Tuliowahi kupata Pancha, kupasukiwa na Mpira (Condom) katikati ya Show. Tukutane hapa

Tuliowahi kupata Pancha, kupasukiwa na Mpira (Condom) katikati ya Show. Tukutane hapa

Enzi za ujana katika ruka ruka nilikutana na hii janga tena kwa dada muuza mjini Kampala, Uganda.

Nilikuwa nachochea na nakuhisi utelezi unaongezeka nikajua ndio mautamu yenyewe. Kuja kutahamaki ule mpira umekuwa kama bangili kwenye dudu, umejikusanya wote mbele ya kende.
 
Wakuu, hii imeshawahi kukutokea wewe katikati ya show mpira umetatuka chwaaa? Unashangaa Chuma kinaanza kukisugua Chuma kingine mpaka Cheche zinaanza kutoka? Ushawahi kupasukiwa na mpira wewe katikati ya show show?
Hujasema kuhusu wewe
 
Enzi za ujana katika ruka ruka nilikutana na hii janga tena kwa dada muuza mjini Kampala, Uganda.

Nilikuwa nachochea na nakuhisi utelezi unaongezeka nikajua ndio mautamu yenyewe. Kuja kutahamaki ule mpira umekuwa kama bangili kwenye dudu, umejikusanya wote mbele ya kende.
Hahaha ilikua inapwaya?
 
Kwanz ndom ikipasuka t unajua
Me nimewahi mara 2 ila ikipasuka tu mda huo huo nachomoa nakuvaa nyengin kwa demu ambae simuamini
Na huku mmekulana mate ? alafu humuamini tena 😜😜.. umepima oil na humuamini tu, na mmejifungia chumbani humuamini tu .. na mnabadilishana majasho bado humuamini tuu.. ukae ukijia ndom ni biashara
 
Back
Top Bottom