Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji3] [emoji1]Nakumbuka ilikuwa Dar mitaa ya Sinza Vatican, nilimtembelea ndugu yangu, asee jamaa alikuwa mkorofi balaa. Akirudi toka kazini lazima aguse li TV lake la uchogo, kama limechemka huo moto wake hata kwa gari la zima moto hauzimiki!!
Siku ikipikwa nyama anahesabia jikoni. Mkishakula lazima ahesabu zilizobaki.
Vitimbi vilikuwa vingi na alikuwa anatusurubu ka vile si ni wafungwa!! Siku moja nilitoka nduki kali, sikuwahi kurudi huu ni mwaka wa 11.
Nilipofika home mkoani nilimsimulia mama, siku hiyo alinipikia kilo nzima ya wali, akapakua kwa sinia kubwa na juu kasimika bakuli kubwa la nyama za kuku! Nilivua shati kuanza kutupia nyali tumboni huku nikijisemea, "ewe ndugu mchoyo wa Dar, njoo uhesabu minyama inayoshuka tumboni"
M'bakeMi kuna MTU nataka kumtoa ila kang'ang'ania hataki kuondoka
Nilikaaga kwa ndugu kipind nasoma!sio ndugu wa karibu saaaaana! Nilichokuwa nakifanya...nilikuwa nafanyakazi km punda hata kule kwetu ckuwa nafanya! Naamka alfajiri nawasha mashine yakufua naanza kufua nguo, machine inaendelea kufua nafanya kaz za ndani, kuaandaa chai ya asbh n.k na kaz nyingine zote nikilala usiku km punda nmechoka + watoto! Mama mwenye nyumba kiguu na njia!
Cku nikifunga shule nakwenda kwetu,shule zikifunguliwa cku ntayoingia ile nyumba naanza na usafi jikoni store ambapo huwa nakutana kumeoza! Yule mama alikuwa Ana chukichuki na watu lkn alkuwa ananipenda ajabu! Akirud safar zake anakuta mambo yote yapo sawa! Lazma huwa anibebee zawadi pesa alinipa n.k! Alifurahia uwepo wangu hata watoto wake walinipenda Sana,!
Nilipomaliza form six alinizawadia cheni ya dhahabu hereni na Pete! Ckuamini!
Jaman hakuna MTU dunia ya sasa anaetaka kukaa na MTU..hata ndugu hawatakani! Tunapokaa na watu inabd tu tujitutumue tujipendekeze ilimradi tusichokwe!
MTU anaenda kukaa ugenini labda anasoma n.k unaleta uvivu jeuri kiburi yaan hapo lazma uchokwe!
Mschna unaenda ugenini unalala masaa yote..ukiamka kaz zote zmefanywa mpaka chai umeandaliwa! Aibu...hata km hakuna kazi..amka tuu! Jifanyishe kitu chochote kile..omba hata viguo ufue tuu utathaminiwa!
Tusilalamike kufukuzwa kuteswa kumbe sisi wageni ndio wenye shida! Japo kuna case nyingine ziko tofaut kidogo
ShukranWe ni binti jasiri sana.
Safi sana
Mi huwa natoa maamuzi tu kwenye vitu vya msingi kabisa na sibadilishi.Maza ndogo alisepa ama ulimwonea huruma.
Hahahahaahaahhaa walishaniwahiNahisi naweza kuja kutoa posa kwenu nikuchukue uko vzr
Hii inatolesha machoziKwa watu hakufai...nimezaliwa miaka mingi iliyopita...ila nilisimuliwa nilipozaliwa mama alikuwa akiishi kwa kaka yake...ile kukojoa kwangu kama kichanga kitandani mama akatimuliwa...nilisimuliwa hadi leo huyo mjomba namwona Hitila....yeye amesahau mimi nakumbuka!
😁😁😁The Gangstar against the clanKUNA TWO SCENARIOS!
Baada ya wazazi kufariki, mimi na mdogo wangu tulichukuliwa na baba yetu mkubwa!
Life wasn't tht okey but Yatima hadeki ujue! maisha yakasonga!
Siku moja ilikuwa mkesha wa pasaka, mdogo wangu na watoto wa baba yangu mkubwa (walikuwa wakubwa zaidi yangu)
Wakaenda kanisani mkesha! mi nilikuwa naumwa sikutaka kusali usiku.
Walikuwa wadada watatu,Mmoja akaona ndio wakati wa kwenda kuchachua ,wanarudi nyumbani bila yeye!
