Tuliowahi kupata Pancha, kupasukiwa na Mpira (Condom) katikati ya Show. Tukutane hapa

Tuliowahi kupata Pancha, kupasukiwa na Mpira (Condom) katikati ya Show. Tukutane hapa

Utafiti uliofanyika nchini Uingereza mwaka jana ulikuja na majibu kwamba, kupasuka kwa condom wakati mnalima husababishwa na ukavu wa uke au kutumia mipira iliyoisha muda wake au iliyohifadhiwa mazingira yenye joto kali.

Hivyo kwa ushauri wangu acha kulala na kinamama wenye stress sababu watakua hawana utelezi.... Utelezi uheshimiwe na kila mtu.
Uzi ufungwe
 
Niliwahi pasukiwa na condom katikati ya show si nikajifanya kidume kuendelea mbona kipande cha ile condom ilazama kwa yule kibonge mpaka akaenda kufanyiwa upasuaji mdogo mpaka leo mim na condom ni paka na panya
Kilinasia wapi mkuu?
 
Hakuna condom nikitaka ipasuke isipasuke aisee ni mahesabu tu hapo na moja wapo ya style rahisi kabisa ya kuchana ndom ni dog au mbuzi kagoma.. hii kama unataka kuichana ni dk sifuri hata kama durex inapasuka 😎😎.. uzuri ikipasuke mtoto anaing'ang'ania
Punguza uongo
 
kondom unakuta toto anataka uvae, ili msianzishe ligi, unavaa ki ushahidi ila kati kati ya mechi, inapasukaaa.. alafu unakuta ndio anakung'ang'ania zaidi
Ila tuache usinzi tutulie na mpenzi mmoja ili tusivae mampira
 
Back
Top Bottom