Tuliowahi kupata Pancha, kupasukiwa na Mpira (Condom) katikati ya Show. Tukutane hapa

Acha utani basi mkuu kuna condom hazipasuki kabisa
Hakuna condom nikitaka ipasuke isipasuke aisee ni mahesabu tu hapo na moja wapo ya style rahisi kabisa ya kuchana ndom ni dog au mbuzi kagoma.. hii kama unataka kuichana ni dk sifuri hata kama durex inapasuka 😎😎.. uzuri ikipasuke mtoto anaing'ang'ania
 
Uzi ufungwe
 
Niliwahi pasukiwa na condom katikati ya show si nikajifanya kidume kuendelea mbona kipande cha ile condom ilazama kwa yule kibonge mpaka akaenda kufanyiwa upasuaji mdogo mpaka leo mim na condom ni paka na panya
Kilinasia wapi mkuu?
 
Punguza uongo
 
kondom unakuta toto anataka uvae, ili msianzishe ligi, unavaa ki ushahidi ila kati kati ya mechi, inapasukaaa.. alafu unakuta ndio anakung'ang'ania zaidi
Ila tuache usinzi tutulie na mpenzi mmoja ili tusivae mampira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…