Tuliowahi kukimbia mimba, karibuni

Tuliowahi kukimbia mimba, karibuni

Aisee me na fujo zangu zote nikisikia mimba tu nakua mpole.

Sitaki kuona niliyempa mimba anahangaika kwa sababu yangu au kwa lolote lile nafikiri inatokana na stori niliyoipata kutoka kwa mama yangu..

Na imenitokea mara tatu sema mmoja aliamua kutoa kiukweli namchukia maisha yangu yote yule binti.

#Amani_kwao akina baba wote wanaojali mimba mpaka mtoto.
 
uzuri wako umenifanya nikusamehe, najua avatar yenyewe ya uongo.

Kwani wapi nimesema hii avatar ndio mimi? uzuri nimeumbwa kwa mfano wa Mungu na vitu vyote alivyoumba Mungu vilikuwa ni vyema sana. hehehe upo hapo JEKI?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
wewe ushasahau yako ya kutelekeza kitumbo unaingilia avatar yangu? heheh machozi ya yule dada yanakuandama

ulitaka nibaki na jambo moja tu jamani? katika ulimwengu wa leo multdiscipline ni muhimu sana.
 
Mahusiano yana ukatili sana. Sio kwa mwanaume wala kwa mwanamke.
 
Back
Top Bottom