Tuliowahi kukimbia mimba, karibuni

Hongera ila,
Kumkimbia mama mwenye mimba is such a crime aisee.... Yani sio fair kabisa apitie hicho kipindi peke ake!

Alikuwa ni teenager tu kwa hiyo akili ilikuwa haijakomaa. Vijana wengi wa umri huu wanapoletewa mimba huwa na maamuzi mawili tu – kukimbia au kuikataa mimba.
 
No usiseme hivyo..kila mzazi anamwazia mema mtoto/watoo wao/wake.....
Am sure wazazi wako wanakupenda sana na kukuwazia mema labda tu hawajakuambia,ila ni hivyo

Hahahaha....thanx kwa kunipa moyo
 
Wanaume bwana..wewe uliona sawa kumsalandia binti was watu pale kijijini hadi kumtia mimba ila sasa watu kukutania tu kwa binti yako inakuwa noma. Kumbe kwa watoto wenu inauma Sana eeh.
 
He he he, hiyo ya kuweka maskio inaitwa kunakshi ngozi, haihusiani na intelijensi.

Ili kupata intelijensi yako, inabidi wewe ufanye mambo, afu zombie awe ana nakshi nakshi ili DNA zisome sawa.

Kwa hiyo unataka uchanganye kidogo? Kama zombie ameshafanya mambo nije niwekeleee masikio.na kucha ndo kuchanganya kwenyewe uko...
 
Wanaume bwana..wewe uliona sawa kumsalandia binti was watu pale kijijini hadi kumtia mimba ila sasa watu kukutania tu kwa binti yako inakuwa noma. Kumbe kwa watoto wenu inauma Sana eeh.

Na wewe unaona sawa binti yangu kuharibiwa?
 
Na wewe unaona sawa binti yangu kuharibiwa?
Wala sioni sawa ila nimekumbuka tu msemo wa mtenda akitendewa....ndio ujue ni namna gani ndugu na wazazi wa mabinti walioharibiwa au wanaotaka kuharibiwa maisha wanavyoumia. Ndo uchukue jukumu LA kuwalinda watoto wa wenzako pia.
 
Kama bado uko nae hadi sasa umefanya la maana sana pamoja na kufahamu na kujutia kosa lako,

Na mara nyingi watoto wanaotelekezwa wanakuwa vichwa sana na wanafanikiwa kwa asilimia kubwa kimaisha wanapokuja kuwa watu wazima
 
He he he, hiyo ya kuweka maskio inaitwa kunakshi ngozi, haihusiani na intelijensi.

Ili kupata intelijensi yako, inabidi wewe ufanye mambo, afu zombie awe ana nakshi nakshi ili DNA zisome sawa.

Hahaa kumbe....basi sawa.nipo siti ya nyuma nasubiri nihamishiwe mbele
 
Wala sioni sawa ila nimekumbuka tu msemo wa mtenda akitendewa....ndio ujue ni namna gani ndugu na wazazi wa mabinti walioharibiwa au wanaotaka kuharibiwa maisha wanavyoumia. Ndo uchukue jukumu LA kuwalinda watoto wa wenzako pia.

yaani sijui watu mna roho gani tu, mtu kaja kutubia bado mnataka kumkandamiza tu, oooh mtenda akitendewa, oooh jino kwa jino na henda wengine mkasema dawa ya moto ni moto, hivi tukienda kwa namna hii hapa patakalika? lazima tujifunze kusamehe najua hapa wengi tu ni wakosefu pia, au mnajifanya wema???
 
Basi nisamehe bure kaka yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…