Tuliowahi kukimbia mimba, karibuni


Hapo kwenye red, sas hivi sheria sio kali! ?
 
hahhaha umenikumbusha kitu,kastori nilipewa na mzazi,Wakati mama yangu anajifungua mimi alipoteza fahamu siku kama 3 akawa hajui hata sura ya mtoto inafananaje, alipokuja kukaa sawa akaanza kuwadai manesi wamembadilishia mtoto,sababu kwenye mabano....sahiz huwa ananiambia,"yaani kwakweli ningepoteza mwanangu kwa ujinga na mungu angenadhibu kunipa mtoto jambazi"
she always proud of me, nami nampenda sana,japo kipindi cha utoto alikuwa akinikosesha sana raha pale napomuudhi kwa kuniambia "wewe mimi niliwaambia manesi wamenibadilishia mtoto,sikuwa na mtoto asiye sikia kama wewe"...hahahhhahahaah nacheka sana kila nikikumbuka hili...

So wale watiaji mimba na kukimbia hakika mnakimbia Neema na Baraka za Mungu
 
Nlikua ndio nimemaliza six kwahiyo sikuona shida mana nlikua nafanya kakazi fulani,nlikua natoa matunzo alipofikisha 2yrz wazazi wangu wakaniambia nikamchukue watamlea.

hongera mkuu.
 

kweli kabisa, unakimbia neema ukikimbilia laana.
 
Hapo kwenye red, sas hivi sheria sio kali! ?

huoni hata rushwa nayo imekuwa kali mkuu, zamani rushwa watu waliikimbia kama ukoma, wakati viongozi bado wanaharufu ya maadili, siku hizi mbona watu wanazikanyaga tu sheria na hakuna wa kusema, hujasikia matukio ya RC kukatwa mitama mkuu? zamani ingewezekana?
 
Kama ni miaka ya 90s atakuwa mkubwa sasa;
Yuko chuo/darasa la ngapi?
 

shkamoo baba mkwe.
 

Hongera best inaonesha ur parent is proud of u....binafsi sielewi wazazi wangu wanawaza nini kuhusu mimi
 
Hongera best inaonesha ur parent is proud of u....binafsi sielewi wazazi wangu wanawaza nini kuhusu mimi
No usiseme hivyo..kila mzazi anamwazia mema mtoto/watoo wao/wake.....
Am sure wazazi wako wanakupenda sana na kukuwazia mema labda tu hawajakuambia,ila ni hivyo
 
umeongea kwa hisia sana hadi nimetokwa na chozi, ooooooh my God, nisamehe mimi kiumbe dhaifu.

Kaka yangu afadhali yako wewe unaona uzito wa tatizo hili na unajutia. Hakuna mkamilifu wote tunakosea na cha maana ni ku correct makosa yako kadri unavyoweza. Mi nimeongea kwa uchungu ndio kwa kuwa kuna baadhi ya wanaume huchukulia jambo hili kwa mzaha mkubwa wakati kwa kweli wanawake wanateseka.
Mwenyezi Mungu awasaidie katika malezi ya mtoto na awape furaha
 

asante sana dada yangu 64Bits, nimekupata vizuri, nimetokea kukupenda ghafla.
 
Last edited by a moderator:
No usiseme hivyo..kila mzazi anamwazia mema mtoto/watoo wao/wake.....
Am sure wazazi wako wanakupenda sana na kukuwazia mema labda tu hawajakuambia,ila ni hivyo

sina uhakika sana na maneno yako maana tumeshuhudia wazazi wakifanyia unyama watoto wao, ila pia mkuu anamaanisha you are luck kwa mzazi kuonesha hadharani anakupenda, wale wanaopenda kimoyomoyo kuna faida gani? maana mtoto anabaki kukuhisi vibaya tu, heri wako kajiexpress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…