi zetu hasa kama ulikulia kwenye extremely poverty tena bush
 
Mijitu Ina wivu haijui kila mtu ana riziki yake Sasa kuharibiana ndo Nini, ila jiwe licha ya kuwa Rais aliumizwa na mwele kupata shirika la kimataifa, imagine Raisi mzima anaumia alitaka kuona mwele anateseka ili afurahi. Watanzania wengi ni ma sadist mno wanaotaka tu wao wafaidike mie huziita hzo roho za kichawi.
 
Makazini hata ukipendeza ni kosa na hyo kupeleka watu nyumbani ndo haswa uliharibu maana walipatwa na wivu, mie shoga angu wa kusali pamoja alinichonifanyia huwezi amini ka ni yule mpenda Sala. In short kazini mtu asikujue Mambo yako.
Haya mambo ya kupeleka wafanyakazi wenzio home kama upo vizuri hayafai kabisa hasa kwa sie waswahili,Acha kabisa wengine wametafutiwa visa,hamishwa,pewa kesi ofisini,kujuana kuishie huko huko kazini, kuna wafanyakazi hata wakipata misiba uhamishia kwa ndugu zao Ili kuepuka kijicho cha wafanyakazi wenzao.
 
Alikuwa akiumia hata ukivaa nguo mpya ofisini wanamjua waliowahi fanya nae Kazi kabla.Kuna libosi limoja lilikuwa likiumia mkila kuku ofisini.Image mtu anaumia ukila kuku au kuvaaa nguo mpya ofisini atashindwa vipi kufurahi ukifukuzwa Kazi
 
Wawezwa kurogwa kabisa ndugu yangu alijenga nyumba eeeh watu kujua Sasa alipigwa vita hata kushushwa kwenye nafasi zote, ila licha ya kumpiga majungu na kumshusha ameendelea tu ku shine
 
Nimecheka Sana aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Daaah watu wanapitia magumu Kuna mdau kanichekesha hapo alivyopata kazi nyingine[emoji1787]
 
Pole Sana maofisini Kuna wenye roho mbaya sana
 
Hahahahah jiwe bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…