Tuliowahi kufukuzwa kwa watu/kwa ndugu tukumbushiane ilikuwaje

Scenario No 2... Kwanini umfukuze mdogo wako wakati nyumba ni ya wazazi wenu?

We ni mkolomije wa mChattle?
 
Mwanangu huna ndugu.. Bora Mimi sina shobo nao na wakileta shobo nawatia sipendi ujinga
 
Haha acha uongo, ulikuwa humpendi tu, so kila alichofanya uliona kero Hornet
wala simchukii na anajua
nachukia tu maneno yake,kila jambo lazima aongee,
anapeleka mpaka mtaani huko,
nikachoka tu nikamwambia tutakosana kwa ajili hiyo bora uondoke
 


Sipatii picha mnavochukiana na huyo aliewafukuza, hata kama mnasalimiana, nahis mnasalimiana kinafiki, kufukuzwa inauma sana jurist
 
Sipatii picha mnavochukiana na huyo aliewafukuza, hata kama mnasalimiana, nahis mnasalimiana kinafiki, kufukuzwa inauma sana jurist
Bora ufukuzwe kwa haki!! Ila ukiwa umeonewa asee!!!! HAKIJAWAHI KUNITOKA ROHONI, sasa hivi tumekuwa wakubwa hawawezi kuniangalia machoni.
 
Si umkumbushe
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahahahaha njowooo
mahari anapokea Asprin
Ushapata CV yake? Mwambie tumewekeza kwa binti yetu .. akalkuleti ada ya kuanzia nasare mpk yunivasite... hicho ndicho kishika uchumba kabla hatujazungumzia mahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…