Tuliowahi kukimbia mimba, karibuni

Bora hata wewe umekiri, kibao wamewapa na hela ya kutolea mimba.
 
Halafu mnasema wanawake wakatili wanatupa watoto jalalani. Kama hakuwa na a good support system (familia nk), kama hao wangemfukuza unadhani yeye angeleaje huyo mtoto muda wote huo wewe umekimbia? Wanaume wana luxury ya kukimbia na kuendelea na maisha yao kisha kurudi baada ya miaka 3 na kukuta "ana katoto kabinti kaziriiiiii"! Mfikirie huyo mwanamke ndani ya hiyo miaka 3 kachakaa vipi, na wengi wao shule ndo basi tena
 

Hii tabia sio nzuri kabisa,sasa umeisha oa au bado? What goes around comes around hivyo bado majibu mengine utayapata...Ili kupunguza ukali anza kujikomba mapema na ubebe majukumu yako kama baba.
 
Mimi Siwezi telekeza mtoto..tuna damu ya uongozi na utajiri...kila damu yetu tunaithamini
 
baada ya kurudi mama mtoto ulimuoa au.............
Hivi wewe hujawahi kimbiwa kabla sijkuona..??? Maana inasemekana wanawake walio wengi, wanaowaita watoto wao wa kwanza, si wa kwanza... WENGINE NI WATATU, WENGINE WA SITA... etc
 
Kaka zangu nawahusia msikimbie mimba nina mfano hai kuna jamaa alikimbia mimba kwenye ujana wake na kumkana mwanamke kwamba jamjui basi bi dada kasepa jamaa kamaliza shule zake umefika wakati wa kuoa manake tayari kazi nzuri na mambo kibao ya kuvutia sasa kaoa huu mwaka wa kumi na tano no mtoto wala nini lol inasemekana bidada alimwambia jamaa unakataa damu yako? Basi mungu atakupa wengi kama nzige , jamani hili ni la kweli. My Take bora ufanyr DNA ujiridhishe kuliko kupata huzuni kama hii ni mbaya.
 

Najutia kosa hili dada yangu, sitarudia na nawaasa vijana/wazee wenzangu tuwache hii tabia.
 

umeongea kwa hisia sana hadi nimetokwa na chozi, ooooooh my God, nisamehe mimi kiumbe dhaifu.
 
Hii tabia sio nzuri kabisa,sasa umeisha oa au bado? What goes around comes around hivyo bado majibu mengine utayapata...Ili kupunguza ukali anza kujikomba mapema na ubebe majukumu yako kama baba.

Jamani najuta, tayari nakatunza kabinti kangu kazuuriiiii.
 
Ha ha ha ha haha, unalo hilo group nije nichanganye mbegu?

Ujue zombie ana grupu A-, linaambatana na majanga tu.

Kwa hiyo unataka uchanganye kidogo? Kama zombie ameshafanya mambo nije niwekeleee masikio.na kucha ndo kuchanganya kwenyewe uko...
 
asante mkuu, ulipambana nao vipi na ilikuwaje?

Nlikua ndio nimemaliza six kwahiyo sikuona shida mana nlikua nafanya kakazi fulani,nlikua natoa matunzo alipofikisha 2yrz wazazi wangu wakaniambia nikamchukue watamlea.
 
Kukimbia mimba hodari!ndo nyie mwisho wa siku mtoto kawa na mafanikio hamkawii kujisogeza na kujitambulisha kuwa wee ndo baba yake!nina chukia sana wanaume wanaokimbia mimba.

Mm sikimbii tufanye mpango tuongee watu duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…