Tuliowahi kufukuzwa kwa watu/kwa ndugu tukumbushiane ilikuwaje

[emoji2] [emoji3] [emoji1]
 
Kulelewa sehemu ambako siko kwa wazazi wangu kulinipa motisha ya kusoma niondoke pale nilipokua nakaa. Sikufukuzwa ila sikua comfortable Na maisha ya pale. Niko radhi nikaishi kwa rafiki ila sio kwa ndugu. Wakati Niko high school nilikua nakaa kwa ndugu basi tu sina jinsi ila roho ilikua haina amani. Sasa hivi hata nikienda kwa ndugu nashinda jioni narudi kwangu. Sina kabisa mazoea mazoea Na ndugu. Naweza kaa hata miaka miwili sijaenda kwa ndugu yeyote Kama tusipoonana kwenye shughuli ndo imetoka hiyo ndugu kumuona
 


Kweli kabisa cha Msingi tuishibkutokana na mazingira sio kuendekeza ukwenu
 
daah mimi nilifukuzwa na shangszi yangu.kipindi hicho nilikuwa form 2
 
nilifukuzwa na shangazi yangu .kipindi hicho nipo form 2 .nikaenda kwa brother wangu wa damu kabisa akanifukuzwa asububi asubuhi.nikaenda kukaa na mother chumba kimoja alichopanga yeye analala kitandani mimi chini .nilikaa na mother kwa chumba kimoja mpaka nikamaliza form 4.sasa hivi nimeoa najitegemea ,yule brother yupo yupo tu hana mbele wala nyuma hajaoa .nimefupisha tu ila nina story ya kuhudhunisha sana hadi hapa nilipo fikia
 
Hii inatolesha machozi
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜The Gangstar against the clan
 
Dah umenifurahisha sana
 
Misimamo ya kutokubali kunyanyaswa inafanya wengine tuchukiwe na ukoo mzima๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hizi mambo Ni inborn navyowasumbua mababa wakubwa, wadogo mashangazi wajomba na mama wadogo nadhani wanajuta kuzaliwa kwangu,, Basi imesaidia hata wadogo zangu na mama yangu kuogopeka Kwamba Fulani akijua utajuta huo mtiti wake, Ni rahisi kutendwa kimapenzi nikapotezea ila usifanye unyanyasaji kwa ndugu yangu wa damu,,,,,nitakiwasha tu

Nimepitia manyanyaso mengi kutoka kwa ndugu ila kanuni yangu Ni moja siujui unafiki ukifika muda wa kupasua ukweli, napasua usiponisalimia nami sikusalimii imetoka hiyo
 
Duuuh tangu saa 11 asubuhi nasoma comment hadi comments nimeishiaa ya 188[emoji3][emoji3].

Nlipokuwa mdogo nlikuwa napenda sana kutembeleaa ndugu ila saivi nimekuwa , nimeujua ukweli wa mambo.

Nkiambiwa bwana mdogo njooo usalimiee ma uncle huku, naitikia nakuja lakini najua siwezi kwenda.

Kiufupi nikikutembela kama ni mikoani lazima niwe na hela ya kurudia.

Hatuwezi kukwazana then nikuombe nauli ya kuondokeaa.
In short na kera na napenda sana haki ,ilihali najuaa ukiishi kwa familia ya mtu mwingine huwezi kuwa treated the same way kama born inmates wa pale.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu umenichekesha sanaaa
 
[emoji3]

Hii comment ni balaa.
 
Nikikua likizo kwa ndugu sasa bahati mbaya siku nikasahau sijui ndo kupitiwa sikumsalimia asubuhi akanambia niondoke kwake yaan nilishangaa sana. Na siku zote nlikua namsalimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