Baba yangu mkubwa anamfokea mdogo wangu(ninayemzidi miaka 5, anaaambiwa arudi alikotoka na asirudi mpk atakapompata yule asiyerudi home). Yule baba alifunga mlango ,nje bariki kali nyumba ipo milimani flan hvi!He was asthmatic, hata kama asingekuwa asthmatic ,how on earth unamwambia mwingine asilale mpk aliyeenda kwenye starehe zake arudi!
Nilikaa ndani kama nusu saa hivi nikiwa nalia!
Nilipotoka nilienda subeleni unapokaa funguo haukuwepo!means ameingia nao kulala!
Nilliingia jikoni nikachukua shoka lile nafikir ,Nililinyanyua juuu kushuka chini kishindo kiliamsha mpk sisimizi!
wakaamka, ananitishia kunipiga!NIKAMWAMBIA NEXT STEP AFTER WHERE YU ARE NAKUPASUA!
nilifunguliwa mlango nikamfuata mdogo wangu alipo nikamwingiza ndani!
kesho yake asbh kabla hajasema ondoka au baki nilikuwa nje na mabegi na mdogo wangu namwambia tunarudi kwenye nyumba ya wazazi!
2. Huko kwenye nyumba ya wazazi alikuwepo mama yetu mdogo na wanae!
NAKO MAISHA YALIKUWA YA KIWEHU TU KWA DOGO!!
huko nilifukuza mimi!
Nikamwambia unajua nini, HII NYUMBA NI YA MAMANGU, isingekuwepo wewe ungekuwa unalipa kodi!
SASA FANYA HIVI!
NAENDA KUMALIZA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA! nikirudi uwe umetafuta pa kukaa!
ilikuwa ni likizo ya mwezi wa nne ,pepa ya necta mwezi wa tano!
Niliporudi nilimkumbusha!
MPAKA KESHO I AM THE LAST PERSON KWENYE FAMILIA KUAMBIWA TAARIFA YOYOTE INAYOHITAJI MAAMUZI YA PAMOJA
Dah umenifurahisha sanaNakumbuka ilikuwa Dar mitaa ya Sinza Vatican, nilimtembelea ndugu yangu, asee jamaa alikuwa mkorofi balaa. Akirudi toka kazini lazima aguse li TV lake la uchogo, kama limechemka huo moto wake hata kwa gari la zima moto hauzimiki!!
Siku ikipikwa nyama anahesabia jikoni. Mkishakula lazima ahesabu zilizobaki.
Vitimbi vilikuwa vingi na alikuwa anatusurubu ka vile si ni wafungwa!! Siku moja nilitoka nduki kali, sikuwahi kurudi huu ni mwaka wa 11.
Nilipofika home mkoani nilimsimulia mama, siku hiyo alinipikia kilo nzima ya wali, akapakua kwa sinia kubwa na juu kasimika bakuli kubwa la nyama za kuku! Nilivua shati kuanza kutupia nyali tumboni huku nikijisemea, "ewe ndugu mchoyo wa Dar, njoo uhesabu minyama inayoshuka tumboni"
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu umenichekesha sanaaaNakumbuka ilikuwa Dar mitaa ya Sinza Vatican, nilimtembelea ndugu yangu, asee jamaa alikuwa mkorofi balaa. Akirudi toka kazini lazima aguse li TV lake la uchogo, kama limechemka huo moto wake hata kwa gari la zima moto hauzimiki!!
Siku ikipikwa nyama anahesabia jikoni. Mkishakula lazima ahesabu zilizobaki.
Vitimbi vilikuwa vingi na alikuwa anatusurubu ka vile si ni wafungwa!! Siku moja nilitoka nduki kali, sikuwahi kurudi huu ni mwaka wa 11.
Nilipofika home mkoani nilimsimulia mama, siku hiyo alinipikia kilo nzima ya wali, akapakua kwa sinia kubwa na juu kasimika bakuli kubwa la nyama za kuku! Nilivua shati kuanza kutupia nyali tumboni huku nikijisemea, "ewe ndugu mchoyo wa Dar, njoo uhesabu minyama inayoshuka tumboni"
Nakumbuka ilikuwa Dar mitaa ya Sinza Vatican, nilimtembelea ndugu yangu, asee jamaa alikuwa mkorofi balaa. Akirudi toka kazini lazima aguse li TV lake la uchogo, kama limechemka huo moto wake hata kwa gari la zima moto hauzimiki!!