Tuliowahi kupata Pancha, kupasukiwa na Mpira (Condom) katikati ya Show. Tukutane hapa

Tuliowahi kupata Pancha, kupasukiwa na Mpira (Condom) katikati ya Show. Tukutane hapa

Na huku mmekulana mate ? alafu humuamini tena 😜😜.. umepima oil na humuamini tu, na mmejifungia chumbani humuamini tu .. na mnabadilishana majasho bado humuamini tuu.. ukae ukijia ndom ni biashara
Nani kakwambia me nafanya ayo kwa mtu ambae simuamini? 😀

ata mtu nikimuamini kwanz naona ni kinyaa kulana mate siyoni ladha yoyote kwenye romance

Nikifika ni kuvaa condom na kunyunyuzia futa la nazi ukeni kwake na kupamp nikishakojoa tu inatosha 😀
 
Nani kakwambia me nafanya ayo kwa mtu ambae simuani? 😀

ata mtu nikimuamini kwanz naona ni kinyaa kulana mate siyoni ladha yoyote kwenye romance

Nikifika ni kuvaa condom na kunyunyuzia futa la nazi ukeni kwake na kupamp nikishakojoa tu inatosha 😀
Ebanae vijana hamtaki mambo mengi shibela umesikia hii usipige nyeto
 
Wakuu, hii imeshawahi kukutokea wewe katikati ya show mpira umetatuka chwaaa? Unashangaa Chuma kinaanza kukisugua Chuma kingine mpaka Cheche zinaanza kutoka? Ushawahi kupasukiwa na mpira wewe katikati ya show show?
Niliwahi pata basti ya tairi ya mbele kulia na discovery mwaka 1998 nikiwa 120 km/h, nikatembelea rim kama mita 100 hivi ndio gari ikasimama.
 
Utafiti uliofanyika nchini Uingereza mwaka jana ulikuja na majibu kwamba, kupasuka kwa condom wakati mnalima husababishwa na ukavu wa uke au kutumia mipira iliyoisha muda wake au iliyohifadhiwa mazingira yenye joto kali.

Hivyo kwa ushauri wangu acha kulala na kinamama wenye stress sababu watakua hawana utelezi.... Utelezi uheshimiwe na kila mtu.
hivi na ile condom inabaki ndan ya uke alafu uume unatoka bila condom, inakuaje mkuu?
 
Nani kakwambia me nafanya ayo kwa mtu ambae simuani? 😀

ata mtu nikimuamini kwanz naona ni kinyaa kulana mate siyoni ladha yoyote kwenye romance

Nikifika ni kuvaa condom na kunyunyuzia futa la nazi ukeni kwake na kupamp nikishakojoa tu inatosha 😀
huwa haupimi hata oil hata kidogo ?
kucheki kiwango cha oil.. huwa hamgusanishi majasho..
 
Back
Top Bottom