Nimecheka kidogo nipaliwe.
baada ya kurudi mama mtoto ulimuoa au.............
uzuri wako umenifanya nikusamehe, najua avatar yenyewe ya uongo.
Kwani wapi nimesema hii avatar ndio mimi? uzuri nimeumbwa kwa mfano wa Mungu na vitu vyote alivyoumba Mungu vilikuwa ni vyema sana. hehehe upo hapo JEKI?
Ni kweli Mrembo by Nature, lakini je ni sahihi kuweka avatar ya mtu mwingine na kumislead watu??
Hahahahapana nilikuta keshaolewa, alikuwa mtoto mkali sana, wanaume hawakuchelewesha.