Tuliowahi kupata Pancha, kupasukiwa na Mpira (Condom) katikati ya Show. Tukutane hapa

Na huku mmekulana mate ? alafu humuamini tena 😜😜.. umepima oil na humuamini tu, na mmejifungia chumbani humuamini tu .. na mnabadilishana majasho bado humuamini tuu.. ukae ukijia ndom ni biashara
Nani kakwambia me nafanya ayo kwa mtu ambae simuamini? πŸ˜€

ata mtu nikimuamini kwanz naona ni kinyaa kulana mate siyoni ladha yoyote kwenye romance

Nikifika ni kuvaa condom na kunyunyuzia futa la nazi ukeni kwake na kupamp nikishakojoa tu inatosha πŸ˜€
 
Ebanae vijana hamtaki mambo mengi shibela umesikia hii usipige nyeto
 
Wakuu, hii imeshawahi kukutokea wewe katikati ya show mpira umetatuka chwaaa? Unashangaa Chuma kinaanza kukisugua Chuma kingine mpaka Cheche zinaanza kutoka? Ushawahi kupasukiwa na mpira wewe katikati ya show show?
Niliwahi pata basti ya tairi ya mbele kulia na discovery mwaka 1998 nikiwa 120 km/h, nikatembelea rim kama mita 100 hivi ndio gari ikasimama.
 
hivi na ile condom inabaki ndan ya uke alafu uume unatoka bila condom, inakuaje mkuu?
 
huwa haupimi hata oil hata kidogo ?
kucheki kiwango cha oil.. huwa hamgusanishi majasho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…