Nimpaga trafiki 50,000 alivyonisimamisha mara ya kwanzaMods naomba usiunganishe huu Uzi..
Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa.
Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha handbreak kiasi kwamba mafuta yalikuwa yanaenda mengi Sana kwa kutembea huku nimeshika handbreak...
Je ww ulikutana na ushamba gani?
Tiririka.
NB : kama huna Hela za kutosha usinunue gari
Sikuwa na leseniHaha bila kuombwa chochote?
Huu ushamba ulivuka mipaka..ulikuwa kiasi cha kuitwa upumbavu au sio mkuu?😂Mods naomba usiunganishe huu Uzi..
Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa.
Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha handbreak kiasi kwamba mafuta yalikuwa yanaenda mengi Sana kwa kutembea huku nimeshika handbreak...
Je ww ulikutana na ushamba gani?
Tiririka.
NB : kama huna Hela za kutosha usinunue gari
Hahaha hatari Sana...Mm lilinitokea kwenye premio(bado nipo nayo)
Kuna kale kamnara pale mbele kabisa kanakuwaga na kataa flan ivi kapo kama kaantena au kama kasehem ka kuwekea urembo (bendera) nazan ushakafaham.
Siku zote nilikua nakaona hakajachomoza nje sasa hiyo siku nimeingia zangu bar ile natoka nje nakuta kale kamnara kamechomoza kwa nje.
Ile siku nilihangaika sana mix kuwapigia marafiki na mafundi wanisaidie kutatua tatizo langu ( nilijua labda ni indication ya tatzo)
Nikiwa nimekata tamaa nikajisemea ngoja nibonyeze button ya misho isipo shuka liwalo na liwe, Baada ya kubonyeza nikaona kamnara kanashuka, ikanibidi nishuke niingie tena bar nitandike bia za kujipongeza.
Duh!..Nimpaga trafiki 50,000 alivo ni simamisha mara ya kwanza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie sikujua kama kuna kuweka mafuta sikuwa nasoma geji ni mwendo wa kukanyaga wese tu.Nakumbuka ilinimizikia katikati ya barabara hamna shell karibu
Nyanyua mkono wako wa kuume sema mimi ni mjingaMie sikujua kama kuna kuweka mafuta sikuwa nasoma geji ni mwendo wa kukanyaga wese tu.Nakumbuka ilinimizikia katikati ya barabara hamna shell karibu
Weka mikono yako kifuani sema mimi ni kiaziNimpaga trafiki 50,000 alivo ni simamisha mara ya kwanza
Anzia magari ya washkaji, wazazi, ndugu kabla hujanunua.Mara ya kwanza kuendesha au kumiliki gari kwa mara ya kwanza Kuna ushamba mwingi