nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,678
Mimi Siwezi telekeza mtoto..tuna damu ya uongozi na utajiri...kila damu yetu tunaithamini
Hii damu yenu itakua ina silver cells na gold cells.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Siwezi telekeza mtoto..tuna damu ya uongozi na utajiri...kila damu yetu tunaithamini
acha ujinga wewe, kawatanie vijana wenzio.
Hongera ila,
Kumkimbia mama mwenye mimba is such a crime aisee.... Yani sio fair kabisa apitie hicho kipindi peke ake!
unataka kujua ili iweje?
No usiseme hivyo..kila mzazi anamwazia mema mtoto/watoo wao/wake.....
Am sure wazazi wako wanakupenda sana na kukuwazia mema labda tu hawajakuambia,ila ni hivyo
unataka kujua ili iweje?
acha ujinga wewe, kawatanie vijana wenzio.
kuwa makini kijana, utaumia.
Wanaume bwana..wewe uliona sawa kumsalandia binti was watu pale kijijini hadi kumtia mimba ila sasa watu kukutania tu kwa binti yako inakuwa noma. Kumbe kwa watoto wenu inauma Sana eeh.
baada ya kurudi mama mtoto ulimuoa au.............
Kwa hiyo unataka uchanganye kidogo? Kama zombie ameshafanya mambo nije niwekeleee masikio.na kucha ndo kuchanganya kwenyewe uko...
Na wewe unaona sawa binti yangu kuharibiwa?
kwani mimi nimekuja hapa kutania?
Wala sioni sawa ila nimekumbuka tu msemo wa mtenda akitendewa....ndio ujue ni namna gani ndugu na wazazi wa mabinti walioharibiwa au wanaotaka kuharibiwa maisha wanavyoumia. Ndo uchukue jukumu LA kuwalinda watoto wa wenzako pia.Na wewe unaona sawa binti yangu kuharibiwa?
Kama bado uko nae hadi sasa umefanya la maana sana pamoja na kufahamu na kujutia kosa lako,Sitasahau kisa hiki, kipindi hicho nimemaliza shule ya msingi na kubaki mkulima tu kijijini kwetu, nikaanza kutembea na mtoto wa shule, hamadiii!! akapata mimba, siku hiyo mida ya jioni naona wazee wameongozana na yule binti, wakagonga hodi baba katoka, nikajua msala huu, nikapitia dirishani na kupotea, kesho yake nikatimkia kijiji cha jirani kwa mjomba wangu, nilikaa huko takribani miaka 3 ndo nikarudi nyumbani nikakuta nina katoto kabinti kazuuuriii. Najutia kosa hili. Karibuni wenzangu tuliowahi kukututwa na mkasa huu, ilikuwaje siku hiyo na kwa nini ukimbie? Mimi niliogopa kufungwa wakati huo sheria ilikuwa kali sana.
He he he, hiyo ya kuweka maskio inaitwa kunakshi ngozi, haihusiani na intelijensi.
Ili kupata intelijensi yako, inabidi wewe ufanye mambo, afu zombie awe ana nakshi nakshi ili DNA zisome sawa.
Wala sioni sawa ila nimekumbuka tu msemo wa mtenda akitendewa....ndio ujue ni namna gani ndugu na wazazi wa mabinti walioharibiwa au wanaotaka kuharibiwa maisha wanavyoumia. Ndo uchukue jukumu LA kuwalinda watoto wa wenzako pia.
yaani sijui watu mna roho gani tu, mtu kaja kutubia bado mnataka kumkandamiza tu, oooh mtenda akitendewa, oooh jino kwa jino na henda wengine mkasema dawa ya moto ni moto, hivi tukienda kwa namna hii hapa patakalika? lazima tujifunze kusamehe najua hapa wengi tu ni wakosefu pia, au mnajifanya wema???
Hahaa kumbe....basi sawa.nipo siti ya nyuma nasubiri nihamishiwe mbele