Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

NUMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2019
Posts
807
Reaction score
1,164
Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa.

Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha handbreak kiasi kwamba mafuta yalikuwa yanaenda mengi Sana kwa kutembea huku nimeshika handbreak...

Je wewe ulikutana na ushamba gani?

Tiririka.

NB: Kama huna Hela za kutosha usinunue gari
 
Mods naomba usiunganishe huu Uzi..
Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa.
Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha handbreak kiasi kwamba mafuta yalikuwa yanaenda mengi Sana kwa kutembea huku nimeshika handbreak...

Je ww ulikutana na ushamba gani?
Tiririka.

NB : kama huna Hela za kutosha usinunue gari
Nimpaga trafiki 50,000 alivyonisimamisha mara ya kwanza
 
Mods naomba usiunganishe huu Uzi..
Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa.
Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha handbreak kiasi kwamba mafuta yalikuwa yanaenda mengi Sana kwa kutembea huku nimeshika handbreak...

Je ww ulikutana na ushamba gani?
Tiririka.

NB : kama huna Hela za kutosha usinunue gari
Huu ushamba ulivuka mipaka..ulikuwa kiasi cha kuitwa upumbavu au sio mkuu?😂
 
Mimi lilinitokea kwenye premio(bado nipo nayo)

Kuna kale kamnara pale mbele kabisa kanakuwaga na kataa flan hivi kapo kama kaantena au kama kasehem ka kuwekea urembo (bendera) nadhani ushakafahamu.

Siku zote nilikuwa nakaona hakajachomoza nje sasa hiyo siku nimeingia zangu bar ile natoka nje nakuta kale kamnara kamechomoza kwa nje.

Ile siku nilihangaika sana mix kuwapigia marafiki na mafundi wanisaidie kutatua tatizo langu (nilijua labda ni indication ya tatizo)

Nikiwa nimekata tamaa nikajisemea ngoja nibonyeze button ya mwisho isipo shuka liwalo na liwe, Baada ya kubonyeza nikaona kamnara kanashuka, ikanibidi nishuke niingie tena bar nitandike bia za kujipongeza.
 
Mm lilinitokea kwenye premio(bado nipo nayo)

Kuna kale kamnara pale mbele kabisa kanakuwaga na kataa flan ivi kapo kama kaantena au kama kasehem ka kuwekea urembo (bendera) nazan ushakafaham.

Siku zote nilikua nakaona hakajachomoza nje sasa hiyo siku nimeingia zangu bar ile natoka nje nakuta kale kamnara kamechomoza kwa nje.

Ile siku nilihangaika sana mix kuwapigia marafiki na mafundi wanisaidie kutatua tatizo langu ( nilijua labda ni indication ya tatzo)

Nikiwa nimekata tamaa nikajisemea ngoja nibonyeze button ya misho isipo shuka liwalo na liwe, Baada ya kubonyeza nikaona kamnara kanashuka, ikanibidi nishuke niingie tena bar nitandike bia za kujipongeza.
Hahaha hatari Sana...
 
Mie sikujua kama kuna kuweka mafuta sikuwa nasoma geji ni mwendo wa kukanyaga wese tu.Nakumbuka ilinimizikia katikati ya barabara hamna shell karibu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikiwa ofisini nikamuomba mshkaji gari. Ile narudi reverse ngoma ikarudi kwa Kasi. Natafuta break nikizidisha wese, mamaae nakuja kukaribia kugonga, nikabahatisha break maanina, nilikanyaga mafuta mengi, nikasepa. That was first fuc.king time.
 
Back
Top Bottom